Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Nashukuru sana Watu kama nyie ndo mnatakiwa bitalifanyia hili nasubiria mwenje kujua mwenye tatizo hili kwa kina au hospital maana nimezunguka sana..unajua siku hizi hata hospital hawatibu bt wako kimaslah
Upo Dar??yaan hosptali ulizo zunguka ni za Dar??
Mm mashauri ukienda hosptal tafuta wataalam wa masuala ya uzazi na ngozi

Usikutane na wale madaktari wa jumla jumla....
Na nitajitahidi kuulizia pia kuhusu hili
 
Hivi kumbe HPV ni hatari kwa wanaume pia!!

Ukiwa na tatizo la kiafya jaribu kutembelea hospitali tofautitofauti maana hata hao madaktari wanaachana utaalam.
 
Upo Dar??yaan hosptali ulizo zunguka ni za Dar??
Mm mashauri ukienda hosptal tafuta wataalam wa masuala ya uzazi na ngozi

Usikutane na wale madaktari wa jumla jumla....
Na nitajitahidi kuulizia pia kuhusu hili
niko arusha ndugu
 
Kama upo dar es salaam jaribu kuonana na daktar wa ngozi pale Burhan hospital mkabala na duka la laptop city Posta
 
Sidhan kama hospital walikosea kukwambia kua ni HPV infection

Hiyo ni Genital warts inayosababishwa na virus aina ya HPV

Lakini hujasema ni dawa gan walizokupa hospital na ukatumia bila kupata nafuu yoyote

Huwa kuna dawa ya kuvichoma na kemikali inaitwa SILVER NITRATE PENCIL au ya kupaka inaitwa PODOPHYLLIN(podofilox) gel

NB: Ni vizuri pia ukamuona daktari wa magonjwa ya ngozi (dermatologist)
Pia ni vizuri ukapima HIV
 
Ahsante sana na walinipa dawa inaitwa acylovir cream ya kupaka pamoja na vidonge vyake
 
Ahsante sana na walinipa dawa inaitwa acylovir cream ya kupaka pamoja na vidonge vyake
Daah, hizo Acyclovir efficacy yake ni ndogo sana I.e. less effective kwenye kutibu warts

Jaribu kutumia hizo nilizokwambia, ni among the recommended drugs kwenye kutibu genital warts
 
Hiyo kitaalamu inaitwa kendembilical duduscum. Jaribu kuwa msafi acha kuvaa boksa wiki 6.

Pia jifunze kutawaza vizuri
 
Daah, hizo Acyclovir efficacy yake ni ndogo sana I.e. less effective kwenye kutibu warts

Jaribu kutumia hizo nilizokwambia, ni among the recommended drugs kwenye kutibu genital warts
Sawa Mkuu nitajribu hivyo kaka
 
Daah, hizo Acyclovir efficacy yake ni ndogo sana I.e. less effective kwenye kutibu warts

Jaribu kutumia hizo nilizokwambia, ni among the recommended drugs kwenye kutibu genital warts
ahsante sana mkuu
 
Aliyekuwa amepatwa na ugonjwa huu alipona na dawa gani maana mwenyewe sahivi inamsumbua sana
Dalili ni zipi? Zilezile au we kuna tofauti? Je mwili unawasha kujikuna sana hasa usiiku???
Dawa zipo nyingi.
 
Pedi salama Ni zipi hasa?? Japokuwa tunashukuru siku hizi wanaandika expiry date ... Tofauti na zamani kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…