NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Wewe ulishawahi kuoa???Nani kakudanganya kuwa mwanaume kamili ni lazima uoe!!!??? Mimi sina ndoa ila nna watoto watatu nawahudumia na nafurahia maisha yangu, niko huru.
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA
NDOA NI KWA MANUFAA YA MWANAMKE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
nna agenda ya kukataa kutapeliwaWewe si unasema kuwa hufugi mwanamke ndani, mwenzio anafuga Sasa anaishi nae wewe usiyetaka kuishi nae kuishi na mwanamke una agenda gani
Kauli ganiHaujaweka Kauli mbiu[emoji1783][emoji1732]
Bado hujawa mwanaume kamili wewe ni mvulana unaeweza kuwapa wanawake mimba, mwanaume hana tabia hizoNani kakudanganya kuwa mwanaume kamili ni lazima uoe!!!??? Mimi sina ndoa ila nna watoto watatu nawahudumia na nafurahia maisha yangu, niko huru.
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA
NDOA NI KWA MANUFAA YA MWANAMKE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
NAKAZIAKATAANDOA
NAKAZIAkataa NDOA
Sijawahi na siwezi kufanya huo upumbavu.Wewe ulishawahi kuoa???
Afande Rama alikua na ndoa na watoto juu, bado akapakuliwa kisamvuKATAA USHOGA
CR7 anaishi na mwanamke kazaa nae watoto wengi lakini anaishi nae huyo ni mpenzi wake wewe unasema hutaki kuishi na mwanamke kwa ninnna agenda ya kukataa kutapeliwa
wajinga ndiyo wanaoliwa
KATAA NDOA
kwasababu sitaki UTAPELIkuishi na mwanamke kwa nin
KATAA USHOGAAfande Rama alikua na ndoa na watoto juu, bado akapakuliwa kisamvu
KATAA NDOA
KATAA UTAPELI
KATAA KUNUNUA KIUMBE
KATAA KUFUGA KIUMBE
NAKAZIAKATAA NDOA
NDOA NI WIZI
NDOA NI UNDONDOCHA
NDOA NI KIFUNGO
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UBINAFSI
NB: Mwanaume wakweli hawez kubali chakata mbususu moja kila sku ni ujinga mtupu, yani mbususu moja inihangaishe wakati zpo kbao na rahs kuzila
Mwanaume ana tabia zipi!!?? Anapewa mimba!?Bado hujawa mwanaume kamili wewe ni mvulana unaeweza kuwapa wanawake mimba, mwanaume hana tabia hizo