Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

mkuu pole sana me sina la kukushauri. ila nawakemea tu wale wanayosema tumia kinga .kutumia kinga ni muhimu lakini changamoto ni kuna wadada wazuri mpaka unaona kutumia kinga ni madharau. anyway wish you quick recovery mkuu.
 
ukiumwa bwana hata uambiwe onyesha picha ya MKU...unaonyesha bila hata kificho....Ukiumwa bwana ADABU inarudi
[emoji23][emoji23][emoji23] hata ukiambiwa kula kinyesi utakula
 
Tatizo girl friend wangu hana hii kitu na tumeishapima nae sana hana kabisa apo ndo nashindwa elewa tatizo ni nini
Mwanamke ni ngumu sana kuona kwa sababu dalili za mwanamke zinaonekana baada ya muda mrefu sana. So it's better ukaenda naye tu
 
Kwani mkuu hizo genital herpes zinaweza kutokeza kwa ngozi ngumu kama mkononi n.k?nijuavyo mimi huwa zinatokeza sehemu laini kama kwenye genitals,mdomoni n.k.possibility kubwa itakuwa ni syphilis kama daktari wake alivyomwambia...
 
Kwani mkuu hizo genital herpes zinaweza kutokeza kwa ngozi ngumu kama mkononi n.k?nijuavyo mimi huwa zinatokeza sehemu laini kama kwenye genitals,mdomoni n.k.possibility kubwa itakuwa ni syphilis kama daktari wake alivyomwambia...

Ahsante kwa swali zuri mkuu, hilo jina "Genital" najua linamaamisha maungo ya uzazi lakni lisikuchanganye kama nilivyosema hapo juu kuna serotype mbili za hao virusi na hivyo HSV-1 ndio itakuwa imepelekea kuonekana kwa hizo blisters sehemu nyingine tofouti na muda mwingi hizo blisters zinaweza onekana kwenye mkono, mdomo, mgongoni katikati ya mabega mawili, kifuani na katika mapaja vilevile...

Hii kitu ilishawahi kumpata aliewahi kuwa shemeji yako kipindi cha nyuma ila kwake ili kuwa kwenye mapaja , mgongoni na kifuani na kwenye lips kwenda kupima ndio akakutwa na hiyo infection, nilipanic kwa kweli maana condom mimi huwa siifahamu, ila nashukuru Mungu hakuniambukiza na baada ya kutumia dawa kwa mwezi mzima alikuwa sawa sema ndio hivyo ikatokea tu nika loose intreste nae...

So, kwa mheshimiwa hapo juu naona anazo forms zote mbili za Herpes..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…