Mbanti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 944
- 1,730
Upo Dar??yaan hosptali ulizo zunguka ni za Dar??Nashukuru sana Watu kama nyie ndo mnatakiwa bitalifanyia hili nasubiria mwenje kujua mwenye tatizo hili kwa kina au hospital maana nimezunguka sana..unajua siku hizi hata hospital hawatibu bt wako kimaslah
Mm mashauri ukienda hosptal tafuta wataalam wa masuala ya uzazi na ngozi
Usikutane na wale madaktari wa jumla jumla....
Na nitajitahidi kuulizia pia kuhusu hili