Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mkuu ni wapi nimesema nimefanya utafiti?kiongozi kwaiyo utafiti wako unaotuoatia apa kumbe ni kwa mwanamke mmoja, kelele zote kumbe ni ako kadem kamoja mmeokotana kwenye vigodoro alaf unamchumbia, dem anayejitambua hawezi kuwa ivyo. jaribu mwingine mkuu achana na mawazo ayo
Hapa nimezungumzia majanga niliyokutana nayo kwenye ndoa
Haikuishia hapo baadae nikataka kuoa tena nikiwa kwenye uchumba mtu akinigeuza sponsor nikapiga chini faster
Maana alishaanza kuniletea tabia za kibinafsi akaanza kuniletea nduvu zake niwasaidie pesa
Nikaona hili jini nyonyaji nimapiga chini
Nikasema sasa ni mwendo wa kata funua kuoa noooo
Ndo nikakutana na binto mmoja ambaye mpaka sasa ananishawishi kumuoa lakini bado nasita