Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Salama wakuu,

Hivi karibuni katika jamii yetu kumeibuka kauli ya "KATAA NDOA NI UTUMWA, WIZI, UTAPELI N.K" wakati nasikia na kusoma humu jamii forum either katika koment au uzi wenye maudhui ya hivyo nilikuwa naelewa sababu za kiuchumi.
Yaani sasa hivi kwa kuwa wanawake na wao wanafanya kazi na wanaendekeza ubinafsi hawataki kuchangia chochote katika familia nikaona vijana wa kiume kwa upande flani kama wana logic ya kukataa japo sikubaliani nalo sana hilo swala la kuchangia pesa na mke maana jukumu la familia ni la mwanaume.
nikawaza tena labda kwa kuwa wanawake wametumika sana kabla ndoa hivyo kijana anaona anaoa makombo au anafikilia huyu mke atawasahau kweli maex zake.
Lakini baada ya kusikia na kushuhudia habari za UPINDE "ushoga" ikanifanya niwaze tena pengine vijana wanakataa ndoa ili kujificha jamii isijue kama wanapumuliwa na wanaume wenzao.
maana sielewi kwanini mwanaume rijali anakataa ndoa sehemu ambayo anaipata mbususu free mda wowote akihitaji kama sio UPINDE ni nini kingine?
🤣🤣🤣🤣La mwisho ndo jibu mkuu
 
NDOA NI UTUMWA
NDO NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI MATATIZO

KATAA NDOA KIJANA
Ikute umeoa ila Kwa maana hutaki wenzako waitwe mume wangu , baba Fulani , mtoto mkwe hiki kile bahati yake Kwa kila mtoto aipate ndio unamjia juu acha roho mbaya mtu wangu haijengi kama Huna njia yakuwa na mtu usiharibu fikra za watoto wawatu maana inavyosema hivyoo maelfu ya vijana humu wanaamini nawana weka akilini ni kweli mnasifia ushoga ili wakaharibike huko . Huna roho nzuri.
 
Huyo hajui kwamba unaweza ukawa kwenye ndoa na mbususu usipate!
Na saivi naskia wameka na sheria kabisa

Kuwa mwenza wako akiwa hana hamu afu we uka fosi basi utahesabika kama rapist utasomewa hukumu ya kubaka na kosa hilo halina mdhamana

So ukiwa kwenye ndoa bado zoezi la kutongoza litaendelea na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa, ukijichanganya tu ukasema hii ni yangu niliilipia mali na kwao wananijua utajikuta upo nyuma ya nondo.
 
Ikute umeoa ila Kwa maana hutaki wenzako waitwe mume wangu , baba Fulani , mtoto mkwe hiki kile bahati yake Kwa kila mtoto aipate ndio unamjia juu acha roho mbaya mtu wangu haijengi kama Huna njia yakuwa na mtu usiharibu fikra za watoto wawatu maana inavyosema hivyoo maelfu ya vijana humu wanaamini nawana weka akilini ni kweli mnasifia ushoga ili wakaharibike huko . Huna roho nzuri.
Mwanaume msimamo na mi msimamo wangu upo pale pale.
KATAA NDOA KATAA NDOA
KATAA NDOA KATAA NDOA
KATAA USHOGA PIA
Sauti inatosha
 
Na saivi naskia wameka na sheria kabisa

Kuwa mwenza wako akiwa hana hamu afu we uka fosi basi utahesabika kama rapist utasomewa hukumu ya kubaka na kosa hilo halina mdhamana

So ukiwa kwenye ndoa bado zoezi la kutongoza litaendelea na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa, ukijichanganya tu ukasema hii ni yangu niliilipia mali na kwao wananijua utajikuta upo nyuma ya nondo.
Ndoa shida basi tuu ni vile.
Vijana wanaona ni ujanja kuoa
 
Na saivi naskia wameka na sheria kabisa

Kuwa mwenza wako akiwa hana hamu afu we uka fosi basi utahesabika kama rapist utasomewa hukumu ya kubaka na kosa hilo halina mdhamana

So ukiwa kwenye ndoa bado zoezi la kutongoza litaendelea na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa, ukijichanganya tu ukasema hii ni yangu niliilipia mali na kwao wananijua utajikuta upo nyuma ya nondo.
Kwa Nini uforce K na zipo nyingi , tatizo mnaoa mnasumbua mmoja Ile nifamilia mnaijenga nayeye anasumbuka kuweka sawa tafuta kadada kanakoheshimu wewe na ndoa Yako katunze kakutunzee
 
Back
Top Bottom