Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Umeweka hisia mno , legeza ubongo binafsi single mother siwezi ata mtongoza tu , ila ndoa hapana , haina faida kwangu kama najua kutafuta kwanini nisizae ata wawe 50 ni matakwa yangu , kuna wanawake ni feminist ila ukiwa mwanaume haswa hawana jipya unawazalisha ata kumi kama mayai yapo.
Single mother huwezi mtongoza wakati unaishi nae kwako🤣 hivi una akili zimetimia kweli? Huyo ni mkeo utake usitake. Unless kama unamfungia mbegu kwenye mfuko anaenda kujipandikiza huko anakuzalia. Ila kama anaamka asubuhi ndani kwako, analea wanao, anakupikia, anakufulia na majirani wanamuona akitokea kwako subiri matokeo. Ila usijiite huna ndoa au unadhani unamkomesha kwa kumzalisha na kumchakaza.

Hujui hata definition ya ndoa. Ni makaratasi tu yale. Ila circumstantial evidence zinakuonesha wewe kama mume. Na hata ukifa leo huyo mkeo ndo anatambulika na familia.
 
Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania

Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Kama unaona hoja fulani haifai, ishinde kwa ushawishi wa hoja mbadala.

Usitake kuinyamazisha kwa mabavu.
 
Huyu Halijui hilo. Huyu jamaa ni layman. Akatafute presumption of marriage. Unadhani kumzalisha mtu watoto watatu na kumwacha anazagaa hapo ndo umekimbia repercussions za ndoa? Akiamua kusema wewe ni mumewe ana uwezo huo na mahakama inakubali. Tatizo mnakaza mafuvu wakati ni vilaza. min -me
Na mimi kama kilaza nikiamua kusema nilitekwa sio ridhaa yangu kuwa nae?
 
Single mother huwezi mtongoza wakati unaishi nae kwako[emoji1787] hivi una akili zimetimia kweli? Huyo ni mkeo utake usitake. Unless kama unamfungia mbegu kwenye mfuko anaenda kujipandikiza huko anakuzalia. Ila kama anaamka asubuhi ndani kwako, analea wanao, anakupikia, anakufulia na majirani wanamuona akitokea kwako subiri matokeo. Ila usijiite huna ndoa au unadhani unamkomesha kwa kumzalisha na kumchakaza.

Hujui hata definition ya ndoa. Ni makaratasi tu yale. Ila circumstantial evidence zinakuonesha wewe kama mume. Na hata ukifa leo huyo mkeo ndo anatambulika na familia.
Hakuna single mother anaishi na mwanaume mkuu .
 
Ndoa yenye mashaidi na sahhi yangu hyo ndio ndoa kwa mujibu wa sheria , vinginevyo nitumie tu busara kumtunza tukiachna, kama ile sio ndoa kwa nini iwepo ??
 
Huyu Halijui hilo. Huyu jamaa ni layman. Akatafute presumption of marriage. Unadhani kumzalisha mtu watoto watatu na kumwacha anazagaa hapo ndo umekimbia repercussions za ndoa? Akiamua kusema wewe ni mumewe ana uwezo huo na mahakama inakubali. Tatizo mnakaza mafuvu wakati ni vilaza. min -me
Sheria ya Ndoa ndio Mwiba kwa wanaume ni Sheria Mbovu Mbovu Mbovu kuwahi kutokea alafu eti tuna wabunge na wanasheria wapo tu wanaichekea hii Sheria kandamizi, Sheria inayoubeba u-feminist juu na kukandamiza wanaume chini Sheria hii ina manufaa gani sasa?
 
Sio tu humu tz watu wamegoma ndoa, dunia nzima ndoa ni mwiba kwa wanaume na za kuepuka ,labda nchi za kiislamu na zenye mfumo dume tu kama Afghanistan [emoji1023] ndoa zinakuwa tamu mno.
 
Wanaoumia ni wale wenye vijana wao wa kike na wa kiume ambao hawatamani wazaane hovyo bila utaratibu wa ndoa na wanajua kwa dunia ya teknolojia watapita kusoma hizi mada nyakati fulani katika maisha yao. Inapendeza kuwa kuna watu wengi wanaelewa kwann katika nyakati fulani huko nyuma binadamu walikuja na mfumo wa ndoa badala ya kupandana kama ng'ombe. Hakuna jipya chini ya jua. Kuna sababu kwann binadamu alifikia uamuzi wa kuweka utaratibu wa ndoa.
Zamani walikuwa wanaona na kuanzisha familia yenye amani maana mwanamke alikuwa hana tamaa za mali na pia alijua kabisa kama akizingua anarudishwa kwao mikono mitupu. Ikafamfanya mwanamke awe na utii kwa mme wake.

Kufunga ndoa ni kumpa haki ya kumiliki mali na nadhani ndiyo sababu kubwa ya ndoa. Ndoa za sasa kipaumbele cha mwanamke siyo kutengeneza familia bali ni kuchuma mali. Ndiyo maana wana msemo wao wa tafuta pesa. Mwanamke akifunga ndoa anaona amemaliza kila kitu katika hii life, hana utii, ubabe, uvivu, umalaya yaaan anakuwa na tabia zote mbovu akijua kwamba ana kinga ya ndoa.

Ukiishi na mwanamke bila kufunga ndoa anakuwa na adabu na utii ila ukijiloga ukafungwa ndoa hapo imekula kwako.
 
Sio tu humu tz watu wamegoma ndoa, dunia nzima ndoa ni mwiba kwa wanaume na za kuepuka ,labda nchi za kiislamu na zenye mfumo dume tu kama Afghanistan [emoji1023] ndoa zinakuwa tamu mno.
Ndio Ila chanzo cha yote ni Sheria mbovu zilizochomekwa mifumo ya kifeminist, ushaelewa ukiweka ufeminist mbele sana hata kwenye familia yako unaiua familia inakufa kabisa
 
Kimsingi anaekataa ndoa ana sense of COWARDNESS.
Bila ndoa tutatengeneza jamii inayo puyanga na watoto wasiokuwa na hofu ya Mungu wala njia nyofuu.
Hakuna mtoto anaefurahia malezi ya upande mmoja tu. Mtoto mwenye vision nzuri ni yule aliye lelewa au kupata mapenzi ya wazazi wote wakiwa pamoja.
 
Back
Top Bottom