StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Kuna ndoa na kuna malezi. Kuna malezi na kuna malezi Bora.But Hawa ambao ni upinde Sasa hivi wametoka kwenye jamii zenye NDOA.
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ndoa na kuna malezi. Kuna malezi na kuna malezi Bora.But Hawa ambao ni upinde Sasa hivi wametoka kwenye jamii zenye NDOA.
dr lumilo, swali moja tu kwako.ndugu zangu wanaume na wavulana saiv kuna magonjwa ya afya ya akili inasababisha na wanawake tunaowaoa ' wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa kutaka mali hawana upendo wa dhat
Ni bora usioe kataa ndoa ni utumwa ndoa ni stress
ukitaka kuishi muda mrefu usioe
Bora aliyepo kwenye ndoa kwani vijana wanaogopa nini kwenye ndoa kama wananguzu za kiumeNa hata wanaooa pia wanafanya hivyo kama gelesha tu! watu wapo kwenye ndoa na wanasujudu upinde
🤣🤣🤣🤣🤣 dronedrake njoo uoneNa hata wanaooa pia wanafanya hivyo kama gelesha tu! watu wapo kwenye ndoa na wanasujudu upinde
Sasa dume zima kama halitaki kuoa basi sharti liolewe tuUpinde tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naono umewamwua kunjibu ile mithu iliyokuwa inalalaminka jaano kunyimwa paputhi na Semeji yetho hapwa Jamii Flaamo....[emoji4]Kama wanataka Mali usije kuoa mchaga, msukuma na mhaya hizo jamii ni hatar sana na Wana roho za kutu ...Kama unabisha nenda mahakamani ukafuatikia kesi za mirathu ni hayo makabli kila siku.
Kijana tafuta mke katulia na anajitambua sio hawa weny elimu ya kucopy na kupaste..Hata ukiangalia waropokaji wengi mitandaoni ni jamii izo kuweni makini.
vijana wanazidi kupata akili ya kukataa ndoa🤣🤣🤣🤣🤣 dronedrake njoo uone
ukipiga nyeto ukatoka nje, wanawake unawaona takataka
Mkuu ngoja tutafute pesa tu wanawake wazuri wapo hakuna mwanamke mzuri atakae kuvumilia uspo kuwa na pesa , hakuna mwanamke mzuri anavumilia shida ukishakuwa na pesa nyingi ndoa ya nini wakati watoto wazur wanazaliwa kila sku.Na wanawake wenyewe hawataki kuolewa na wavulana kama nyie...wataolewa na wanaume wanaojitambua, wanaoutambua uanaume wao na nafasi zao kama wanaume na waume za watu.
Nyie subirini mkue kwanza
Wanaume wenye ndoa ndo wameolewa yani wameoana ,sisi tusio na ndoa tumeoa tu tukitaka tunatimua mda wowote ,tunavuta kitu mpyaUsipooa unaolewa
Hakuna kuwa single tunakataa ndoa za vyeti tu , sheria zimebana mno upended wetu bora kukataa ndoaNi kweli ndoa zimekuwa ndoana ...being single is cool nowadays ...ila nawaasa msikae single mkaanza kutoboana suruali huko
Hakuna agizo Mungu aliagiza usaini vyeti na kupigwa Pete kama mbwa , ila lipo agizo tuzaliane tuijaze duniaUnapata wapi jjeuri hiyo ya kupinga agizo la MUNGU, wewe nani hata uharibu uumbaji wa Mungu aliagiza mtu na awe na mke wake, unadhani kuacha ndiyo kutatua tatizo?,Kwahiyo unapendekeza waziliane watoto watalelewa na mitaa au majalaa?
Ndoa ya kusaini ina husiana vp na kuchakata mkuu mbona tunawachakata mpka wake wa nyie mwenye vyetiVijana wamekuw wa hovyo sana hawataki kuoa, coz hawana nguvu za kuime kwa sababu ya kupiga punyeto mwisho wanaishia kupakwa mafuta ndio wanakuja na hii kampeni ya kukataa ndoa
Suleiman alivyozichakata wake 700 na masuria 300 alipata laana ganiKataa UZINZI na UASHERATI Vijana ili kuepukana na madhara;
1. Kufia juu ya kipochi manyoya.
2. Kuambukizwa magonjwa ya ZINAA na UKIMWI.
3. Kufilisika kiuchumi kwa kutapanya tapanya mali hovyo kwa PISI KALI.
4. Kubeba mikosi na laana ya Ke usiowajua katika historia ya maagano ya makabila/koo walizotokea.
5. Matumizi hovyo ya rasilimali mwili maana kadri utumiavyo kitu chochote kile kila siku katika maisha ndivyo kadri kinavyopoteza ubora wake haraka sana.
6. Kutesa Watoto wanaolelewa na Wazazi upande mmoja (Single mothers/Single Fathers).
7. Kukosa mshauri mzuri kimatunzo katika afya ya Kimwili, Kiroho, Kiakili na Kiuchumi.
Kuchakata haibadilishi maana ya ndoaNdoa ya kusaini ina husiana vp na kuchakata mkuu mbona tunawachakata mpka wake wa nyie mwenye vyeti
Ndoa inakua nzur ukipata mwanamke anaeishi maisha ya 1961 ila hawa wa sasa mkuu tutawachakata bila ndoa tu mkuu liwalo na liweKuchakata haibadilishi maana ya ndoa