Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kiongozi unahangaika biashana na KK kula bure kulala bure, mwanaume liyelelewa kwenye mazingira yakuju wajibu wake hawezi sema kataa ndoa hawa kataa ndoa ni wale Mario omba omba upinde wa mvua, ambao wamezoea kukaa jikoni na dada wa kazi so hata wanawake wanaowapata wanataka shinda nao mda wote at the end wanapishana cause mwanamke anaitaji matunzo na umdharau Keisha sio matunzo umchunge
NCHI INAVIJANA WA OVYO
ET TUNAKIMBIA MAJUKUMU
MAJUKUMU KWA TAPELI
MAJUKUMU KWA MWIZI
MAJUKUMU KW VBAKA
MAJUKUMU KWA WANAOTUWINDA

KATAA NDOA
 
Attachments

  • Screenshot_20230415-174542.jpg
    Screenshot_20230415-174542.jpg
    32 KB · Views: 4
Kwani na wewe unakuwa influenced na hiyo kataa ndoa yao? Wewe kama unaoa oa tu na wale wanaokataa kuoa waache wakatae kila mtu na mtizamo wake....Mimi nimeoa lakini sijawahi kushawishika na kampeni zao na wala sijawahi kuwapinga kwenye kampeni zao.
 
Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali mtu akiongelea mambo ya ndoa kinakuja kikundi cha vijana/wanaume kinakomenti #KATAANDOA na #USIFUGE KIUMBE NDANI.

NALIA NGWENA /ngosha/Mula/shababi kama wanavyoniita ninapokuwa huko shinyanga na Kanda maalumu, napinga vikali hii operation inayoongozwa na vijana wa humu JF. Unaweza ukaunga mkono kumbe unaunga watu wa upande wa pili/hanithi kwa mantiki hiyo wao hata wasipoa hawaoni umuhimu wa mwanamke/ndoa.

Napinga vikali hiyo operation kwa sababu kuntu/muhimu kama ifuatavyo.

(1) Hupunguza maambukizi ya maradhi ya zinaa kama ukimwi, gono, kaswende, nk.

Hao vijana wanasema ni bora ukanunue totoz kisha mmalizane aondoke zake, lakini kumbuka hao unaonunua wanauza kwa watu wengi na kuna wahuni wengine wanapita nao bila ya kinga/condom na wewe ukijichanganya umekwisha na unaanza kuishi kwa mawazo huku ukijiuliza sijui yule dada ni mzima au kaniachia viruses.

(2) Nikiwa na mpenzi/mchumba/mke wangu maalum hakika nina uhakika wa kutafuna mbususu muda wote kuliko wewe kijana wa kataa ndoa/hufugi mwanamke kichwa cha chini kinaposimama mpaka uanze kuingia tinder/wasap/telegram na Badoo ndiyo uje kupona, na siku ambayo huna hela sijui utabaka mbuzi au kondoo???

(3) Inapunguza ufujaji wa pesa/matumizi mabaya ya pesa. Mpenzi wako uliyekuwa unazoeana nae/mchumba/mke unaweza kumwambia njoo geto sina nauli tumia yako, na kweli akaja. Sasa wewe kijana wa kununua tinder/Badoo/wasapu huko sijui kama anaweza kuja kwa nauli yake thubutuuuuuuuuu. Kwa hiyo, kiasi fulani mjuba mpenzi wangu/mchumba ananielewa.

(4) Msaada pale mwanaume unapokuwa unaumwa. Mwanamke uliyemnunua tinder/wasap/telegram au Badoo hawezi kuja kukuhudumia kipindi unaumwa, hata akija atahitaji malipo. Na je, kama huna pesa si ushaumia? Lakini mwanamke/mpenzi wako/mchumba anaweza kuja kuweka kambi geto akakuhudumia bila hiyana.

Napinga hoja ya #kataandoa hayo mengine ni mambo ya kibinadamu tu kwa wanawake, ewe kijana oa/funga ndoa bila kuhofia kelele za vijana wa jamii foram wanaopinga ndoa/kukaa na mpenzi/mchumba kumuweka ndani.

Nalia Ngwena /mwanaume wa shoka kabisa napinga upepo wa kataa ndoa kwa hali na mali, ndoa/mpenzi wa kudumu ni muhimu sana kama nilivyoeleza hapo juu. Sasa kama kijana/mwanaume uliyekamilika utashupaza mishipa ya shingo nakukataa ndoa, basi moja kwa moja nitakuweka katika lile kundi la rangi nyingi nyingi.

KUBALI NDOA

PIGA VITA #KATAA NDOA.
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨
 
U

PIGA VITA

Uku umejichanganya..🐸🐸
Rudi kule kwenye utopolo..🤡🤡
 
Hivi kweli kwa akili zangu timamu nitoe mahari nimnunue mwanamke aje kwangu niingie tena gharama ya kumtunza

Na bado akitaka talaka tugawane mali zangu pasu kwa pasu inahitaji mwanamume ajitoe akili ili aoe

Na bado mwanamke huyohuyo unayemhudumia achepuke na kuliwa kisela na wana nje 😅

KUOA NI KUCHUKUA SHIDA ZA MWANAMKE ZIWE ZAKO
 
Akili kisoda, kwani nisipoona ndo nakuwa sina dudu!!?? Nishakwambia nna watoto watatu na nna madem zaidi ya wanne na nafurahia maisha yangu, nioe kutafuta nini!!!??? Mkioa nyie wajinga inatosha na TUTAWAGONGEA SANA.
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
We ni mvulana bado ni ngumu sana kuelewa mwanaume akiongea subiri uvulana ukikutoka ndo utanielewa
 
Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali mtu akiongelea mambo ya ndoa kinakuja kikundi cha vijana/wanaume kinakomenti #KATAANDOA na #USIFUGE KIUMBE NDANI.

NALIA NGWENA /ngosha/Mula/shababi kama wanavyoniita ninapokuwa huko shinyanga na Kanda maalumu, napinga vikali hii operation inayoongozwa na vijana wa humu JF. Unaweza ukaunga mkono kumbe unaunga watu wa upande wa pili/hanithi kwa mantiki hiyo wao hata wasipoa hawaoni umuhimu wa mwanamke/ndoa.

Napinga vikali hiyo operation kwa sababu kuntu/muhimu kama ifuatavyo.

(1) Hupunguza maambukizi ya maradhi ya zinaa kama ukimwi, gono, kaswende, nk.

Hao vijana wanasema ni bora ukanunue totoz kisha mmalizane aondoke zake, lakini kumbuka hao unaonunua wanauza kwa watu wengi na kuna wahuni wengine wanapita nao bila ya kinga/condom na wewe ukijichanganya umekwisha na unaanza kuishi kwa mawazo huku ukijiuliza sijui yule dada ni mzima au kaniachia viruses.

(2) Nikiwa na mpenzi/mchumba/mke wangu maalum hakika nina uhakika wa kutafuna mbususu muda wote kuliko wewe kijana wa kataa ndoa/hufugi mwanamke kichwa cha chini kinaposimama mpaka uanze kuingia tinder/wasap/telegram na Badoo ndiyo uje kupona, na siku ambayo huna hela sijui utabaka mbuzi au kondoo???

(3) Inapunguza ufujaji wa pesa/matumizi mabaya ya pesa. Mpenzi wako uliyekuwa unazoeana nae/mchumba/mke unaweza kumwambia njoo geto sina nauli tumia yako, na kweli akaja. Sasa wewe kijana wa kununua tinder/Badoo/wasapu huko sijui kama anaweza kuja kwa nauli yake thubutuuuuuuuuu. Kwa hiyo, kiasi fulani mjuba mpenzi wangu/mchumba ananielewa.

(4) Msaada pale mwanaume unapokuwa unaumwa. Mwanamke uliyemnunua tinder/wasap/telegram au Badoo hawezi kuja kukuhudumia kipindi unaumwa, hata akija atahitaji malipo. Na je, kama huna pesa si ushaumia? Lakini mwanamke/mpenzi wako/mchumba anaweza kuja kuweka kambi geto akakuhudumia bila hiyana.

Napinga hoja ya #kataandoa hayo mengine ni mambo ya kibinadamu tu kwa wanawake, ewe kijana oa/funga ndoa bila kuhofia kelele za vijana wa jamii foram wanaopinga ndoa/kukaa na mpenzi/mchumba kumuweka ndani.

Nalia Ngwena /mwanaume wa shoka kabisa napinga upepo wa kataa ndoa kwa hali na mali, ndoa/mpenzi wa kudumu ni muhimu sana kama nilivyoeleza hapo juu. Sasa kama kijana/mwanaume uliyekamilika utashupaza mishipa ya shingo nakukataa ndoa, basi moja kwa moja nitakuweka katika lile kundi la rangi nyingi nyingi.

KUBALI NDOA

PIGA VITA #KATAA NDOA.
Mkuu unaweza fanya hivyo vyote bila hata kuwa na ndoa ,kukataa ndoa sio kukataa wanawake , na pia shida sio ndoa shida ni pale sheria za ndoa zilipovamiwa na tamaduni za kizungu na kupenyeza agenda zao za haki sawa , wanaume karibu dunia nzima hawapo salama kwenye sheria za ndoa sisizo simamia misingi ya asili , je wajua wanawake wahuni wengi wanatumia ndoa kama fimbo ya kuwaibia wanaume wapambanaji kisa tu wanafahamu sheria za ndoa zinawabeba? Je wajua wanaume wanao ona ndoa ni tatizo ni wale wanaume wanapenda kutafuta mali zao bila kusaidiana na wanawake ? Naamni kabsa wewe ni wale wanaume mnaosaidiana na mwanamke kujenga uchumi , wewe ni haki yako kabsa kupigwa pin na ndoa .
 
Jamaa mwanaharakati tu wa mtaa akajichanganya akaoa mtumishi akitegemea life litakuwa poa

Wakapata watoto kadhaa,walipoanza kwenda shule,hyo tumishi ikampanga jamaa wawapeleke watoto shule bora za kiwango,jamaa akakubali,baada ya muda ikamtelekezea ulipaji wa ada,jamaa kapambana mpaka watoto wakamaliza primary

Ile kwenda seko ikabidi jamaa awapeleke shule za kata ili apumue kidogo,hyo tumishi haitaki inataka watoto waendelee kusoma shule za gharama wakati huo jamaa hayuko poa kiuchumi

Mgogoro umekuwa mkubwa mpaka jamaa hana hamu na hyo tumishi pesa yake haijulikani inakokwenda
Mwanamke akishakuwa na kipato ni hatari sana....Tena kinachozidi chako ujue umekwisha..
binafsi siwez kuoa mwanamke mtumish et tusaidizane maisha hapana au hata kuwa na mahusiano nae.
 
Back
Top Bottom