Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hivi we kiumbe unaijua historia kweli wewe..? Au bwabwaja tu hapa?Umeisoma Guttenberg Bible ukakuta vitabu hivyo havipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi we kiumbe unaijua historia kweli wewe..? Au bwabwaja tu hapa?Umeisoma Guttenberg Bible ukakuta vitabu hivyo havipo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Biblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa
Unapozungumzia vitabu hivyo unazungumzia NT Canon ambayo ilikamilika kwa series na halikuwa Suala la Luther kwanini Mark na Hebrews vilichelewa kukubalika na Kanisa. Hata Job ilichukua muda kukubalika. Umerudi Kwangu tena wewe na nilikuwa sikujibu wewe hata kidogo, umedakia tu. Sipendagi mijadala na wewe. Approach yako ya arguing siipendi kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Hayo ma mistari yote yanini kwenye kila sentensi.Au unafanya kazi kwenye kiwanda cha kutengeneza madaftari ya mistari mikubwa na midogo
Unachoshangilia ni nini hasa?Good Good [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kuna uzi Msabato mwenzako kaunzisha, ila kilichomkuta nafikiri atajuta kuijua Jf.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
kha wew jamaa mbona mbishi hata kwa mambo usiyo yajua? Anglikana haitumii biblia sawa ma wakatoliki, anglikana inatumia biblia sawa na wa protestant wenzake, narudia tena am Anglican na ni muumini mzuri wa miaka mingi nimeshiriki semina makomgamano na mafunzo mbali mbali ya kanisa biblia tinayotumia ni sawa na wapentekoste kama hujui kaa kimya, u ar not Anglican halaf wanglikana tunakwambia unabisha, endeleeni kumezeshwa mivifungu iliyotengenezwa na watuSema Biblia niliyoamua kutumia mimi...
Aliviondoa kwa sababu havina uvuvio yaani sio neno la Mungu..Unachoshangilia ni nini hasa??
Hakuna hata mmoja aliyetupa sababu ya kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale, na pia kwanini aliondoa vitabu vya Yakobo, Ufunuo na Waebrania....Kama unajua tupe sababu...
Oh! Oh! Oh! Wewe ni mfuasi wa yule bibi wa Marekani Ellen White....Hujui chochote maana biblia umeikuta tayari ipo, Ellen White alipofukuzwa Methodist Church yeye na mumewe waliondoka na Biblia....
Nenda ukanitag nije ni uone huo uzi fanya harakaKuna uzi Msabato mwenzako ksunzisha, ila kilichomkuta nafikiri atajuta kuijua Jf...
Hebu nenda kachangie kidogo kule maana maamuma wa kisabato wamekimbia kabisa..
Tulikuwa tukijadili Hukumu ya upelelezi(Investigative judgement) ya bibi yetu Ellen G White..
.
Ila wamekimbia wote...Hebu nenda chap utujibie maswali tuliyoyauliza .
Kwanza nilikupa kazi ya ku-spot tofauti ya mandhari ya ndani ya Kanisa la St. Alban Anglican Cathedral na St. Joseph Cathedral....Je! Umeona tofauti au nikudondoshe ma-pics hapa u-blow mapigo ...?kha wew jamaa mbona mbishi hata kwa mambo usiyo yajua? Anglikana haitumii biblia sawa ma wakatoliki, anglikana inatumia biblia sawa na wa protestant wenzake, narudia tena am Anglican na ni muumini mzuri wa miaka mingi nimeshiriki semina makomgamano na mafunzo mbali mbali ya kanisa biblia tinayotumia ni sawa na wapentekoste kama hujui kaa kimya, u ar not Anglican halaf wanglikana tunakwambia unabisha, endeleeni kumezeshwa mivifungu iliyotengenezwa na watu
Kwa mamlaka ya nani...? Angali Biblia ilishakamilika zaidi ya miaka 1500 huko nyuma...? Hayo mamlaka aliyatoa wapi.. ?Aliviondoa kwasababu havina uvuvio yaani sio neno la Mungu..
Na vitabu vya Yakobo, Ufunuo na Waebrania navyo vilikuwa havina uvuvio sio..??Unataka tena sbbu ingine???
Chadema wanahusika vp??Tatizo we unapayuka. soma kitabu cha HERE I STAND cha martin luther, uelewe umeanza na katoliki, ukaja walokole, chadema , sasa hivi lutheran.
Mmechanganyikiwa,ni andiko gani linasema bikra maria alipaa mbinguni?Biblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa