Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
mwanaume anapata faida gani anapokuwa kwenye ndoa?
Huoni faida na hutokuja kuiona,

wewe endelea na nyeto na madada poa na kurubuni utakaorubuni,
Zalisha utakaoweza,
Tuma pesa ya matumizi wanaokulelea wakulelee,
kaa
wenye kisimu chako,
Endelea kutembeza bango la kataa ndoa.

that's what you were meant for.
 
very true

mkioana nyote mkiwa mnapendana na mna hofu ya Mungu mbona utataman msife muendelee kudumu tu
they why , wana complain kila siku humu?
mara wengine wananyimwa unyumga

unajua wanaume walio kwenye ndoa ni wateja wazuri kwenye madanguro?

kuna mwanaume humu umewahi msikia anacomplain kuwa yupo single?
 
Mimi ni mkristo madam
oh ndio mana, sisi waislam kuoa ni sheria, japo wapo wanaoenda kinyume mana unakuta tumeamriwa ndoa ya mke zaidi ya mmoja na mwisho ni wanne bado mtu ataoa wawili na bado nje atatoka huyo ana jukumu kwa Mungu wake ila tumeambiwa pia kama mmeshindwa au unaona kabisa ndoa kwako haitakaa itokee bas ufunge ili kujiepusha na maasia kama kutaman ukaishia kwenye uzinifu
 
they why , wana complain kila siku humu?
mara wengine wananyimwa unyumga

unajua wanaume walio kwenye ndoa ni wateja wazuri kwenye madanguro?

kuna mwanaume humu umewahi msikia anacomplain kuwa yupo single?
hivi mwanaume alienamsimamo kwamba mwanaume yule mwenye sauti na kufata misingi ya ndoa unakuaje mteja wa danguro wakat una mke wahalali??

mimi kwa imani yangu inaniambia mwanamke ukiona anajisahau sana unaruhusiwa kumrekebisha ukiona haelekei ruksa kumtaliki talaka moja kama kumtia adabu akajifunze kwanza na inakua na eda yan kipindi cha miezi mitatu hii ikipita kama bado mnataka mtatakiwa kuoana upya lakini unakuta wegi ndan ya hio miezi kwa mwenye kuelewa anajirud yanaisha sasa hivo hivo ukiona vipi ongeza wapili

mnaendeshwaje na watu waliotoka ubavuni mwenu??
 
Huoni faida na hutokuja kuiona,

wewe endelea na nyeto na madada poa na kurubuni utakaorubuni,
Zalisha utakaoweza,
Tuma pesa ya matumizi wanakulelea wakulelee,
kaa
wenye kisimu chako,
Endelea kutembeza bango la kataa ndoa.

that's what you were meant for.
bro!
take it easy.

nikweli mkuu . sio kila mkataa ndoa ni mfuska.

japo magonjwa hata kwenye ndoa yapo.
 
oh ndio mana, sisi waislam kuoa ni sheria, japo wapo wanaoenda kinyume mana unakuta tumeamriwa ndoa ya mke zaidi ya mmoja na mwisho ni wanne bado mtu ataoa wawili na bado nje atatoka huyo ana jukumu kwa Mungu wake ila tumeambiwa pia kama mmeshindwa au unaona kabisa ndoa kwako haitakaa itokee bas ufunge ili kujiepusha na maasia kama kutaman ukaishia kwenye uzinifu
Madam hata wakristo Ndoa ni muhumu ila ukweli ni kwamba Ndoa ilikuwa zaman sasa hivi unaweza ukawa unajitahid kutimiza maandiko, kuwajibika kumbe mwenzako yupo bize na kutimiza ya dunia sasa kuepusha mambo kama depressions, magonjwa,kujiua, kufungwa kujeruhiana ndo maana tunahimiza KATAA NDOA hiyo ndo solution pekee itakayoweza kumuokoa Kijana Maisha yenyewe haya saiv ukioa unapambana kila kitu sio kama zaman ukioa utapewa mashamba utapewa mtaji, sasa uhangaike na kujenga uchumi kisha uhangaike na Ndoa na stress zake

KATAA NDOA (Tulianza ambiwa enendeni mkaijaze Dunia)
 
Nakazia
 
Maisha ni dynamic na yamewekwa hivyo ili watu wawe na shukurani. Sasa mtu anataka kwenye comfort zone akae milele. Hayawezi kuwa maisha bila challenges
nikweli mkuu.
Do you love challenges ?
 
Madam hata wakristo Ndoa ni muhumu ila ukweli ni kwamba Ndoa ilikuwa zaman sasa hivi unaweza ukawa unajitahid kutimiza maandiko, kuwajibika kumbe mwenzako yupo bize na kutimiza ya dunia sasa kuepusha mambo kama depressions, magonjwa,kujiua, kufungwa kujeruhiana ndo maana tunahimiza KATAA NDOA hiyo ndo solution pekee itakayoweza kumuokoa Kijana Maisha yenyewe haya saiv ukioa unapambana kila kitu sio kama zaman ukioa utapewa mashamba utapewa mtaji, sasa uhangaike na kujenga uchumi kisha uhangaike na Ndoa na stress zake

KATAA NDOA (Tulianza ambiwa enendeni mkaijaze Dunia)
naandika nafuta hata sjui nikuelekezeje
 
bro!
take it easy.

nikweli mkuu . sio kila mkataa ndoa ni mfuska.

japo magonjwa hata kwenye ndoa yapo.
Kama ni mtawa that's excellent!

Many great men who did great things hawakuoa,
coz akili zote walizi invest kwenye kazi zao..

Pia unakuwa farther inthe spiritual path earlier in life
 
Back
Top Bottom