Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Hii solution tiari bado mrejesho tu
Usiwe mtoto kua basi kidogo!

Kwa hali hiyo uliyoweka hapo juu hakuna mwanamke timamu atakubali umtumbukize kipande cha nyama nenda hospital acha act za kitoto.nakusisitiza mtibiwe wote wewe na mwanamke wako.
 
Candistant tube solution iko karibu kila pharmacy. Kaitumie.
Team kiba usifadhaike na masemango ya watu
 
Sitoi povu ila kuna watu wameugua ugonjwa kama wa huyo jamaa me pia niliwah kuugua ugonjwa kama huo ilikua ni mwendo wa kuwashwa mwili kwa miez kama 4 iv... hospital nenda rudi pesa ilotumika sio mchezo. Ni mwendo wa sindano, dawa za kupaka na kumeza lakini hakuna nilichafaniksha.. ila kupitia humu na mtu mwingne wa nje nikapata dawa.. msamehe bure jamaa
 
Kama ulivyosema kuna wengi wamewahi kupata hivyo vipele hivyo ingetosha tu kwa yeye kuelezea na akapata msaada anao hitaji na sio kutuma picha zake za utupu hata kimaadili haipo sawa ..
 
achana na kushinda kimboka...wahi utibiwe la sivyo picha utayo post tena athumani bichwa wazi atakua amekatika.
 
Brother usisahau kucheki HIV status ipoje.

Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…