Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kwa hyo mnataka kusema wote wasio na vyeti vya ndoa ni mashoga ? Mbona wengi wao wenye hvyo vyeti wapo kinyonge nyonge kama mashoga?
 
ndugu zangu wanaume na wavulana saiv kuna magonjwa ya afya ya akili inasababisha na wanawake tunaowaoa ' wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa kutaka mali hawana upendo wa dhat
Ni bora usioe kataa ndoa ni utumwa ndoa ni stress
ukitaka kuishi muda mrefu usioe
 
Siku ukizeeka ndio utajua maana ya kuwa na familia

🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈
 
ndugu zangu wanaume na wavulana saiv kuna magonjwa ya afya ya akili inasababisha na wanawake tunaowaoa ' wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa kutaka mali hawana upendo wa dhat
Ni bora usioe kataa ndoa ni utumwa ndoa ni stress
ukitaka kuishi muda mrefu usioe
Ni kweli ndoa zimekuwa ndoana ...being single is cool nowadays ...ila nawaasa msikae single mkaanza kutoboana suruali huko
 
ndugu zangu wanaume na wavulana saiv kuna magonjwa ya afya ya akili inasababisha na wanawake tunaowaoa ' wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa kutaka mali hawana upendo wa dhat
Ni bora usioe kataa ndoa ni utumwa ndoa ni stress
ukitaka kuishi muda mrefu usioe
Unapata wapi jjeuri hiyo ya kupinga agizo la MUNGU, wewe nani hata uharibu uumbaji wa Mungu aliagiza mtu na awe na mke wake, unadhani kuacha ndiyo kutatua tatizo?,Kwahiyo unapendekeza waziliane watoto watalelewa na mitaa au majalaa?
 
Upinde wa mvua unasambaa huo
 
Fact mkuu hii kitu madhara yake baadae kama haya

1) kuwa na jamii isiyo na malezi sahihi na kuharibika maadili ,hii ni sababu wengine wataamua kuzaa na kulea wao(single mother /single father) malezi ya upande mmoja Kuna kanamna flani mtoto anakosa kitu mkiwa wawili mnasaidiana Kuna muda utateleza unarekebishwa pia kisaikolojia mtoto anakaa sawa

2) kupoteza nguvu kazi (jamii kupoteza mwelekeo) .hii sababu ni watu watafanya kiholela kukidhi haja ya mwili humo Kuna magonjwa n.k kukiwa na ndoa Kuna utaratibu mzuri wewe kufanya na mwenzi wako tu achana na fikra mbona wapo wenye ndoa na wanachepuka note: kufanya dhambi kwa mtu kusikufanye na wewe hiyo dhambi iwe Hali kwako

Nawasilisha
 
ndugu zangu wanaume na wavulana saiv kuna magonjwa ya afya ya akili inasababisha na wanawake tunaowaoa ' wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa kutaka mali hawana upendo wa dhat
Ni bora usioe kataa ndoa ni utumwa ndoa ni stress
ukitaka kuishi muda mrefu usioe
Kila mtu anaingia kwenye ndoa kwa madhumuni binafsi upendo ikiwa ni moja ya hayo mambo mengi.
 
We jinsi gani? Pls
Ndoa zinafaida kwa ke kwa me ni utumwa kwa dunia ya sasa,mwanamke kwangu akigusia kufunga ndoa napga chin . Nipo tyr kukaa na mwanamke ata miaka100 bila kufunga ndoa
 
Back
Top Bottom