Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
But Hawa ambao ni upinde Sasa hivi wametoka kwenye jamii zenye NDOA.

Sijamaanisha upinde wote wanatokea pale pasipo na ndoa ila nimeisema kama moja consquences ya kukataa ndoa, ambapo hili limekuja kuwa hot sambamba na hii hashtag.

Halafu pia Upinde sio kwa jinsia Me pekee tuwaangalie na jinsia Ke pia.

Endapo zile chapa tembea zikizidi jinsia Ke watayachukia mapenzi halafu wataona bora watembezeane koboleo wao kwa wao, Ukoboaji ukitamalaki huku jinsia Me zitakumbana na scarcity ya Tundus hapo sasa ndipo itakapo kuja kutamalaki na kwa jinsia Me kulana kama Dinosaurs.

Ndio maana nasisitiza kama hii hashtag itawin sio leo wala kesho, Upinde watapata njia rahisi hapa kwetu.
 
Hapo sijaona hoja yako wewe mleta mada, swala ni kukataa ndoa na sio kukataa Kibwenye

Tofautisha ndoa na Kibwenye, ndoa ni utumwa yanini ujipe stress, hzo ajenda za upinde sema tu wewe mtoa mada ndo unaipush na ushindwe ulegee


KATAA NDOA NI UTUMWA
Ukikataa ndoa inamaana huakika wa kibwenye huna mpaka ulaghai laghai na kununua halafu unakuwa huru kwenye majumba ya starehe huko na kulala popote sababu huna wajibu wala majukumu mwishowe kuna siku nyege zako zitakutana na upinde.

KATAA NDOA inawezekana kweli ni mbinu ya upinde kujiongezea soko. Mwanaume asiye na ndoa ni mwanaume anayeruka ruka, uwezekano wa kuruka na kutua asipotegemea ni mkubwa.
 
i GUESS mlio kwenye ndoa mko happy sana kuliko mabaharia?
is this true?
Sio wote wako happy, afterall happiness is a feeling of completeness. Choose wisely to get the puzzle done!
 
kwani unaishi kwa kumfata mwengine namna anavyoishi?? yan kisa wanafunzi wa chuo hawajatulia wanchukuana wao kwa wao bas unaona watu wote wapo hivyo?? angalia vidole vya mikono kimoja ni kirefu vengine vifupi na Mungu ndio kaiumba hivo dunia kupishana uwiano uwe sawia
Madam hawa tunaotakiwa kuwaoa ndo hawa tunaoishi nao na wengine wapo kwenye hayo mazingira, nilichozungumzia Mimi sio wanafunzi wa chuo shida unakuta mavyuoni watu wapo na Ndoa zao lakini ndo hivyo mvurugano kama kijana wa miaka 18 sio mwanaume sio mwanamke huko makambini ndo kabisa koplo A anakula mke wa koplo B bila wasi aisee...
 
Ndio tatizo kubwa na wanaume hatujui yupi sahihi na yupi sio sahihi maana wengine wanakuwa waigizaji.
Sasa wanawake wengi asilimia 80% wa mjini wao wanajifanyaga hawazijui shida ila yote hio ni sababu ya malezi mabovu.

Mama amekuwa akimlea mtoto wake wa kike kwa kudanga leo baba huyu kesho baba yule. Unafikiri akikuwa mkubwa atakuwa na adabu na wanaume. Siongei mbovu ila you can not expect Paula wa Kajala aje kuwa mwanamke wa kutulia na kuvumilia dhiki.

Too bad wanaume tukiwa na upepo wa hela huwa tunahisi we can attract and change anything to be at our favor. Ofcourse hela itasaidia kum fool mwanamke kwa kipindi flani ila when she gets to her senses tatizo linaanza. Mtu kaokota mwanamke mjini huko labda dukani anataka amgeuze mke well mwanamke atakuigizia tu. Akishaipata ndoa you are doomed.
kweli kabisa, mimi niliwahi kujisemea kama mama yangu aliishi na baba yangu mpaka anafariki bas wanaume sahihi wapo na hawataisha Mungu anipe wa kwangu iwe kama hivi kwa mfano wa wazazi wangu and yes alhamdulillah na nnataka ikawe hivo kwa wanangu mimi sitaki kufeli kulea mana nitalea mtoto ambae atakua mfano mbaya its either afate mfano wangu au auzidishe zaidi baada ya kuufata
 
Hao wanaotembeza hizo# wengi ni [emoji2380] kuweni makini naona tu nawengine wanaiga ovyo hatari sana!
Muwapumzishe mashogaa bas, hizo kataa ndoa ni za wazinzi. Msitake kila jambo [emoji2380] wahusike khaaaah.
 
kweli kabisa, mimi niliwahi kujisemea kama mama yangu aliishi na baba yangu mpaka anafariki bas wanaume sahihi wapo na hawataisha Mungu anipe wa kwangu iwe kama hivi kwa mfano wa wazazi wangu and yes alhamdulillah na nnataka ikawe hivo kwa wanangu mimi sitaki kufeli kulea mana nitalea mtoto ambae atakua mfano mbaya its either afate mfano wangu au auzidishe zaidi baada ya kuufata
Mashaallah... Ni Upendo tu ndio kitu kinakupa msukumo. Lets teach love and not competition. Most parents wanaoharibu watoto wanaowafundisha competition kwamba be better than flani. Hio huwa at the end ndio inapelekea tamaa. Lets teach our children to love eachother.
 
Mwizi nae akija kusema hata wizi ulikuepo tangu enzi na enzi acha tuendelee kuwaibia atakua kakosea?

Wizi kuendelea kuwepo haimaanishi wizi ni jambo halali au ni jambo la kutamani liendelee kuwepo.
Jinai ya Wizi na ushoga ni tofauti.
Hebu waza kwa ufasaha.
 
hahaha, nilinusa jela miaka flani, nawapenda vijana wenzangu wasiingie huko, siyo kuzuri

niko chamani cuz siwezi afford kunasa STIs kwa kweli,
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 One mistake one goal. Better be precise when making life decisions.
 
Madam hawa tunaotakiwa kuwaoa ndo hawa tunaoishi nao na wengine wapo kwenye hayo mazingira, nilichozungumzia Mimi sio wanafunzi wa chuo shida unakuta mavyuoni watu wapo na Ndoa zao lakini ndo hivyo mvurugano kama kijana wa miaka 18 sio mwanaume sio mwanamke huko makambini ndo kabisa koplo A anakula mke wa koplo B bila wasi aisee...
ukiona mwanamke mwenye ndoa anadate nje ujue huyo anaendeshwa na tamaa, anajua nje atapata pesa ya hraka kwa jamaa na jamaa hana anachotaka kwake ni ngono hivo anailipia kwa kudate naye kumbe huyu huyu mwanamke angeweza kumweleza mumewe shida alionayo pengine hizo hela angepewa akampa mumewe haki yake kwa uhalali pengine mume hana bas tunausiwa kusubiri kua na subra sasa mtu unataka laki mbili leo leo utapata??

wanawake wenzangu walioko kwenye ndoa hebu wawe na hofu ya Mungu, kwanza ajue kabisa anavyozini anazini kisiri siri lakini Mungu anamuona hilo litoshe kukuusia kuacha, mpaka unaolewa ujue mwanaume amewaona wa kila namna wa kila rangi why wewe?? hebu mpe heshima yake kama una shida huyo ndio mtu unashea naye kitanda mweleze bila kumficha makando kando kwa wote hayana maana, mume amekosa stahmili mvumilie mstiri na shida zake sio tena ndio kelele watu wajue unalala na njaa au hufurahishwi kitandan


jifunzeni kutatua shida zenu wawili kwa kuziongelea sio mnaziweka rohoni zitawaumiza

hakuna anayeweza kutumikia mabwana wawili.
 
Kusema kweli mim natamani ndoa ni vile tu pesa Sina mim pekee yangu Milo mitatu inanishinda ,ni mlo mmoja mchana usiku mo energy na andazi mbili za bakhressa....

Kodi tunalipa Kwa manati ,Sasa unafikili kuoa mwanamke ambaye atakuja kulala njaa ,,unagundua hayupo ....

Hata unayemtongoza akigundua unamaisha ya kuunga unga basi anakukimbia haraka Sana kama ukomaa .....unaishia kula Malaya wa buku tatu ....


Siku nikizipata lazima niweke ndani toto Moja kalii ni full kulitafuna usiku mchana na jion kama dozi ya dawa ...
naye ni kiumbe hai kuna siku hatafuniki anaumwa itakuwaje
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 One mistake one goal. Better be precise when making life decisions.
nishikie panga sasa hivi, nipe machaguo mawili , ndoa au kuchinjwa

nasema hivi, bora unichinje, ujambazi uliorasimishwa na vitabu vya dini pamoja na serikali, mimi nitaukataa daima
 
Back
Top Bottom