Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Ngoja nipate kwanza jagamasta,
nione mapovu ya wavulana wisiotaka kuoa na wasichana wanaotaka kuolewa
 
ndugu zangu wanaume na wavulana saiv kuna magonjwa ya afya ya akili inasababisha na wanawake tunaowaoa ' wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa kutaka mali hawana upendo wa dhat
Ni bora usioe kataa ndoa ni utumwa ndoa ni stress
ukitaka kuishi muda mrefu usioe
dr lumilo, swali moja tu kwako.
Je? Bi mkubwa wako alikua Ni single mother?
Jibu Hilo kwanza ili niepuke kukukwaza kwenye maoni ntakayotoa.
 
Kama wanataka Mali usije kuoa mchaga, msukuma na mhaya hizo jamii ni hatar sana na Wana roho za kutu ...Kama unabisha nenda mahakamani ukafuatikia kesi za mirathu ni hayo makabli kila siku.

Kijana tafuta mke katulia na anajitambua sio hawa weny elimu ya kucopy na kupaste..Hata ukiangalia waropokaji wengi mitandaoni ni jamii izo kuweni makini.
Naono umewamwua kunjibu ile mithu iliyokuwa inalalaminka jaano kunyimwa paputhi na Semeji yetho hapwa Jamii Flaamo....[emoji4]
 
a9db92c3-3a1f-43ed-bb3a-d100e2b7ddf8.jpg
 
Na wanawake wenyewe hawataki kuolewa na wavulana kama nyie...wataolewa na wanaume wanaojitambua, wanaoutambua uanaume wao na nafasi zao kama wanaume na waume za watu.

Nyie subirini mkue kwanza
Mkuu ngoja tutafute pesa tu wanawake wazuri wapo hakuna mwanamke mzuri atakae kuvumilia uspo kuwa na pesa , hakuna mwanamke mzuri anavumilia shida ukishakuwa na pesa nyingi ndoa ya nini wakati watoto wazur wanazaliwa kila sku.
 
Ni kweli ndoa zimekuwa ndoana ...being single is cool nowadays ...ila nawaasa msikae single mkaanza kutoboana suruali huko
Hakuna kuwa single tunakataa ndoa za vyeti tu , sheria zimebana mno upended wetu bora kukataa ndoa
 
Unapata wapi jjeuri hiyo ya kupinga agizo la MUNGU, wewe nani hata uharibu uumbaji wa Mungu aliagiza mtu na awe na mke wake, unadhani kuacha ndiyo kutatua tatizo?,Kwahiyo unapendekeza waziliane watoto watalelewa na mitaa au majalaa?
Hakuna agizo Mungu aliagiza usaini vyeti na kupigwa Pete kama mbwa , ila lipo agizo tuzaliane tuijaze dunia
 
Vijana wamekuw wa hovyo sana hawataki kuoa, coz hawana nguvu za kuime kwa sababu ya kupiga punyeto mwisho wanaishia kupakwa mafuta ndio wanakuja na hii kampeni ya kukataa ndoa
Ndoa ya kusaini ina husiana vp na kuchakata mkuu mbona tunawachakata mpka wake wa nyie mwenye vyeti
 
Kataa UZINZI na UASHERATI Vijana ili kuepukana na madhara;

1. Kufia juu ya kipochi manyoya.

2. Kuambukizwa magonjwa ya ZINAA na UKIMWI.

3. Kufilisika kiuchumi kwa kutapanya tapanya mali hovyo kwa PISI KALI.

4. Kubeba mikosi na laana ya Ke usiowajua katika historia ya maagano ya makabila/koo walizotokea.

5. Matumizi hovyo ya rasilimali mwili maana kadri utumiavyo kitu chochote kile kila siku katika maisha ndivyo kadri kinavyopoteza ubora wake haraka sana.

6. Kutesa Watoto wanaolelewa na Wazazi upande mmoja (Single mothers/Single Fathers).

7. Kukosa mshauri mzuri kimatunzo katika afya ya Kimwili, Kiroho, Kiakili na Kiuchumi.
Suleiman alivyozichakata wake 700 na masuria 300 alipata laana gani
 
Back
Top Bottom