Naona Jf imekumbwa na kampeni ya vijana wa ovyoo kupinga ndoa lakini hao hao wanatoka kwente Familia ya baba na mama. Hao wanaopingaa wana dada zao na wadongo zao wakike wakizalishwa Nyumbani wanaume wakawakimbia Wanaanza kulalamika. Sasa unajiuliza kampeni ya kataa ndoa wanayoieneza wanataka ifanyaje kazi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tusikatae ndoa ila tukatae manyanyaso na ndoa zisizokuwa na Amani..Ndoa ambazo kila kukicha ni kupigana na kutukanana lakini Kiufupu ndoa ambayo mke na mume wanaishi kwa amani wanafanya maisha hakika Zibarikiwe na zidumu. Vijana tafuta wakufanan nae uanemmudu..mnapendana WEKA NDANI fanya maishaa umalayaa haulipi wala hauna mwisho mzuri.