Wote wanaopatwa na UTI si ni kwasababu ya nyama kwa nyama.Kwa nini unauza mechi?Hivi inakuaje mpaka unamwamini mwanaume au mwanamke hadi unakulana nae nyama kwa nyama?Wallah siwezi hata kwa nini.Sasa UTI siku utaambukiwa HIV utamlaumu nani?
Anyway Habar wakuu
Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?
Mtafute gyno wa kike akukagueAnyway Habar wakuu
Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?
Nimekujibu kutokana na maelezo yako uliposema,"ukimtazama mtu aliekuambukiza sasa" UTI mnaugua nyie tu.Tokea nizaliwe sijawahi ugua UTI kwa kweli.Wote wanaopatwa na UTI si ni kwasababu ya nyama kwa nyama.
Unataka kusema watoto wadogo mpaka hata wa miaka 2 wanaopatwa na UTI nao walifanya sex?
Inategemea unaishi wapi.Nimekujibu kutokana na maelezo yako uliposema,"ukimtazama mtu aliekuambukiza sasa" UTI mnaugua nyie tu.Tokea nizaliwe sijawahi ugua UTI kwa kweli.
baharia 1, pole sana! Umepata maambukizi ya bacteria wanaoitwa scabies. Hapo fanya uende Farmacy halafu kamnong'oneze muuzaji akupe dawa inayoitwa Scaboma cream.Anyway Habar wakuu
Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?
Asante mkuubaharia 1, pole sana! Umepata maambukizi ya bacteria wanaoitwa scabies. Hapo fanya uende Farmacy halafu kamnong'oneze muuzaji akupe dawa inayoitwa Scaboma cream.
Bei yake inacheza kwenye 5500-6000 hivi! Baada ya hapo utakuwa unapaka mara 2-3 kwa siku. Baada ya wiki 2, urudi hapa kuja kunishukuru.
Usitishike. Wakati fulani ni kawaida sana kwa baharia kupata changamoto ndogo ndogo kama hizo, hasa pale anapokula tunda kimasihara.
Unayo shida ya fedha kwa ajili ya kupata tiba?Asante mkuu
Hapana sina shida hiyoUnayo shida ya fedha kwa ajili ya kupata tiba?
Poa.Hapana sina shida hiyo
Hapo chacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gono hiyo,nenda hospital watakuandikia Sindano. Na wasiliana yule uliyegusishana nae vikojoleo nae atibiwe.Na yeye awasiliane na wote aliolala nao.Inapona hiyo.Sema baada ya miezi mitatu ukapime na ngoma.
ChitakiHapo chacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akipona ajifunze matumizi sahihi ya kondomu , utamu wa dk 5 , unakuvua utu , kitendo cha kushinda kwa madaktari unaonesha mkuyenge umejaa mapere kama jabulani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja waje wanaume wenzio wakuombe picha.
Achaa utakuja upate sundo sundo mshedede unaisha km ice cream inayeyukaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chitaki