MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Biblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Kweli huu sasa ni mvinyo
 
Unapozungumzia vitabu hivyo unazungumzia NT Canon ambayo ilikamilika kwa series na halikuwa Suala la Luther kwanini Mark na Hebrews vilichelewa kukubalika na Kanisa. Hata Job ilichukua muda kukubalika. Umerudi Kwangu tena wewe na nilikuwa sikujibu wewe hata kidogo, umedakia tu. Sipendagi mijadala na wewe. Approach yako ya arguing siipendi kabisa.

Ukiona mtu ambaye huwezi kumdanganya kirahisi unamwogopa.Unachagua watu wepesi wa kupotosha.
Hili ni jukwaa huru,ukileta mada mezani inachambuliwa na yeyote.Kama hujiamini kaa kimya kabisa.
 
Hayo ma mistari yote yanini kwenye kila sentensi.Au unafanya kazi kwenye kiwanda cha kutengeneza madaftari ya mistari mikubwa na midogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Good Good [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Unachoshangilia ni nini hasa?

Hakuna hata mmoja aliyetupa sababu ya kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale, na pia kwanini aliondoa vitabu vya Yakobo, Ufunuo na Waebrania. Kama unajua tupe sababu.

Oh! Oh! Oh! Wewe ni mfuasi wa yule bibi wa Marekani Ellen White....Hujui chochote maana biblia umeikuta tayari ipo, Ellen White alipofukuzwa Methodist Church yeye na mumewe waliondoka na Biblia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Kuna uzi Msabato mwenzako kaunzisha, ila kilichomkuta nafikiri atajuta kuijua Jf.

Hebu nenda kachangie kidogo kule maana maamuma wa kisabato wamekimbia kabisa..

Tulikuwa tukijadili Hukumu ya upelelezi(Investigative judgement) ya bibi yetu Ellen G White..
.
Ila wamekimbia wote...Hebu nenda chap utujibie maswali tuliyoyauliza .
 
Hoja ya Luther kutomtambua mama bikira Maria haieleweki, mnasogana tu humu, hivi hata kama hakuna andiko limemtambua bikira Maria, sasa Bwana Yesu tunamtambua kuwa Mungu Mwana hivi alizaliwa na nani? Kama ni Bikira Maria manake ni mama wa Mungu full stop! Hivyo baadhi ya madai ya Luther nikubali yalikuwa ni ubinafsi tu! Huwezi mdharau mama wa Mungu ukasema una imani ya kristo.
 
Sema Biblia niliyoamua kutumia mimi...
kha wew jamaa mbona mbishi hata kwa mambo usiyo yajua? Anglikana haitumii biblia sawa ma wakatoliki, anglikana inatumia biblia sawa na wa protestant wenzake, narudia tena am Anglican na ni muumini mzuri wa miaka mingi nimeshiriki semina makomgamano na mafunzo mbali mbali ya kanisa biblia tinayotumia ni sawa na wapentekoste kama hujui kaa kimya, u ar not Anglican halaf wanglikana tunakwambia unabisha, endeleeni kumezeshwa mivifungu iliyotengenezwa na watu
 
Unachoshangilia ni nini hasa??

Hakuna hata mmoja aliyetupa sababu ya kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale, na pia kwanini aliondoa vitabu vya Yakobo, Ufunuo na Waebrania....Kama unajua tupe sababu...

Oh! Oh! Oh! Wewe ni mfuasi wa yule bibi wa Marekani Ellen White....Hujui chochote maana biblia umeikuta tayari ipo, Ellen White alipofukuzwa Methodist Church yeye na mumewe waliondoka na Biblia....
Aliviondoa kwa sababu havina uvuvio yaani sio neno la Mungu..

Unataka tena sababu nyingine?
 
Kuna uzi Msabato mwenzako ksunzisha, ila kilichomkuta nafikiri atajuta kuijua Jf...

Hebu nenda kachangie kidogo kule maana maamuma wa kisabato wamekimbia kabisa..

Tulikuwa tukijadili Hukumu ya upelelezi(Investigative judgement) ya bibi yetu Ellen G White..
.
Ila wamekimbia wote...Hebu nenda chap utujibie maswali tuliyoyauliza .
Nenda ukanitag nije ni uone huo uzi fanya haraka
 
kha wew jamaa mbona mbishi hata kwa mambo usiyo yajua? Anglikana haitumii biblia sawa ma wakatoliki, anglikana inatumia biblia sawa na wa protestant wenzake, narudia tena am Anglican na ni muumini mzuri wa miaka mingi nimeshiriki semina makomgamano na mafunzo mbali mbali ya kanisa biblia tinayotumia ni sawa na wapentekoste kama hujui kaa kimya, u ar not Anglican halaf wanglikana tunakwambia unabisha, endeleeni kumezeshwa mivifungu iliyotengenezwa na watu
Kwanza nilikupa kazi ya ku-spot tofauti ya mandhari ya ndani ya Kanisa la St. Alban Anglican Cathedral na St. Joseph Cathedral....Je! Umeona tofauti au nikudondoshe ma-pics hapa u-blow mapigo ...?
 
Aliviondoa kwasababu havina uvuvio yaani sio neno la Mungu..
Kwa mamlaka ya nani...? Angali Biblia ilishakamilika zaidi ya miaka 1500 huko nyuma...? Hayo mamlaka aliyatoa wapi.. ?

Unataka tena sbbu ingine???
Na vitabu vya Yakobo, Ufunuo na Waebrania navyo vilikuwa havina uvuvio sio..??
 
Mbassa jr,

Unasemaje aliyehai pekeyake ni Yesu tu, we unasoma maandiko gani?, unaweza kutuambia Eliya kazikwa wapi?, hivi ilikuwaje Yesu alipotokewa na Musa na Eliya, ili hali Musa alikufa na Alizikwa?

Hivi unaelewa nini maana ya kufa, unaweza kutupa andiko linaloonyesha Bikira Maria alikufa na alizikwa sehemu fulani?
 
kitabu gani kitakatifu kinajipinga chenyewe badala ya kujitosheleza mabishano ya mtu kwa mtu juu ya neno hili ni ushahidi tosha ya bibilia kutokuwa kamilifu
 
Biblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa
Mmechanganyikiwa,ni andiko gani linasema bikra maria alipaa mbinguni?
 
Back
Top Bottom