🤣🤣🤣🤣La mwisho ndo jibu mkuu
 
NDOA NI UTUMWA
NDO NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI MATATIZO

KATAA NDOA KIJANA
Ikute umeoa ila Kwa maana hutaki wenzako waitwe mume wangu , baba Fulani , mtoto mkwe hiki kile bahati yake Kwa kila mtoto aipate ndio unamjia juu acha roho mbaya mtu wangu haijengi kama Huna njia yakuwa na mtu usiharibu fikra za watoto wawatu maana inavyosema hivyoo maelfu ya vijana humu wanaamini nawana weka akilini ni kweli mnasifia ushoga ili wakaharibike huko . Huna roho nzuri.
 
Huyo hajui kwamba unaweza ukawa kwenye ndoa na mbususu usipate!
Na saivi naskia wameka na sheria kabisa

Kuwa mwenza wako akiwa hana hamu afu we uka fosi basi utahesabika kama rapist utasomewa hukumu ya kubaka na kosa hilo halina mdhamana

So ukiwa kwenye ndoa bado zoezi la kutongoza litaendelea na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa, ukijichanganya tu ukasema hii ni yangu niliilipia mali na kwao wananijua utajikuta upo nyuma ya nondo.
 
Mwanaume msimamo na mi msimamo wangu upo pale pale.
KATAA NDOA KATAA NDOA
KATAA NDOA KATAA NDOA
KATAA USHOGA PIA
Sauti inatosha
 
Ndoa shida basi tuu ni vile.
Vijana wanaona ni ujanja kuoa
 
Kwa Nini uforce K na zipo nyingi , tatizo mnaoa mnasumbua mmoja Ile nifamilia mnaijenga nayeye anasumbuka kuweka sawa tafuta kadada kanakoheshimu wewe na ndoa Yako katunze kakutunzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…