Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
.....ule Uzi ni remarkable, sasa sijui nini kimetokea.....kuna mawili labda ameokoaka au akaunti yake iko hacked cozameshauri jambo jema la ndoa......
Kakua afu anaweza edit thread yake lakini si comments za watu
 
.......ni kweli angeediti kinamna fulani ionekane alikuwa anakemea au anaonya ngono zembe, then wachangiaji ndo waonekane 'wapenda kimasihara'.......
😂😂Umeona ee,at least angeua jau....hapa watu twamchora tu
 
😂😂Umeona ee,at least angeua jau....hapa watu twamchora tu
.......nadhani yeye anafurahia hilo coz limempa umaarufu mkubwa hapa, imagine kama ingeandaliwa tafrija ya wanajf then inafika saa ya utambulisho............mc akisema tu sasa namsimamisha bwana rikiboy awasalimie Wana MMU, nadhani kila mtu angeacha shughuli anayofanya.......
 
😂😂😂Sanaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siwezi simamaa..
 
Ndoa zimekua mateso hasa kwa hawa vijana wa leo coz hao waolewaji wengine wanaolewa ila hawajui nini maana ya ndoa,Mume anastahili heshima gani kama kichwa cha Nyumba,

Pia wapo vijana ambao wanaingia kwenye ndoa bila kujua ndoa ni nini hasa? Mke anahitaji heshima zipi na kutimiziwa majukumu yapi?

Haya matatizo au hii sintofahamu itapungua au kumalizwa kabisa ikiwa watoto watapata malezi yenye maadili mema katika ukuaji wao,

Wakataa ndoa,nawaelewa kua sio kwamba wanakataa ndoa bali wanakataa/wanaogopa matokea au maisha ya ndani ya ndoa za siku hizi,

Ndoa ni kuheshimiana,kuaminiana,kusaidiana,kuvumiliana,pia kua katika mzani sawa,sio mmoja ajione yeye ni bora zaidi kuliko mwenza wake,

Wazazi wajikite kwenye malezi yenye maadili mema ili kuja kutengeneza ndoa zenye amani na uaminifu huko mbeleni,wanandoa pia wekeni siri vifuani mwenu,sio kugombana kidogo tu,unaanza kusambaza habari zako wewe mwenyewe,kisha huko unapata maoni ya kukupa presha ushindane na mwenza wako,mwisho wa siku unaiharibu ndoa yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siwezi simamaa..
.......hahahaaa unasimama tu mkuu afu unawaambia 'awali ya yote niwatake radhi wote walioathirika na lile bandiko nawashauri waende angaza, lakini pia niwapongeze woote walifanikiwa kukwepa mitego ya kimasihara, nawashauri waoe......#kataa kimasihara, kubali ndoa'.........
 
Kukataa Ndoa Ni Upuuzi Mtupu Na Ni Ujinga Sana
Tuchape Kazi Huku Tukimtanguliza Mungu Mbele
Jiwe Alisema Kama Unategemea Mnazi Mmoja (Mvivu)
Ndiyo Ufikirie Kupanga Uzazi Yaani Huli Ukashiba
Ila Wanaokula Na Kushiba Wazae Tanzania Ijae Na Maendeleo Yaje

Ndugu Zangu Oeni, Zaeni Elimu Ni Bure
 
Back
Top Bottom