Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ubaya tunakubaliana kupoteza vijana wenzetu sisi dada zetu wakizalishwa nyumbani tunaona sio sawaa...!! Hapana kama Tunakubaliana ndoa ni utapeli hata Baba zetu wakitelekeza mama zetu wakiwa na ndugu zetu iwe sawa maana NDOA NI UTAPELI
Kila kitu kina athari na faida yake.
Fikiria km ni dada yako yule alipigwa risasi 9 na Said za kichwa au yule aliyechomwa na gunia la mkaa. Unajisikiaje?
Haya mambo yapo nusu kwa nusu.
 
Kataa ndoa n kitu kizuri ila unawaweka watt kwenye maisha magumu sana maan wanawake hawakubal kuacha watoto kwahyo maisha unayo taka kuandaa kwa watt wako n kutanga tanga kama huna uwezo wa kuzalisha basi ruhusu kukataa ndoa
 
Kuna memba mmoja wa kataa ndoa kaweka uzi leo anajiliza dada zake wamezalia nyumbani


Haha halooo na bado
Endeleeni kukataa
Unajisikiaje dada yako ni yule aliyepigwa risasi 9 za kichwa na Said?
Unajisikije kama dada yako ni yule aliyechomwa na gunia la mkaa?
Unajisikiaje kama dada yako ni yule aliyechomwa na kisu cha tumbo na mtoto wake naye akachomwa kisu cha tumbo akafa?
Unajisikiaje kama kaka yako ni yule mbotswana aliyekuwa anamlalamikia mke wake anachepuka mwishowe akajipiga risasi na mtoto wake?
Inahitaji hekima, busara na kumuomba sana Mungu akuongoze. Ndoa siyo ya kukimbilia sana inahitaji utulie sana maana leo unaweza kuwa kwenye ndoa ukamcheka sana aliye single ila mwisho wa siku ukawa single tena. Nina mifano hai. Kuna watu niliwakuta kwenye ndoa ila leo wapo single wanatafuta watu wa kuingia kwenye ndoa
 
Nimemuona muasisi mmoja wa kataa ndoa,yamemshinda na ameamua kuleta uzi #dada zake wote wanazalishwa#we unahamasisha kukataa ndoa alafu unataka dada zako waolewe?how is that possible ?
 
Unajisikiaje dada yako ni yule aliyepigwa risasi 9 za kichwa na Said?
Unajisikije kama dada yako ni yule aliyechomwa na gunia la mkaa?
Unajisikiaje kama dada yako ni yule aliyechomwa na kisu cha tumbo na mtoto wake naye akachomwa kisu cha tumbo akafa?
Unajisikiaje kama kaka yako ni yule mbotswana aliyekuwa anamlalamikia mke wake anachepuka mwishowe akajipiga risasi na mtoto wake?
Inahitaji hekima, busara na kumuomba sana Mungu akuongoze. Ndoa siyo ya kukimbilia sana inahitaji utulie sana maana leo unaweza kuwa kwenye ndoa ukamcheka sana aliye single ila mwisho wa siku ukawa single tena. Nina mifano hai. Kuna watu niliwakuta kwenye ndoa ila leo wapo single wanatafuta watu wa kuingia kwenye ndoa
Ndoa za manyanyaso kama hizii ndo za kuzikataaa mkuu...!!
 
Kiufupii AKATAE NDOA MKUU.,

NA AKATAEEE USHOGAAAAA
Binadamu wote tumezaliwa tukiwa na ndoto ya kuwa kwenye ndoa yenye furaha na upendo.
Ila mambo hugeuka na kuona bora uishi peke yako.
Ushawahi kuwa na mpenzi pasua kichwa?
 
Kuna memba mmoja wa kataa ndoa kaweka uzi leo anajiliza dada zake wamezalia nyumbani


Haha halooo na bado
Endeleeni kukataa
Naomvmba unitagi nimuone mpinzani wangu akilia

NDOA FOR LIFE
KUBALI NDOA
 
Kuna memba mmoja wa kataa ndoa kaweka uzi leo anajiliza dada zake wamezalia nyumbani


Haha halooo na bado
Endeleeni kukataa

Hivi yupo kwenye kataa ndoa yule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majamaa menzie ya kataa ndoa yamefanya yao
 
Naona JF imekumbwa na kampeni ya vijana wa ovyoo kupinga ndoa lakini hao hao wanatoka kwenye Familia ya baba na mama. Hao wanaopingaa wana dada zao na wadogo zao wakike wakizalishwa Nyumbani wanaume wakawakimbia Wanaanza kulalamika. Sasa unajiuliza kampeni ya kataa ndoa wanayoieneza wanataka ifanyaje kazi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tusikatae ndoa ila tukatae manyanyaso na ndoa zisizokuwa na Amani. Ndoa ambazo kila kukicha ni kupigana na kutukanana lakini Kiufupu ndoa ambayo mke na mume wanaishi kwa amani wanafanya maisha hakika Zibarikiwe na zidumu. Vijana tafuta wakufanana nae unaemmudu. Mnapendana WEKA NDANI fanya maishaa umalayaa haulipi wala hauna mwisho mzuri.
1.kwenye ndoa kuna umalaya zaidi bro, kumbuka wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kwa mke/mume wako (ndio ukweli wenyewe)
2.Ndoa ambazo kila kukicha ni kupigana na kutukanana, hawa pia wanatoka kwenye Familia ya baba na mama.
3. Ndoa za sasa sio zile alizokusudia Mwenyezi Mungu. NA PIA NDOA SIO LAZIMA
1 Wakorintho 7:8 Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa kama mimi. HIVYO PIA NI WAZI KUWA BIBLIA INARUHUSU PIA KUTOKUOA AU KUTOKUOLEWA.
 
Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali mtu akiongelea mambo ya ndoa kinakuja kikundi cha vijana/wanaume kinakomenti #KATAANDOA na #USIFUGE KIUMBE NDANI.

NALIA NGWENA /ngosha/Mula/shababi kama wanavyoniita ninapokuwa huko shinyanga na Kanda maalumu, napinga vikali hii operation inayoongozwa na vijana wa humu JF. Unaweza ukaunga mkono kumbe unaunga watu wa upande wa pili/hanithi kwa mantiki hiyo wao hata wasipoa hawaoni umuhimu wa mwanamke/ndoa.

Napinga vikali hiyo operation kwa sababu kuntu/muhimu kama ifuatavyo.

(1) Hupunguza maambukizi ya maradhi ya zinaa kama ukimwi, gono, kaswende, nk.

Hao vijana wanasema ni bora ukanunue totoz kisha mmalizane aondoke zake, lakini kumbuka hao unaonunua wanauza kwa watu wengi na kuna wahuni wengine wanapita nao bila ya kinga/condom na wewe ukijichanganya umekwisha na unaanza kuishi kwa mawazo huku ukijiuliza sijui yule dada ni mzima au kaniachia viruses.

(2) Nikiwa na mpenzi/mchumba/mke wangu maalum hakika nina uhakika wa kutafuna mbususu muda wote kuliko wewe kijana wa kataa ndoa/hufugi mwanamke kichwa cha chini kinaposimama mpaka uanze kuingia tinder/wasap/telegram na Badoo ndiyo uje kupona, na siku ambayo huna hela sijui utabaka mbuzi au kondoo???

(3) Inapunguza ufujaji wa pesa/matumizi mabaya ya pesa. Mpenzi wako uliyekuwa unazoeana nae/mchumba/mke unaweza kumwambia njoo geto sina nauli tumia yako, na kweli akaja. Sasa wewe kijana wa kununua tinder/Badoo/wasapu huko sijui kama anaweza kuja kwa nauli yake thubutuuuuuuuuu. Kwa hiyo, kiasi fulani mjuba mpenzi wangu/mchumba ananielewa.

(4) Msaada pale mwanaume unapokuwa unaumwa. Mwanamke uliyemnunua tinder/wasap/telegram au Badoo hawezi kuja kukuhudumia kipindi unaumwa, hata akija atahitaji malipo. Na je, kama huna pesa si ushaumia? Lakini mwanamke/mpenzi wako/mchumba anaweza kuja kuweka kambi geto akakuhudumia bila hiyana.

Napinga hoja ya #kataandoa hayo mengine ni mambo ya kibinadamu tu kwa wanawake, ewe kijana oa/funga ndoa bila kuhofia kelele za vijana wa jamii foram wanaopinga ndoa/kukaa na mpenzi/mchumba kumuweka ndani.

Nalia Ngwena /mwanaume wa shoka kabisa napinga upepo wa kataa ndoa kwa hali na mali, ndoa/mpenzi wa kudumu ni muhimu sana kama nilivyoeleza hapo juu. Sasa kama kijana/mwanaume uliyekamilika utashupaza mishipa ya shingo nakukataa ndoa, basi moja kwa moja nitakuweka katika lile kundi la rangi nyingi nyingi.

KUBALI NDOA

PIGA VITA #KATAA NDOA.
 
Back
Top Bottom