Ni kweli matokeo tutayaona ni mabaya kuliko tunavodhani muhimu ni kuelimishana kuacha ujinga huko ndoani Ili tupate familia zenye maadili na heshima
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Members wa KATAA NDOA mmefikiwa mapema sana, yule mwenzenu Leo Kila akiwaangalia dada zake anatamani kupiga mayowe.

Endeleeni na kampeni zenu, wanaume wa kweli wanatuoa kama kawa huku mitaani.
 
Ni kweli matokeo tutayaona ni mabaya kuliko tunavodhani muhimu ni kuelimishana kuacha ujinga huko ndoani Ili tupate familia zenye maadili na heshima
Kabisa ndugu yangu kuoa vijana hawataki lakini watoto wanapatikana na mbaya zaidi baba yupo kivyake Mama nae kivyake malezi ya watoto Hamna nini kinaenda kutokea?. Ndio jamii yetu ilipofikia ushoga na ujinga mwingine. Mungu anapotuamrisha baadhi ya Mambo huwa yanamaana kubwa sana.
 
Mm sina dada
 
Ni kweli na wsliolelewa na wazazi wanajua Nini maanayake na imewasaidia kiasi gani kuwa hapo walipo
 
Sii bure jf kuna mtu kakuroga
 
Sawa, endelea kuamini ni stories za vijiweni mkuu.
Mwanamke atachukua kile ambacho amechangia mkuu, wengi wanapigwa kwa kutokujua sheria, na hiyo sio kwenye ndoa tu kila sehemu wana wanadhulumiwa haki zao kwa kutokujua sheria
 
Kataa NDOAAA..

Ndoa n utapeli ...

Ndoa n uhujumu uchumi na akili ya mwanaumee..
Kweli mkuu inabdi tushauri na Baba zetu... ndoa ni utapeliii Waamke toka usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli mkuu inabdi tushauri na Baba zetu... ndoa ni utapeliii Waamke toka usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baba yangu alikataa ndoaa baada ya kuingia na kutoka na aliivunja mbele ya wanaohusika kusimamia ndoa ivunjwe na nikapatikana mm Kwenye ndoa ,baada ya hapo baba hakusubutu ht kutamka neno NDOA Tena maana ilikuwa jehanamu ,ndoa yake kati na b mkubwa wanawake konyo mzeee.SIKIAA TU KWA WENZIO WANATESAKA NA NDOA WANAMAANISHA..
 
Ukiona mtu anaeshadadia hiyo kampeni ya kataa ndoa...mchunguze kwa umakini...ni mwana upinde wa mvua huyo! Wazee wa kukoboana wenyewe kwa wenyewe
 
Tuoe ili ukale kimasikhara sio?

Anyways una point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…