Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Hiyo 50/50 yao waendelee nayo ila sisi HATUOI.Sheria msumeno.
Ww hata ukitaka kujiua Tyr ni kosa. Na mwili ni wako mwenyewe.
Au ukitishia kuua na haujaua Tyr ni kosa kisheria.
Hio ardhi unayodai unaimiliki ni Mali ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania . Ndo maana mnalipia Kodi.
Mtoto aliefikisha umri wa kwenda shule ni Mali ya Jamhuri ya muungano. Ndo maana usimpompeleka kwa Sasa utachukuriwa hatua tu .
Cha ajabu mnakaza fuvu na 50/50 ya mwanamke, kama sio wivu kwa Wanawake nini,?
#KATAANDOA