Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Nenda muhimbili,new opd building... Umuone consultant physician yeyote utakayemkuta....Fanya upesi maana STI sio mchezo....n vema uende na uliyetombana naye ili mtibiwe wote
Ngoja wahuni wa humu wapite kwenye huu uzi, utachukua mwelekeo tofauti kabisa.
Acha biashara mchanaaa bro
Kama ni hivyo vipimo na wataaaalam wote wanapatikanika MUHIMBILI kwa bei nafuuuu sanaaaaa
 

Fuata Huu ushauri
 
Ni kweli dr.... Huyo ana herpes genital infection.... Mara nyingi ni HIV associated infections.... Kama utapima ukakuta una HIV positive results... Tuna diagnose kama WHO HIV clinical stage II. sasa hapo kapime ukimwii... Usituficheee. Then utajoin kwenye long life medications. Karibu sana Mbeya zonal referral hospital. MZRH.
 

[emoji1552]‍♂️
 
Mara nyingi huwa wana generalized kuwa mostly huwa iko accompanied na HIV, lakni kuna case moja niliwahi kulala na dada fulani hivi baada ya wiki 3-4 akaniambia ana hizo blisters nikapata wasiwasi kweli nikasema tayari hapa nishalamba JOKER.

But niliongozana nae mwenyewe hadi hospitali tukachukua vipimo akakutwa na Herpes pekee akapewa baadhi ya dawa nilizoorodhesha hapo juu alitumia kwa muda wa mwezi mmoja akawa amepona na sikujiuliza mara mbili palepale nikampa redcard...

Maana nakumbuka nililoweka na tulipiga show kali kwelikweli so nikajua nimenasa na mimi but namshukuru Mungu nilikuwa salama salimini na sikuwahi kutest postive kwenye any of mentioned diseases hapo juu...
 
Naona we unataka kumchanganya mgonjwa acha iyo tabia.amesema kapima tatizo halijulikani wewe kwavipimo vyako vya macho umeshatoa majibu tayari
 
Naona we unataka kumchanganya mgonjwa acha iyo tabia.amesema kapima tatizo halijulikani wewe kwavipimo vyako vya macho umeshatoa majibu tayari
Kwahiyo na wewe unamshauri akanywee vitunguu swaumu.... Mswahili bana... Kachukue vipimo dogo... Haijilishi ulipima wapi... Taratibu za hospital hatuwezi tumia vipimo vya sumbawanga kudeal na tatizo lako ulilokuja nalo mbeya... Tunaanza upyaa.. Utapima vipimo vingi.... PCR... Vingine..

Umesema umetumia dawa kwa miezi minne bila mafanikio.. Ukiendelea kufuata ushauri wa vitunguu swaumu.. Utapata complications za drug intoxication
 
Mkuu ugua pole hope utapona. Data ushauri wa mchangiaji mmoja hapo na ukumbuke kuturetea mrejesho.
 
Take this advice
 
Pole sana mkuu,najha wengi wanafuatilia kimya kimya.
 
Ndio maana madaktari wanasoma miaka mingi chuoni na kazini wanalipwa pesa ndefu na wasipoongezewa wanagoma.

Udaktari ni kazi ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…