Ni ishu ya kutafsiri maandiko na imani ya mtu iliko.
Sara alikuwa Tasa na sio jina lake 'sara ' ndo lililokua kikwazo cha yeye kupata ujauzito
View attachment 3160592
Ishu ya Abram umeichukua na kuinukuu katikati. Ukianzia pale Abram na lutu walivyo gawana ardhi walio pewa na Mungu na badae Abram kutembelewa na malaika kuhusiana na metendo maovu yaliokua yakitendeka Sodoma na Gomora.
Imani ya Abram na utii wake kwa Mungu ndo kulimfanya abarikiwe na kuitwa Abraham. Na sio tena Abram
Na Sio kusema kua jina Abram ndo lilimfanya hasipate mtoto. Kwani hata kabla ya kuitwa AbraHAM alizaa na Hagar na kupata mtoto Ishmael.
IShu ya Sauli ni pale alipoacha tabia yake ya kuuwa watu na kuja mbele ya Mungu ndo abarikiwa na kutakaswa na kuitwa paulo.
Kubadilika kwa jina lake ni ishara ya utakaso na kuinuliwa/ leverage au tuseme transformation kutoka stage moja kwenda nyingine. Ila sio kusema kwamba jina Sauli ndo lilimfanya auwe watu na asiwe mcha Mungu.
mfano mzuri ni Shuleni mtu anavyo ambiwa wewe ni kilaza au hauna akili.
Maneno hayo hayana ukweli wowote mpka pale alieambiwa atakapo yaingiza akilini na kuya chukulia kua ni ya kweli kua yeye hana akili.
Ila ukiwa na positive mindset ya kutoruhusu maneno ya watu yasikuingie akilini na ukayachukulia kama chellenge au compliment ya wewe kupambana zaidi
ishu ni pale utakapo ruhusu mameno ya watu au jina lako ( mfano unaitwa shida) kukuingia akilini na lika affect mindset yako in negative way.
The issue is when You allow peoples opinion about you define U. By allowing their words to sink into your head and affect your mindset and have a negative impact in yourway of life
Hio elimu ya spiritulity, numerology na mambo ya energetic power sijui yana siri gani na jina la mtu kum limit mtu hasifike Malengo yake.
Unajua maana Ya Neno Ibrahimu (Avraham)
? Avraham (אַבְרָהָם) ni Jina alilopewa Abram (אַבְרָם)..
Nataka Nikutafasirie kwanza kabla sijaenda Kujibu Hoja zako..
Kwanza kabla ya yote Nimesema kwamba Ili.aweze kuwa Baba wa Mataifa au baba wa Vizazi au mwenye Kizazi kikubwa Ndo ilibidi abadilishwe Jina..
Kipindi Abram anabadilishwa Jina Ishmael alikuwa na Miaka 13 na ndiyi alikuwa na Mtoto ila alikuwa na Mtoto ambaye hakuwa Kusudio la Mungu kwa Multitude aliyoandaaa..
Soma Biblia vizuri..
Sasa Jina Avraham limetokana na maneno mawili makubwa Av na raham av kwa maaha nyingine ni Aba yaani baba Na Raham ni rehema lakina kuna wakati inamaanisha Taifa Kubwa..
So abraham Means "father of multitudes" While abram means Father of Equaluty and Rights..
So My brother..
UNAJUA maana ya Sarai (שָׂרַי) na kwanini Ilibadilishwa kwenda kuwa Sarah (שָׂרָה)
Sasa Nifatilize Jina Sarai unaona Hiyo Ye mwisho wa Jina Sara linamaanisha hali ya kwanza Ya Umilikishi Kwa mfano mtu aseme Mine and soo on..
So sarai Ilikuwa na Maana Ya "My Princess" katika hali ya Umimi sijui kama unanielewa Lilibadilishwa Kwenda Sarah ambayo linamaanisha "Our Princess" au Simply The princess..
Sasa Nataka Nikupe Maana Halisi Ya hayo maneno vizuri....
Unafikiri kwanini Mungu aliongeza Herufi Hey(ה) kwenye majina yao na Hakuongeza neno Zaidi???
kwa Abram/Avram (אַבְרָם) aliongeza Hey katikaki ikawa Abra
ham/Avra
ham (אַבְרָ
הָם)
Na kwa Sarai (שָׂרַי) aliongeza Hey na kuondoa Ye au ai mwishoni mwa jina Ikawa Sara
h (שָׂרָ
ה)....
Ungekuwa Myahudi Ningekushangaa Na ningekuona Hujaiva Katika Talmud, midrash,Mishna na Hata Halakha kama Ungeniuliza Hey Inamaanisha Nini Hapo kwenye Majina Yao Baada ya Kukosa Mtoto mungu aliyemkusudia..
Au Ungekuwa Myahudi Ningekuchapa Vibao Maana Kabla Ya kujifunza Torah au kabla ya Kugusa Torah au Biblia au somo lolote Myahudi lazima Ujue Elimu ya Herufi na Maana zake na Umuhim wake yaani Devine Capability ya Herufi hiyo..(Unajua Wayahudi hawana Namba wanatumia Hizo hizo herufi kama Namba)..
So Gemetria Hutumika na Hufundishwa kwa ajili ya Kujua Herufi na namba na Devine messege ya herufi hizo na Ukisoma Talmud, Rabbinic Perspectives mbalimbali na hata Zohar utakuta herufi hizo..
Sasa twende kwenye Herufi Hey..
Herufi Hey Ina nguvu ya Uumbaji ,"Creation Power"...
Inapokuwepo Herufi Hey Lazima neno Hilo wayahudi waliheshimu Sana..Hata Neno Yhwh (Yahwe) au hata Elohim yote yana Hey kumaanisha Mungu ni muumbaji Na hata Ukisoma Biblia Utagundua katika Uumbaji Utakuta Elohim na Mwanzo mbili utakuta Yahwe elohim etc..
Ukisoma Talmud inaelezea kuwa Mungu alitumia Herufi Hey inkwenye Uumbaji wa Ulimwengu ambayo inamaanisha divine power, openness and The Power to create..
Kwahyo Hey pia Ukipewa Kwenye Jina Maana Yake Unapewa Baraka ya Uumbaji..
Neno Akarah עֲקָרָה wewe Unaloliita Tasa au Mliloambiwa Ni tasa ambalo agano la kale au Torah imekuwa Ikilitaja kuashiria Kunyimwa Baraka ya Uumbaji...Yaani akarah maana Yake halisi ni Ukosefu wa Baraka ya Uumbaji..
Ukisoma Wanawake waliokuwa Akarah (Walionyimwa Baraka ya Uumbaji) ni Sarai, Rebeka na Hana na Hakuna Mwanamke mwingine aliyeitwa Akarah kwemye Biblia zaidi ya Hao..
Kubadilika kwa jina lake ni ishara ya utakaso na kuinuliwa/ leverage au tuseme transformation kutoka stage moja kwenda nyingine. Ila sio kusema kwamba jina Sauli ndo lilimfanya auwe watu na asiwe mcha Mungu.
hii Sentesi ulipoitaja ndo niliipenda Kuliko maelezo yako yote..
eniwei tuendelee Kujifunza Tuna vitu vingi vya kujifunza