Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Hii picha sioni kipele ambacho kinaweza kutoa mwelekro wa kujua tatizo.

Bora nenda kwa daktari hata mtaa wa 20 kama unaona aibu,lazima daktari atataka aone.

Lakini pia huwenda vipele vyako havitokani na sex uliyofanya bali unajitia hocu bure tu.

So usiassociate vipele na ngono uliyofanya
 
Kwa nini unauza mechi?Hivi inakuaje mpaka unamwamini mwanaume au mwanamke hadi unakulana nae nyama kwa nyama?Wallah siwezi hata kwa nini.Sasa UTI siku utaambukiwa HIV utamlaumu nani?
Wote wanaopatwa na UTI si ni kwasababu ya nyama kwa nyama.

Unataka kusema watoto wadogo mpaka hata wa miaka 2 wanaopatwa na UTI nao walifanya sex?
 
Hahaa! Aisee Hii kuna uzi nimeona imepostiwa na haihusiani kabisa na heading ya uzi ule, nikumbushe ni uzi gani ule?
 
Nimekujibu kutokana na maelezo yako uliposema,"ukimtazama mtu aliekuambukiza sasa" UTI mnaugua nyie tu.Tokea nizaliwe sijawahi ugua UTI kwa kweli.
Inategemea unaishi wapi.

Sisi tunaoishi uswahilini, tunaokwenda kupata ulabu kwenye baa za kawaida unaweza ukawa unakwenda washroom za kiume unakuta aliyetoka alikuwa na UTI akashika mlango ama kitasa cha mlango na wewe unafungua mlango kwa kutumia mikono kweli utakosa kuugua UTI.
 
Anyway Habar wakuu

Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?
baharia 1, pole sana! Umepata maambukizi ya bacteria wanaoitwa scabies. Hapo fanya uende Farmacy halafu kamnong'oneze muuzaji akupe dawa inayoitwa Scaboma cream.

Bei yake inacheza kwenye 5500-6000 hivi! Baada ya hapo utakuwa unapaka mara 2-3 kwa siku kwenye hivyo vipele. Baada ya wiki 2, urudi hapa kuja kunishukuru.

Usitishike. Wakati fulani ni kawaida sana kwa baharia kupata changamoto ndogo ndogo kama hizo, hasa pale anapokula tunda kimasihara.
 
baharia 1, pole sana! Umepata maambukizi ya bacteria wanaoitwa scabies. Hapo fanya uende Farmacy halafu kamnong'oneze muuzaji akupe dawa inayoitwa Scaboma cream.

Bei yake inacheza kwenye 5500-6000 hivi! Baada ya hapo utakuwa unapaka mara 2-3 kwa siku. Baada ya wiki 2, urudi hapa kuja kunishukuru.

Usitishike. Wakati fulani ni kawaida sana kwa baharia kupata changamoto ndogo ndogo kama hizo, hasa pale anapokula tunda kimasihara.
Asante mkuu
 
Gono hiyo,nenda hospital watakuandikia Sindano. Na wasiliana yule uliyegusishana nae vikojoleo nae atibiwe.Na yeye awasiliane na wote aliolala nao.Inapona hiyo.Sema baada ya miezi mitatu ukapime na ngoma.
Hapo chacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akipona ajifunze matumizi sahihi ya kondomu , utamu wa dk 5 , unakuvua utu , kitendo cha kushinda kwa madaktari unaonesha mkuyenge umejaa mapere kama jabulani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom