Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Hii solution tiari bado mrejesho tu
Usiwe mtoto kua basi kidogo!

Kwa hali hiyo uliyoweka hapo juu hakuna mwanamke timamu atakubali umtumbukize kipande cha nyama nenda hospital acha act za kitoto.nakusisitiza mtibiwe wote wewe na mwanamke wako.
 
Hivi hii imekaaje mtu kutuma picha zake za utupu mtandaoni kwa madai eti anaomba msaada wa tatizo lake ?? .. madaktari mbona wengi kwanini usiende ukawaelezea shida yako wakakutibia, wakuu fake ID's zisitufanye tuvuke mipaka .. mods pia mnaweza kufanya kazi yenu ..

POVU RUKSA!
Sitoi povu ila kuna watu wameugua ugonjwa kama wa huyo jamaa me pia niliwah kuugua ugonjwa kama huo ilikua ni mwendo wa kuwashwa mwili kwa miez kama 4 iv... hospital nenda rudi pesa ilotumika sio mchezo. Ni mwendo wa sindano, dawa za kupaka na kumeza lakini hakuna nilichafaniksha.. ila kupitia humu na mtu mwingne wa nje nikapata dawa.. msamehe bure jamaa
 
Kama ulivyosema kuna wengi wamewahi kupata hivyo vipele hivyo ingetosha tu kwa yeye kuelezea na akapata msaada anao hitaji na sio kutuma picha zake za utupu hata kimaadili haipo sawa ..
 
achana na kushinda kimboka...wahi utibiwe la sivyo picha utayo post tena athumani bichwa wazi atakua amekatika.
 
Brother usisahau kucheki HIV status ipoje.

Pole
 
Back
Top Bottom