ndisi-jujo
Member
- May 7, 2017
- 40
- 37
Umenena vyema"Mapepo" mengine huwa in vinyongo, stress za hali ya juu sana sababu ya kutoolewa, kutendwa na wenza, maisha magumu etc. Wanawake wengi wanatunza vinyongo mioyoni mwao kwa muda mrefu na matokeo yake ndo hayo "mapepo" kufumuka siku wakikunwa vizuri na Injili kanisani.
Naaam"Mapepo" mengine huwa in vinyongo, stress za hali ya juu sana sababu ya kutoolewa, kutendwa na wenza, maisha magumu etc. Wanawake wengi wanatunza vinyongo mioyoni mwao kwa muda mrefu na matokeo yake ndo hayo "mapepo" kufumuka siku wakikunwa vizuri na Injili kanisani.
aisee"Mapepo" mengine huwa in vinyongo, stress za hali ya juu sana sababu ya kutoolewa, kutendwa na wenza, maisha magumu etc. Wanawake wengi wanatunza vinyongo mioyoni mwao kwa muda mrefu na matokeo yake ndo hayo "mapepo" kufumuka siku wakikunwa vizuri na Injili kanisani.
HahahaaYanawaingia kiurahisi wakichuchumaa
Farao, Yuda,Kaini, hao vipKi biblia ,shetani huingilia kwa mwanamke, rejea kwa EVA/HAWA, kwa DELLILA, nk. Kwa kuwa pepo ni mfuasi wa shetani, anajua mwalimu wake kwenye udhaifu ambao aliingilia
Wale wa rombo??????Kna wat wanasema tanzania ina laana, wanawake wataanza kuzaa na wanaume wa nchi tofauti na kupoteza kizaz cha tanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanawaingia kiurahisi wakichuchumaa
Msiwalaumu wanawake bure, mnatakiwa mjue kwamba kiumbaji mwanaume amepewa uungu yani uwezo wa kuumba kitu, na ndio mana hata wanapokutana kimwili mwanaume anatoa mbegu ambazo mwanamke anazihifadhi hadi hapo mtoto atakapokuwa tayari kuzaliwa hivyo, Mapepo, shetani, mwanaume na viumbe vingi viliumba na mwenyezi Mungu ila mwanamke alitoka katika mwili/ubavu wa mwanaume.Husika na swali hapo juu
Mara nyingi nimekua najiuliza Kwa nini makanisa mengi ya kilokole waumini wake wengi ni wanawake
Kwa nini wanawake Tu ndio wanaombewa na kutolewa Mapepo na sijawahi ona mwanaume kaanguka kwa Mapepo kule kanisani
Kwa nini wapenda dini wengi yani wale wanaopenda penda kusali ni wanawake?
Mwenye jibu anipe
Unanikumbusha ,hata ktk vitabu vya dini vinasema mwanamke ni mwepesi kushawishiwaWao ni rahisi kushawishiwa na kuingia kingi
Ni kweli,unaamini kuwa hata waliosoma bado wanafanya uchawi, uchawi ni tabiaUmaskini ndio unawasumbua mataifa ambayo wanawake wamepiga hatua huwezi kukuta huo ujinga, so elimu elimu elimu kubwa sana inahitajika kwa mama zetu na hii hata kwa taifa letu maana naona hata kasii yetu ya maendeleo ni kidogo ukilinganisha na wenzetu.