Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 671
- 1,245
Thanks bro !Endeleeni na campaign yenu mtatjiju,
msinichoshe mie
Tumekuja kuwashika , makamuzi yanaendelea.
Angalau basi watakao oa wajue au wategemee mambo gani yatawakuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks bro !Endeleeni na campaign yenu mtatjiju,
msinichoshe mie
Mimi ni mkristo madamSnapdragon 8 wewe ni dini gani??
vijana wanakuja kwenye senses zao halisi , mitego ya kijinga ni kuiepuka tu
Huoni faida na hutokuja kuiona,mwanaume anapata faida gani anapokuwa kwenye ndoa?
they why , wana complain kila siku humu?very true
mkioana nyote mkiwa mnapendana na mna hofu ya Mungu mbona utataman msife muendelee kudumu tu
oh ndio mana, sisi waislam kuoa ni sheria, japo wapo wanaoenda kinyume mana unakuta tumeamriwa ndoa ya mke zaidi ya mmoja na mwisho ni wanne bado mtu ataoa wawili na bado nje atatoka huyo ana jukumu kwa Mungu wake ila tumeambiwa pia kama mmeshindwa au unaona kabisa ndoa kwako haitakaa itokee bas ufunge ili kujiepusha na maasia kama kutaman ukaishia kwenye uzinifuMimi ni mkristo madam
Kichwa hujapewa cha kufugia nywele, wanawake wapo tegemezi na independent. Do the needfull!Kwa kijana mwenye kuhitaji kufanya mambo makubwa ndoa sio kipaumbele kwa maisha ya sasahivi.. Unless uwe na mwanamke ambae sio mzigo
Maisha ni dynamic na yamewekwa hivyo ili watu wawe na shukurani. Sasa mtu anataka kwenye comfort zone akae milele. Hayawezi kuwa maisha bila challengesI can feel your pain bro!
Enjoy life big man / happy wife happy life.
hivi mwanaume alienamsimamo kwamba mwanaume yule mwenye sauti na kufata misingi ya ndoa unakuaje mteja wa danguro wakat una mke wahalali??they why , wana complain kila siku humu?
mara wengine wananyimwa unyumga
unajua wanaume walio kwenye ndoa ni wateja wazuri kwenye madanguro?
kuna mwanaume humu umewahi msikia anacomplain kuwa yupo single?
bro!Huoni faida na hutokuja kuiona,
wewe endelea na nyeto na madada poa na kurubuni utakaorubuni,
Zalisha utakaoweza,
Tuma pesa ya matumizi wanakulelea wakulelee,
kaa wenye kisimu chako,
Endelea kutembeza bango la kataa ndoa.
that's what you were meant for.
Madam hata wakristo Ndoa ni muhumu ila ukweli ni kwamba Ndoa ilikuwa zaman sasa hivi unaweza ukawa unajitahid kutimiza maandiko, kuwajibika kumbe mwenzako yupo bize na kutimiza ya dunia sasa kuepusha mambo kama depressions, magonjwa,kujiua, kufungwa kujeruhiana ndo maana tunahimiza KATAA NDOA hiyo ndo solution pekee itakayoweza kumuokoa Kijana Maisha yenyewe haya saiv ukioa unapambana kila kitu sio kama zaman ukioa utapewa mashamba utapewa mtaji, sasa uhangaike na kujenga uchumi kisha uhangaike na Ndoa na stress zakeoh ndio mana, sisi waislam kuoa ni sheria, japo wapo wanaoenda kinyume mana unakuta tumeamriwa ndoa ya mke zaidi ya mmoja na mwisho ni wanne bado mtu ataoa wawili na bado nje atatoka huyo ana jukumu kwa Mungu wake ila tumeambiwa pia kama mmeshindwa au unaona kabisa ndoa kwako haitakaa itokee bas ufunge ili kujiepusha na maasia kama kutaman ukaishia kwenye uzinifu
NakaziaMadam hata wakristo Ndoa ni muhumu ila ukweli ni kwamba Ndoa ilikuwa zaman sasa hivi unaweza ukawa unajitahid kutimiza maandiko, kuwajibika kumbe mwenzako yupo bize na kutimiza ya dunia sasa kuepusha mambo kama depressions, magonjwa,kujiua, kufungwa kujeruhiana ndo maana tunahimiza KATAA NDOA hiyo ndo solution pekee itakayoweza kumuokoa Kijana Maisha yenyewe haya saiv ukioa unapambana kila kitu sio kama zaman ukioa utapewa mashamba utapewa mtaji, sasa uhangaike na kujenga uchumi kisha uhangaike na Ndoa na stress zake
KATAA NDOA (Tulianza ambiwa enendeni mkaijaze Dunia)
nikweli mkuu.Maisha ni dynamic na yamewekwa hivyo ili watu wawe na shukurani. Sasa mtu anataka kwenye comfort zone akae milele. Hayawezi kuwa maisha bila challenges
Kuwa na familia ndio proper way of spending your lifetime. Tuliotokea kwenye familia imara tunaona huo umuhimu ila hawa kikundi cha panyarodi wanaona kama ni vitu vya ajabu.Dunia uwanja wa fujo, ukiamka salama na wanafamilia unamshukuru Mungu maisha yanasonga.
naandika nafuta hata sjui nikuelekezejeMadam hata wakristo Ndoa ni muhumu ila ukweli ni kwamba Ndoa ilikuwa zaman sasa hivi unaweza ukawa unajitahid kutimiza maandiko, kuwajibika kumbe mwenzako yupo bize na kutimiza ya dunia sasa kuepusha mambo kama depressions, magonjwa,kujiua, kufungwa kujeruhiana ndo maana tunahimiza KATAA NDOA hiyo ndo solution pekee itakayoweza kumuokoa Kijana Maisha yenyewe haya saiv ukioa unapambana kila kitu sio kama zaman ukioa utapewa mashamba utapewa mtaji, sasa uhangaike na kujenga uchumi kisha uhangaike na Ndoa na stress zake
KATAA NDOA (Tulianza ambiwa enendeni mkaijaze Dunia)
Kama ni mtawa that's excellent!bro!
take it easy.
nikweli mkuu . sio kila mkataa ndoa ni mfuska.
japo magonjwa hata kwenye ndoa yapo.
Naam [emoji91][emoji91]Kataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Ndoa Ni Wizi
Ndoa Ni Ujinga
Kataa Ndoa
I do enjoy challenges as they make me grow and more experienced! Tough times never last.nikweli mkuu.
Do you love challenges ?