Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Na wale wanaofunga ndoa kimila wanasajiliwa na serikali gani? Yani hiyo hiyo serikali unayosema inasajili inatambua swala ya presumption ya miaka miwili wewe unakuja na nadharia zako. Nasema hiyo sheria acha ikaze. Na tutahakikisha inakaza. Endeleeni kujipa moyo. Lasivyo muwe mapadri msichezee watoto wa watu
Unaongelea mhemko wakati kitaa mambo ni taofuti kabsa , hakuna kimila kikanisani au kiserikal , zote hizo ni njia ambazo hakimu wa mwisho serikali , sogea tuishi akinipenda tutaishi hivyo mpka mwisho , akileta nyoko natimua .
 
Ulitaka nisiwe na upendo kwa mama wa mwanangu eti kisa nimeachana nae ? Ata kma sasa ninaishi na mwingne? Ww ndio haujaelewa apo ninazungzia wanawake wawli single mother na ninae ishi naye.
Kwahiyo kwako ni ufahari kuzalisha na kuacha wanawake. Ndo mnatutengenezea kizazi cha hovyo wanakuja kuwa rainbow baadae kwasababu wanalelewa na baba asiejielewa, mama wa kambo nae hawi na muda wa kumtunza na kumlea mtoto ipasavyo. Wanawake wangekua wanayajua haya yote mapema wasingekimbilia kuwabebea mimba wanaume ambao hawajitambui. Asilimia 90% humu ya mnao tukana single mothers ni zao la single mothers na mna watoto kwa hao single mothers. Sasa nyinyi ambao ni zao la single mothers hamna mfano bora wa ndoa ndo maana mnazalisha na kuacha. Hamna mlichojifunza ndo maana hamuoni umuhimu wa familia kuwa na baba na mama mzazi katika makuzi ya watoto.
 
Narudia tena.

Ndoa ni nomino.

Kuoa ni kitenzi.

Ni kama usingizi na kusinzia. Huwezi ukasinzia alafu ukasema Sina usingizi.

Kukataa Sheria Mbovu za ndoa ni tofauti na Kukataa ndoa .

Wengi humu mnakataa Sheria Mbovu za ndoa na sio ndoa . Kama ni hivyo nitaunga mkono hoja vinginevo hamjui msemalo.
 
Unaongelea mhemko wakati kitaa mambo ni taofuti kabsa , hakuna kimila kikanisani au kiserikal , zote hizo ni njia ambazo hakimu wa mwisho serikali , sogea tuishi akinipenda tutaishi hivyo mpka mwisho , akileta nyoko natimua .
Bado tunarudi kule kule. Ndoa sio makaratasi. Naona unaikwepa hiyo point kwasababu ni nyundo. Elewa hivyo. Alafu mda mwengine mnaogopa kupoteza mali ambazo hata hamna. Unakuta mtu hana hata kiwanja ila anakwambia nikioa mwanamke atachukua mali zangu. Mali gani sasa vitana na rice cooker au?
 
Kwahiyo kwako ni ufahari kuzalisha na kuacha wanawake. Ndo mnatutengenezea kizazi cha hovyo wanakuja kuwa rainbow baadae kwasababu wanalelewa na baba asiejielewa, mama wa kambo nae hawi na muda wa kumtunza na kumlea mtoto ipasavyo. Wanawake wangekua wanayajua haya yote mapema wasingekimbilia kuwabebea mimba wanaume ambao hawajitambui. Asilimia 90% humu ya mnao tukana single mothers ni zao la single mothers na mna watoto kwa hao single mothers. Sasa nyinyi ambao ni zao la single mothers hamna mfano bora wa ndoa ndo maana mnazalisha na kuacha. Hamna mlichojifunza ndo maana hamuoni umuhimu wa familia kuwa na baba na mama mzazi katika makuzi ya watoto.
Hii ni fact mkuu, hapa Kuna ishara ya ongezeko la watu wa rainbow [emoji304] huko miaka ya mbele kutoka katika familia zao.
 
Mtazalishwa mpaka vichwa viwakae sawa si hua mkiwa period mnalia bora nizae tu kuliko haya maumivu ninayopitia
 
Bado tunarudi kule kule. Ndoa sio makaratasi. Naona unaikwepa hiyo point kwasababu ni nyundo. Elewa hivyo. Alafu mda mwengine mnaogopa kupoteza mali ambazo hata hamna. Unakuta mtu hana hata kiwanja ila anakwambia nikioa mwanamke atachukua mali zangu. Mali gani sasa vitana na rice cooker au?
Mkuu unafanya kujaza maji kwenye [emoji2781]
 
Hapo sawa mkuuuu niko pamoja na wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kufunga ndoa ila unakuwa Umeoaaaa. Huu ndo unyamaaa yani. Akikubali inakuwa piaaa shidaa nae anakuwa anazingua anatakaa ndoa ndani amani hakuna
Fukuza mkuu , au mtafutie mpinzani atatulia tu.
 
Hii ni fact mkuu, hapa Kuna ishara ya ongezeko la watu wa rainbow [emoji304] huko miaka ya mbele kutoka katika familia zao.
Hata ukiangalia wengi wao wanaopinga ndoa. Kuna vi element. Wamelelewa kwa migawanyiko basi wanashinikiza na dunia nzima iwe hivyo. Mtoto alielelewa ndani ya ndoa ana experience kwamba ndoa inafananaje na ina umuhimu gani. Changamoto zipo ila hazimaanishi kwamba ndoa zote zitakua hivyo
 
Tembeleni 01 ni mwanamke feminist mmoja mpigaji anaehamasisha upigaji kupitia mradi wa Ndoa unaotegemewa na wanawake
Huo mradi hata nyinyi wanaume siku hizi mmeibuka nao. Mnalenga wanawake wenye hela mnawaganda mnawaoa sijui ndo mnaolewa nyie then mkipata chance mnawaua mnabeba mali zao.
 
Mdada ni jinsia ya KE pia akiwemo, mama ako, Shangazi ako, Bibi ako, Dada ako, Binti ako na huyo Demu wako unaeishi NAE .

Sasa kuwa Mdada ndio nini? Kama kuwa Mdada ni laana wameanza kuifanya hao akiwe mama ako.
Nilikua nachati nawewe kama mwanaume , kuna namna yakuongea na wanawake ujue , sijasema kwamba ni vbaya ndugu.
 
Hata ukiangalia wengi wao wanaopinga ndoa. Kuna vi element. Wamelelewa kwa migawanyiko basi wanashinikiza na dunia nzima iwe hivyo. Mtoto alielelewa ndani ya ndoa ana experience kwamba ndoa inafananaje na ina umuhimu gani. Changamoto zipo ila hazimaanishi kwamba ndoa zote zitakua hivyo
Kwanza mwaume utatamani vipi kushindana na mwanamke.

Yaani mwanamke akihitaji kukudhuri hasubiri hicho wanachodai ni ndoa

Ukiona mwanamke kakukosa jua anakupenda ama hajakutaka tu .
 
Wapi kwa ridhaa yangu nilikubali bila kulazimishwa na mtu? Ndio maana kwenye kiapo kinarudiwa mara mbili au tatu ili usikute ulirukwa akili ukakubali.
Kuna mtu anaishi na mwanamke nyumbani kwake kwa kulazimishwa? Kawatafute wanasheria wa huko kwenu wakuelezee
 
Back
Top Bottom