Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
23242356
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
23242356
Ahahahahah hatoki mtu hapa🤓In
inabidi basi utulie, uzi mzito sana kwako huu, uliouanzisha
😂😂😂😂jamaa kaushindwa uzi. Hajaweza kutoa sababu zake . Mawazo ya tufanye vipi kusaidia jambo. Hadi sasa kataa ndoa tuko vizuriAhahahahah hatoki mtu hapa🤓
Oshey mr 💰😂😂😂😂jamaa kaushindwa uzi. Hajaweza kutoa sababu zake . Mawazo ya tufanye vipi kusaidia jambo. Hadi sasa kataa ndoa tuko vizuri
Alijua hili league la kitoto...😂😂😂😂jamaa kaushindwa uzi. Hajaweza kutoa sababu zake . Mawazo ya tufanye vipi kusaidia jambo. Hadi sasa kataa ndoa tuko vizuri
kakurupuka sana😂😂😂😂jamaa kaushindwa uzi. Hajaweza kutoa sababu zake . Mawazo ya tufanye vipi kusaidia jambo. Hadi sasa kataa ndoa tuko vizuri
Hapa nadeal na Moron.Wacha bwana!!🤣🤣🤣🤣
Ukiachana na hasira na imperfections zangu, mtakuwa wanaume lini?
Tumegoma kuwaoa, ni kutafuta tu ma single mother na kuwagegeda kama anavyofanya mzabzab .Ndo kuna mambo mengi alaaah..,
that why nasema ndoa jau sana
Na hapo bado wanasema ety tukubaliane nao
Janga la taifa hili 🙆🙆🙆2324
Kwahiyo ukiacha kugoma kuwa wanaume kuna umoron pia🤔🤔Hapa nadeal na Moron.
🤓🤓🤓🤓Kwanini..?Janga la taifa hili 🙆🙆🙆
🤣🤣🤣🤣La mwisho ndo jibu mkuuSalama wakuu,
Hivi karibuni katika jamii yetu kumeibuka kauli ya "KATAA NDOA NI UTUMWA, WIZI, UTAPELI N.K" wakati nasikia na kusoma humu jamii forum either katika koment au uzi wenye maudhui ya hivyo nilikuwa naelewa sababu za kiuchumi.
Yaani sasa hivi kwa kuwa wanawake na wao wanafanya kazi na wanaendekeza ubinafsi hawataki kuchangia chochote katika familia nikaona vijana wa kiume kwa upande flani kama wana logic ya kukataa japo sikubaliani nalo sana hilo swala la kuchangia pesa na mke maana jukumu la familia ni la mwanaume.
nikawaza tena labda kwa kuwa wanawake wametumika sana kabla ndoa hivyo kijana anaona anaoa makombo au anafikilia huyu mke atawasahau kweli maex zake.
Lakini baada ya kusikia na kushuhudia habari za UPINDE "ushoga" ikanifanya niwaze tena pengine vijana wanakataa ndoa ili kujificha jamii isijue kama wanapumuliwa na wanaume wenzao.
maana sielewi kwanini mwanaume rijali anakataa ndoa sehemu ambayo anaipata mbususu free mda wowote akihitaji kama sio UPINDE ni nini kingine?
Ikute umeoa ila Kwa maana hutaki wenzako waitwe mume wangu , baba Fulani , mtoto mkwe hiki kile bahati yake Kwa kila mtoto aipate ndio unamjia juu acha roho mbaya mtu wangu haijengi kama Huna njia yakuwa na mtu usiharibu fikra za watoto wawatu maana inavyosema hivyoo maelfu ya vijana humu wanaamini nawana weka akilini ni kweli mnasifia ushoga ili wakaharibike huko . Huna roho nzuri.NDOA NI UTUMWA
NDO NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI MATATIZO
KATAA NDOA KIJANA
Na saivi naskia wameka na sheria kabisaHuyo hajui kwamba unaweza ukawa kwenye ndoa na mbususu usipate!
Mwanaume msimamo na mi msimamo wangu upo pale pale.Ikute umeoa ila Kwa maana hutaki wenzako waitwe mume wangu , baba Fulani , mtoto mkwe hiki kile bahati yake Kwa kila mtoto aipate ndio unamjia juu acha roho mbaya mtu wangu haijengi kama Huna njia yakuwa na mtu usiharibu fikra za watoto wawatu maana inavyosema hivyoo maelfu ya vijana humu wanaamini nawana weka akilini ni kweli mnasifia ushoga ili wakaharibike huko . Huna roho nzuri.
Ndoa shida basi tuu ni vile.Na saivi naskia wameka na sheria kabisa
Kuwa mwenza wako akiwa hana hamu afu we uka fosi basi utahesabika kama rapist utasomewa hukumu ya kubaka na kosa hilo halina mdhamana
So ukiwa kwenye ndoa bado zoezi la kutongoza litaendelea na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa, ukijichanganya tu ukasema hii ni yangu niliilipia mali na kwao wananijua utajikuta upo nyuma ya nondo.
Hujapata tu wewe upo bado na wakubali pesaMwanaume msimamo na mi msimamo wangu upo pale pale.
KATAA NDOA KATAA NDOA
KATAA NDOA KATAA NDOA
KATAA USHOGA PIA
Sauti inatosha
Kwa Nini uforce K na zipo nyingi , tatizo mnaoa mnasumbua mmoja Ile nifamilia mnaijenga nayeye anasumbuka kuweka sawa tafuta kadada kanakoheshimu wewe na ndoa Yako katunze kakutunzeeNa saivi naskia wameka na sheria kabisa
Kuwa mwenza wako akiwa hana hamu afu we uka fosi basi utahesabika kama rapist utasomewa hukumu ya kubaka na kosa hilo halina mdhamana
So ukiwa kwenye ndoa bado zoezi la kutongoza litaendelea na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa, ukijichanganya tu ukasema hii ni yangu niliilipia mali na kwao wananijua utajikuta upo nyuma ya nondo.