talaimarishari
Member
- Jan 30, 2019
- 96
- 109
Ushauri mzuriNahisi hizo ni Razor Bump. Ngozi yako ipo sensitive utumiapo vinyoleo. Nakushauri jaribu kutumia pre-shave oil kabla ya kushave na after shave baada ya kushave.
Sijui nimetoa ushauri mzuri.[emoji848]
Ok ahsanteNenda kwa daktari umuonyeshe, wakati huo huo vaa boxers za cotton na uhakikishe unavaa safi kila siku. Ukioga jikaushe vizuri na taulo. Usishirikiane taulo na mtu mwingine.
denis fourplux naomba namba yako ya simuHabari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi azai.
Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua....
Mwana vp wewe ushapata tiba sahihidenis fourplux naomba namba yako ya simu
Mhhhh..tunaovaa za kawaida ndo maupele yatatujia?Nenda kwa daktari umuonyeshe, wakati huo huo vaa boxers za cotton na uhakikishe unavaa safi kila siku. Ukioga jikaushe vizuri na taulo. Usishirikiane taulo na mtu mwingine.
Vipi wadau nawezaje pata tiba ya hii kitu maana inanisumbua sana yaani nishazunguka hospital na kutumia dawa bila mafanikio..naomba mnisadie tiba ambaye itanisaidia nipone ambaye an experience na hili tatiz pls😭😭😭😭😭Kiongozi umenena vyema.
Mimi nashauri umuone Dr. Bingwa wa magonjwa ya ngozi. Usiende kwa madokta wa kawaida. Ulizia Dr. Bingwa wa magonjwa ya ngozi. Kwa muhimbili wanapatikana muda wowote, ila kwa hospitali binafsi wanapatikana jioni..
Mkuu tatizo limeishia wapi? Ushapona.Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi azai...
herpes au syphillis ikiwa ktk secondary stagePole boss, kwa muonekano wa hivo vijipele naona ni kama vile vya Herpes simplex virus Genital sores na mara nyingi huambatana na vipele vya mdomoni na kama vimetokea sehemu ya ubavu yaweza kuwa relapse ya previous HSV infection...
Nikweli kabisa mkuu, maana wahenga walivyo sema mfucha uchi hazai....
Lakini hawaku maanisha uanike uchi wako humu Jf.
Misina la kukushauri, ila Pole sana mkuu
daaah mkuu una idea ya hii kitu maana inanitesa sanaherpes au syphillis ikiwa ktk secondary stage