MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Bado elimu ya majini kama ifundishwavyo na uislamu inakanganya sana, kuna wanaosema kwamba yale yote yanayowakumba watu ni majini waasi, sasa mbona huwa yanawaamuru viti wao kutimiza yote yaliyo kwenye uislamu, tena inasemekana na ndivyo ilivyo, huwa viti wao ni wasafi washika udhu, hawataki janaba na ni swala tano, akizingua hayo huchapwa na majini yao, huyu naye anasema yanapenda uchafu, hapaeleweki hapo.
Wewe elmu GANI ya majini?!au unataka tu uikosoe uislamu unavyotaka wewe??
Tena nikufahamishe hakuna viumbe fitna kama Hawa.ukimkuta muumini ni muumini kiukweli ukimkuta mchafu ni mchafu hasa....
 
Beef Lasagna,
Kwa kweli umetoa somo zuri sana sasa nimeelewa kwanini kwenye haya Madhehebu ya Kileo wanaawake wanaongoza kuhudhuriia na kuanguka hovyohovyo wanapokuwa wanaombewa.

Nimegundua kuwa kumbe ni Kweli wanawake wengi wanatatembea na majini miilini mwao... Asante kwa somo sitarudia tena kuwakejheli wale wenye madhehebu kiuwa wanatudanganya kwa hili somo ndiyo maana wengi wanapenda kuvaa kimashetani ili kuendelea kutukuza majini yaliyomo mwilini mwao
 
Msituchanganye hapa. Kwanza wanawake wenye majini wengi wao ni waislam.
Wengi wao hawana elimu ya darasani.
Wengi wao huyapata wakiwa wadogo hawajawa na hayo majanaba wala hedhi, huanza kuanguka shuleni tena kwenye shule za kimaskini ndio wengi.
Wengi wao ni kutoka tanzania... sijasikia wanawake wa kizungu wanaanguka shuleni wakati wao ndio wanaongoza kuishi na majanaba.
 
Mbona haya maelezo yako yanawahusu sana Wanawake wa ' Kiislamu ' na yamekaa ' Kiislamu ' zaidi Mkuu? Vipi na kwa Wanawake wetu Sisi Wakristo?
Nimeelezea Kwa upande ninaoufaham ,ingekuwa vizuri akatokea mtu akaelezea kwa upande wa wanawake wa kikristo tatizo hasa nini wanawake kuwa na mapepo kwani tatizo hili ni la dini zote mbili kwakweli
 
Bado elimu ya majini kama ifundishwavyo na uislamu inakanganya sana, kuna wanaosema kwamba yale yote yanayowakumba watu ni majini waasi, sasa mbona huwa yanawaamuru viti wao kutimiza yote yaliyo kwenye uislamu, tena inasemekana na ndivyo ilivyo, huwa viti wao ni wasafi washika udhu, hawataki janaba na ni swala tano, akizingua hayo huchapwa na majini yao, huyu naye anasema yanapenda uchafu, hapaeleweki hapo.
Ukimuona mtu anafuata anayoamrishwa na majini jua huyo ni mshirikina
 
Msituchanganye hapa. Kwanza wanawake wenye majini wengi wao ni waislam.
Wengi wao hawana elimu ya darasani.
Wengi wao huyapata wakiwa wadogo hawajawa na hayo majanaba wala hedhi, huanza kuanguka shuleni tena kwenye shule za kimaskini ndio wengi.
Wengi wao ni kutoka tanzania... sijasikia wanawake wa kizungu wanaanguka shuleni wakati wao ndio wanaongoza kuishi na majanaba.
Hakuna anayekuchanganya ,ni kiasi cha kujibu hoja kwa hoja. Hapa nimezungumzia wanawake kwa ujumla wa dini zote hata kwenye maombez wanawake ni wahanga kuliko wanaume. Hata makanisani wanaoanguka na mapepo wengi ni wanawake tofauti na wanaume . Kinachotakiwa uweke chanzo tofauti na hayo niliyoaelezea .
 
Back
Top Bottom