Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla.
Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini hasa alimaanisha je ni ile bei ya pump pale sheli au alimaanisha tozo zilizopo katika mafuta?
Ila kikubwa hapa kwa nini nchi za Afrika haziendelei nini tatizo rasilimali zipo, watu wapo na serikali sikivu zipo lakini hali si nzuri sasa hivi vita ipo Ukraine, Ethiopia, Somalia, madagascar hali si shwari.
Wapi Serikali au nchi zetu zinakosea?
Tafadharini tusaidiane kimawazo, Makamba akipita hapa tuwe tumemwongezea kitu. Karibuni.