Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Sheria msumeno.

Ww hata ukitaka kujiua Tyr ni kosa. Na mwili ni wako mwenyewe.

Au ukitishia kuua na haujaua Tyr ni kosa kisheria.

Hio ardhi unayodai unaimiliki ni Mali ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania . Ndo maana mnalipia Kodi.

Mtoto aliefikisha umri wa kwenda shule ni Mali ya Jamhuri ya muungano. Ndo maana usimpompeleka kwa Sasa utachukuriwa hatua tu .

Cha ajabu mnakaza fuvu na 50/50 ya mwanamke, kama sio wivu kwa Wanawake nini,?
Hiyo 50/50 yao waendelee nayo ila sisi HATUOI.
#KATAANDOA
 
Kwani ww ulitarajia nini kwa mkeo akupe mpaka ukamuoa ?

NB: Kuishi pamoja na mwanamke kinyumba kwa miezi sita tu hapo itahesabiwa mmeoana Tyr kisheria na ana haki zote za mke. Otherwise aishi kwao .

Pia ukimzalisha Binti wa MTU Tyr ni mzazi mwenzio na utamtunza mtoto wako hata kama Baba wengine wanamla mama wa mtoto wako. (Sad to your Children)
Angalia hii jinga nyingine embu soma sheria ya ndoa achana na maneno ya mtaani nenda mahakamni uone kama kuna sheria ya kijinga kama iyoo unaisi watunga sheria ni wajinga kama ww et miezi 6 alafu sheria haifungishi ndoa inaangalia uhalali na vipi unaweza mkompaset uliyeishi naye na siyo kupewa haki kama mwanandoa

Mwanangu ni damu yangu ndugu yangu wa kweli atapata haki zote kama mwangu mama yake ata akitiwa na mdogo wangu yeye haniusu yule aigawe atakavyo kuliko we mahari umetolea na harusi kubwa bado anatiwa na wana kama hajaolewa vile watu wanajilia watakavyo
 
Ndio nimekwambia huyo unaeishi NAE Tyr ni mkeo.

Hicho Cheti ni sehemu tu ya ushahidi wa ndoa .
Huo ushaidi upo kwa sababu linaweza kutokea la kutokea , kataa huo ushaidi wa ndoa kwa sababu hauna haki kwa wewe mwanaume na hauna faida yoyote.
 
Angalia hii jinga nyingine embu soma sheria ya ndoa achana na maneno ya mtaani nenda mahakamni uone kama kuna sheria ya kijinga kama iyoo unaisi watunga sheria ni wajinga kama ww et miezi 6 alafu sheria haifungishi ndoa inaangalia uhalali na vipi unaweza mkompaset uliyeishi naye na siyo kupewa haki kama mwanandoa
Kasome nd urudi tubishane.
 
Kukataa ndoa nd kufanya nini? Mbona hueleweki . Unachokikataa ndicho ulichokifanya Sasa ndo nini
Kama nimekifanya mbona hyu binti usku kucha ananiambia mume wangu tufunge ndoa na mimi najibu sahau hicho kitu ,hiko anachoomba ni nini au amechanganyikiwa?
 
FB_IMG_16672162003912068.jpg
 
Kama nimekifanya mbona hyu binti usku kucha ananiambia mume wangu tufunge ndoa na mimi najibu sahau hicho kitu ,hiko anachoomba ni nini au amechanganyikiwa?
Kwaio kwa akili zako huyo Binti anataka akuibie Mali zako ?

Labda tu nikuulize unakula chakula anachopika huyo mwanamke? Kama ndio unazani anashindwa kukumudu ikiwa zamira yake ni hio ?

Huyo anataka heshima yake muheshimishe kwa kumtambulisha rasmi kuwa ni mkeo halali. Pia huenda anatamani tu kufanyiwa sherehe yake ya pili (harusi).

Mbona hujiamini ww huo ndo udhaifu ninaozungumzia.
 
Kama nimekifanya mbona hyu binti usku kucha ananiambia mume wangu tufunge ndoa na mimi najibu sahau hicho kitu ,hiko anachoomba ni nini au amechanganyikiwa?
Huyo Binti hataki ndoa maana ndoa kishaipata anataka sherehe (harusi) . Over.
 
Kwaio kwa akili zako huyo Binti anataka akuibie Mali zako ?

Labda tu nikuulize unakula chakula anachopika huyo mwanamke? Kama ndio unazani anashindwa kukumudu ikiwa zamira yake ni hio ?

Huyo anataka heshima yake muheshimishe kwa kumtambulisha rasmi kuwa ni mkeo halali. Pia huenda anatamani tu kufanyiwa sherehe yake ya pili (harusi).

Mbona hujiamini ww huo ndo udhaifu ninaozungumzia.
Mkuu mengi asingefanya hayo unayonishauri yule kahaba angesumbua familia yake?
 
Hahaha mkuu unakaza fuvu tu ww kama mwanaume umeshaelewa hoja ni ipi.
Hujajibu kitu hapo. Nimekwambia mkeo anataka harusi (sherehe ya ndoa) sio ndoa maana ndoa kishaipata. Sasa ww tatizo lako lipo wapi kutojiamini ?
 
Mkuu mengi asingefanya hayo unayonishauri yule kahaba angesumbua familia yake?
Si unaona tatizo Sasa kumbe Demu wako au mzazi mwenzio ni Kahaba. Hilo ndio tatizo na kwa kweli ni tatizo kubwa sana. Na yy ndo sababu ya makasiriko yote haya sio ?
 
Hakuna watu nawapenda kama mabinti zangu watatu mama yao na mama yangu , hyo haibadilishi kwamba kwa sasa ndoa ni utapeli kwa mwanaume.
Ila uko hapa unashinikiza watu wakatae ndoa wakati wewe na watoto unao. Akili kumkichwa
 
Si unaona tatizo Sasa kumbe Demu wako au mzazi mwenzio ni Kahaba. Hilo ndio tatizo na kwa kweli ni tatizo kubwa sana. Na yy ndo sababu ya makasiriko yote haya sio ?
Nilijua una hoja kumbe na ww hauna hoja , mkuu kataa ndoa za sasa, ni utapeli ila kma umeshafunga ww ni kamari umecheza pia mda wowote unaweza kuwa timu kataa ndoa.
 
Back
Top Bottom