Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kuna watu wanazeeka hadi kufa hawajawahi kuwaza kuoa nao mnawaweka wapi mana ni kioo kwa Genera zilizofuata nyuma yake au nao tuwaunge kwenye UShoga.
Na kuna machoko ila wameoa kama kivuli nayo mnawaweka wapi Kwakuwa yameo ila still Elton John.
mkuu inawezekana ikawa sababu anamuiga babu yake hajawahi kuoa lakini enzi za babu zetu na sasa hivi vijana wangapi ni upinde? hili swala linatia mashaka sana
 
Kuna watu wanazeeka hadi kufa hawajawahi kuwaza kuoa nao mnawaweka wapi mana ni kioo kwa Genera zilizofuata nyuma yake au nao tuwaunge kwenye UShoga.
Na kuna machoko ila wameoa kama kivuli nayo mnawaweka wapi Kwakuwa yameo ila still Elton John.
Wamechoka sasa kujificha kwenye mwamvuli wa kuoa wakati mambo ndivyo sivyo, sasa bora waanzishe kampeni ili mkiona hawajaoa mjue wanawake ndio tatizo kumbe sivyo!!
 
Wamechoka sasa kujificha kwenye mwamvuli wa kuoa wakati mambo ndivyo sivyo, sasa bora waanzishe kampeni ili mkiona hawajaoa mjue wanawake ndio tatizo kumbe sivyo!!
Ndoa za siku hz wanaoana wawili Wasiopendana.
Mmekutana kwa sababu fulani ( Condition)
 
Ngoja ije ile ile team ya Kataa Ndoa FC nione huu mtanange kama wa MANU vs LIVERPOOL.
Mwenyewe keshaongelea makombo. Uarabuni,mwanamke anakua ni pambo,anagegedwa, anazaa na kulea familia. Uhuni, kiasi tu. Sasa huku,kasoma, mwalimu anagegeda, wanafunzi wenzie ndo hivo. Akiingia chuo, zoezi la kila mara ni kutoa mimba. Kajifanya mlokole na kupelekwa kunakoitwa kwenye ndoa,kaajiliwa,Boss na wafanyakazi wenzie wanapiga tu. Kaenda baa,akienda kukojoa, kuinuka tu,mlevi mwenzie wasiefahamiana tayari anagonga. Sasa, huyo huyo, hafanyi chochote nyumbani,kuzaa kwenyewe huenda imeshindikana, na kama kazaa, hana habari na watoto, analea house geli, huyo utamuheshimu wa nini? Huyo si bora housegirl anayekulelea watoto?
 
Dada mbona mkali.
Usijiondoe na wewe umo humo kwenye huo ujinga kwa namna moja au nyingine
Huo ujinga hauwezi nikuta hata kwa bahati mbaya. Niko na akili zangu timamu.

Nchi hairuhusu hayo mambo yenu, oneni hata aibu basi!! Tuwalaumu baba zenu kwa kutowalea kuwa wanaume.
 
Mwenyewe keshaongelea makombo. Uarabuni,mwanamke anakua ni pambo,anagegedwa,anazaa na kulea familia. Uhuni,kiasi tu. Sasa huku,kasoma,mwalimu anagegeda,wanafunzi wenzie ndo hivo. Akiingia chuo,zoezi la kila mara ni kutoa mimba. Kajifanya mlokole na kupelekwa kunakoitwa kwenye ndoa,kaajiliwa,Boss na wafanyakazi wenzie wanapiga tu. Kaenda baa,akienda kukojoa,kuinuka tu,mlevi mwenzie wasiefahamiana tayari anagonga. Sasa,huyo huyo,hafanyi chochote nyumbani,kuzaa kwenyewe huenda imeshindikana,na kama kazaa,hana habari na watoto,analea house geli,huyo utamuheshimu wa nini? Huyo si bora housegirl anayekulelea watoto?
lakini kwa hili linaoendela katika jamii yetu uoni ata wanaume wenye matatizo wanajifichia humo humo kwenye hii kampeni
 
Huo ujinga hauwezi nikuta hata kwa bahati mbaya. Niko na akili zangu timamu.

Nchi hairuhusu hayo mambo yenu, oneni hata aibu basi!! Tuwalaumu baba zenu kwa kutowalea kuwa wanaume.
Daaah 😂😂😂😂
 
Huo ujinga hauwezi nikuta hata kwa bahati mbaya. Niko na akili zangu timamu.

Nchi hairuhusu hayo mambo yenu, oneni hata aibu basi!! Tuwalaumu baba zenu kwa kutowalea kuwa wanaume.
Si ajabu huna ndoa na huelewi kabisa kuhusu ndoa.
Upo tu kama baiskeli imepaki
 
Kwa jinsi navokataa ndoa unaona wazi ni vipi sipendi kula mboga moja kila siku
Natamani niwe nabadilisha badilisha kila siku hapo unaamini sasa
inawezekana kweli lakini haiwezekani hata hao upinde wakajificha katika hiki kichaka cha kataa ndoa?
 
Back
Top Bottom