Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,247
- 1,815
Haswa tena ukiwakuta wachafu ni wachafu kweliMkuu uliambiwa nanani??hayo majini matendo yao kama binaadam kuna watiifu kuna maafriti kuna majini yanayopenda ngono(jinni mahaba)
Wapo wa kila aina kama tulivo sisi wanaadam