Ulimtolea mahali??
Kuna mila pia vipi umekaa nae baada ya wazee wa pande mbili kuridhia au ni sogea tuishi.

Fuatilia sheria mkuu, huenda unakimbia kivuli chako mwenyewe.
Kwani ndoa ni cheti?? Mtaani hapo wewe unafahamika kama single au upo ndoani??
Hamna kilichofanyika mimba yenyewe kanitegezea
 
Naona JF imekumbwa na kampeni ya vijana wa ovyoo kupinga ndoa lakini hao hao wanatoka kwenye Familia ya baba na mama. Hao wanaopingaa wana dada zao na wadogo zao wakike wakizalishwa Nyumbani wanaume wakawakimbia Wanaanza kulalamika. Sasa unajiuliza kampeni ya kataa ndoa wanayoieneza wanataka ifanyaje kazi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tusikatae ndoa ila tukatae manyanyaso na ndoa zisizokuwa na Amani. Ndoa ambazo kila kukicha ni kupigana na kutukanana lakini Kiufupu ndoa ambayo mke na mume wanaishi kwa amani wanafanya maisha hakika Zibarikiwe na zidumu. Vijana tafuta wakufanana nae unaemmudu. Mnapendana WEKA NDANI fanya maishaa umalayaa haulipi wala hauna mwisho mzuri.
 
Kama rikiboy amesema basi kampeni iishie apa
 
Ni ujinga kukataa ndoa ilihali unaendelea kula mbususu nje ya utaratibu wa dini au hata mila zetu za kiafrika. Tafuta mmoja unaeona angalau mnaendana tunajua hawezi kuwa perfect thus why hata wewe sio perfect fata taratibu zinazotakiwa oa iwe kiislam/kikristo au kiserikali as long as umeoa. Watoto wanaharibika sababu ya vijana waleo hawataki majukumu na moja ya majukumu ni kuingia kwenye ndoa. Mungu atuongoze katika hili na atusamehe makosa yetu.
 
Kama rikiboy amesema basi kampeni iishie apa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ubaya tunakubaliana kupoteza vijana wenzetu sisi dada zetu wakizalishwa nyumbani tunaona sio sawaa...!! Hapana kama Tunakubaliana ndoa ni utapeli hata Baba zetu wakitelekeza mama zetu wakiwa na ndugu zetu iwe sawa maana NDOA NI UTAPELI
 
Ndoa ni mpango wa Mungu na hata huyo mke na mume bora wanatoka kwake.
 
Ndoa hatukatazi ila swala la kuchepuka, uzinzi na maumivu yanayoleta huzuni hayafai kuvumilika au kukalishana vikao vya msamaha
 
Ni kweli matokeo tutayaona badae
 
Kama vile siye wewe mwanzilishi wa uzi wa kulana kimasikhara...

Watu wanakula wake za watu kimasihara wataoa kweli? [emoji15][emoji15]
 
Kuna memba mmoja wa kataa ndoa kaweka uzi leo anajiliza dada zake wamezalia nyumbani


Haha halooo na bado
Endeleeni kukataa
Yule nshomile amejaa matusi na nyodo kibao (self righteous). Kama na dada zake wana tabia kama zake wote wataishia kuzalia nyumbani tu maana hakuna namna...

Nimecheka sana [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…