Jiuluze hiyo kazi mnayojipa inawasaidia nini kwenye wokovu wenu?kijana achana na kazi za mwovu shetani zitakupoteza.Yesu analinagalia kanisa lake kama mboni ya jicho, juhudi zozote za shetani za kuliangusha hazitafanikiwa.I urge you to join the weaning team of Jesus.upande uliochagua utakupeleka shimoni.We hujiulizi kipindi cha nyuma kwanini ilikuwa ni haramu kuweka picha kwenye tukio lolote la SDA ila leo hii ni ruksa...
Hujiulizi ni nini kimebadilika..? Hujiulizi kwanini na wewe umebaki unashangilia tena ukisifia...? Hujiulizi..?
Kaa mkao wa kula ni muda unaongea
Kanisa gani hilo Yesu analiangalia...?? Hebu nijuze...?Jiuluze hiyo kazi mnayojipa inawasaidia nini kwenye wokovu wenu?kijana achana na kazi za mwovu shetani zitakupoteza.Yesu analinagalia kanisa lake kama mboni ya jicho, juhudi zozote za shetani za kuliangusha hazitafanikiwa.I urge you to join the weaning team of Jesus.upande uliochagua utakupeleka shimoni.
Hilo ambalo mawakala wa shetani wanalipiga vitaKanisa gani hilo Yesu analiangalia...?? Hebu nijuze...?
maria aliambiwa amebarikiwa kuliko wanawake wote...Soma maandiko vizuri wakati Yesu anajiandaa kupaa aliwapa Muongozo wanafunzi wake soma Luka 24: 49 ina sema hivi" Na tazama, nawaletea juu yenu ahadi ya Baba yangu, lakini kaeni humu mjini hata mvikwe uwezo utokao juu. Msisitizo wake ni ujio wa roho mtakatifu na kuthibisha hilo ukisoma matendo ya mitume. Siku ya pentecoste mitume walivyojazwa nguvu ya roho wa Mungu aliyewapa ujasiri na nguvu mpya na kuwatoa hofu mioyoni mwao. Na ukisoma biblia yako hakuna hata sehemu moja watu wanaomba kupitia maria hayo ni mafundisho potofu.
kanisa ni watu wale wanaolishika neno la mungu na kuzitii amri za mungu hilo ndio kanisa la Mungu pekee kamweli haliwezi angushwa wala kubomolewaKanisa gani hilo Yesu analiangalia...?? Hebu nijuze...?
Usikute unataka kusema cult zifuatazao ni makanisa..kanisa ni watu wale wanaolishika neno la mungu na kuzitii amri za mungu hilo ndio kanisa la Mungu pekee kamweli haliwezi angushwa wala kubomolewa
Labda nikuweke sawa hapa...Hilo ambalo mawakala wa shetani wanalipiga vita
jehoveh witness wao wanafundisha bibilia pekee.lengo lao waijue kweli basi kwa garama za wahisani pekee.Labda nikuweke sawa hapa...
Cult zifuatazo sio makanisa wala Wakristo ..
Seventh Day Adventist
Mormon
Jehova Witness
Christian Scientology
Hebu tupe jibu...Kwanini Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale ..?
Hakuj kufundisha sala bali anaonesha mchang wa mambo yaliomfany kuachan na hiv vitab.
*uandishi wako unaonyesha kua huijui historia ya kanisa,,,
kwa mfano huzungumzii sala kwa bikira maria na cheo chake cha umalkia, ubatizo,,, imani, na neno..
narudia tena kanisa ni watu na si jengo, hata yesu hakusema kanisa la baba yangu mmelifanya jumba la walarushwa wafanyabiashara. nk. bali alisema nyumba ya baba yangu...Usikute unataka kusema cult zifuatazao ni makanisa..
Saveth Day Adventist(Kikundi cha kiharakati)
Jehova Witness
Mormon
Christian Scientology..
Usikute unataka kusema cult zifuatazao ni makanisa..
Saveth Day Adventist(Kikundi cha kiharakati)
Jehova Witness
Mormon
Christian Scientology..
Hebu acha ujinga wewe....Unataka Ushahidi gani sasa...? Wa kimaandishi, ki historia au Ki Theolojia..?Is there any tangible proof of Martin Luther removing books from the bible?
Ukweli gani. .???jehoveh witness wao wanafundisha bibilia pekee.lengo lao waijue kweli basi kwa garama za wahisani pekee.
makanisa yanayo jiita makanisa yanawapinga kutokana na wao kueleza kweli.
We ni nani mpaka inahukumu...?Jiuluze hiyo kazi mnayojipa inawasaidia nini kwenye wokovu wenu?kijana achana na kazi za mwovu shetani zitakupoteza.Yesu analinagalia kanisa lake kama mboni ya jicho, juhudi zozote za shetani za kuliangusha hazitafanikiwa.I urge you to join the weaning team of Jesus.upande uliochagua utakupeleka shimoni.
Hayo sio makanisa Bali ni vikundi vilivyokuja kupingana na KanisaLabda nikuweke sawa hapa...
Cult zifuatazo sio makanisa wala Wakristo ..
Seventh Day Adventist
Mormon
Jehova Witness
Christian Scientology
Achana nao hao..!Samahani kidogo naomba nirudi nyuma...nilipata kitu kipya kutoka kwako bwana Otorong'ong'o kwamba Wayahudi sasa wameanza kupokea/kukubali vile vitabu walivyovikataa vilivyokuwa nje ya lugha yao,ebu weka sawa kwani hili geni kwangu,Je Wayahudi wamefanya mkutano mwingine kama ule wa Council of Jamnia......?au kuna ushahidi wa kimazingira....?tiririka bwana Otorong'ong'o hili kwangu ni geni.Ukweli gani. .???
Achana nao hao..!Samahani kidogo naomba nirudi nyuma...nilipata kitu kipya kutoka kwako bwana Otorong'ong'o kwamba Wayahudi sasa wameanza kupokea/kukubali vile vitabu walivyovikataa vilivyokuwa nje ya lugha yao,ebu weka sawa kwani hili geni kwangu,Je Wayahudi wamefanya mkutano mwingine kama ule wa Council of Jamnia......?au kuna ushahidi wa kimazingira....?tiririka bwana Otorong'ong'o hili kwangu ni geni.
Si sawa kabisa..Ila kujua historia si mbaya"nitaendelea kuamini ninachoamini"
Ok kwa maana hiyo watakuwa mbioni kuandika biblia mpya ikiwa na hivyo vitabu..!apo lzm Luther na washirika wake SDA na wengine lzm waumbuke.Mkanganyiko ulifanya mpaka vitabu vile 7 wayahudi wasivichukue ilikuwa ni simply Lugha..
Vitabu 7 vile vilikuwa vimeandikwa kwa lugha ya Kigiriki...Na vitabu vile viliandikwa karne za mwisho mwisho kabla ya ujio wa Yesu....Na viliandikwa na Wayahudi wanaosemekana waliishi Misri....Na kwa kipindi kile Dola ya Ugiriki ilikuwa inatawala, hivyo hata lugha kwa Wayahudi wale wa Misri ilikuwa ni Kigiriki..
Kimbembe kilikuja baada ya Ujio wa Yesu na Ukristo kwa Ujumla...
Wayahudi hawakumkubali Yesu kama Masihi wao....Sasa na vitabu vingi vikiwamo vya Injili vinavyosimulia Maisha ya Yesu vingi viliandikwa kwa Kigiriki.....
Hivyo wayahudi kuogopa labda vitabu vile vinaweza kuwa vinashabikia mafundisho ya Yesu hivyo wakavikataa...
Na jambo lingine Wayahudi ni wahafidhina sana...Hawakutaka kuchanganya Lugha ...Walitaka lugha ya Kiebrania pekee...
Sasa juzi kati, Dead Sea Sroll vimepatikana baadhi ya hivyo vitabu vikiwa vimeandikwa kwa lugha ya Kiebrania....
Ndio maana nikasema Luther ataumbuka/Ameshaumbuka