Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Pole sana hiyo ni syphilis ila inatibika wala usifanye tendo la ndoa maana kwa asilimia 100% itakupelekea kupata hiv kama huna. Kwahio ninakushauri uende Zanzibar Mnazimmoja Dawa Bure na Madokta wake wazuri ninatumai utapata tiba kwao
 



Hellow guys ! Hope mko poa nimeona leo nitoe mrejesho kwenu lakini pia nitoe madukuduku yangu ya moyoni.

Kama nilivyokuja awaki kuomba msaada hapa jamvini, nilipata marejesho mbali mbali kutoka kwa watu tofauti asanteni sana kwa kujali maana undugu si lazima kuzaliwa pamoja hakika nyie ni zaidi ya ndugu. Kwa majuma yaliyopita nlikua bado nasumbukia afya yangu juu ya matatizo nliokua nayo.
1. Nilienda hispitali ya mikocheni SANITAS kwa bahati mbaya sikupata huduma kwakua nowdays hawapokei kadi za NHIF hivyo kuokoa gharama nikaamia hospitali ya TMJ nikaomba kukutana na doctor wa ngozi nikapewa siku ya appointment nilimuona nasikitika siku ridhishwa na dactari yule mmama wa kihindi yani nimekaa tu namuelezea ata dk 2 azijafika ananambia kashajua ugonjwa kaniandika dawa nikashindwa jua ni dktr gani ata ajauliza maswali ya msingi kashasema anajua hivyo nkachukua dawa nkaondoka.

Nimetumia dawa mpk katikati ya dozi ila hali haibadiliki ikanibidi ni switch hospitali nkaenda hospital moja maeneo ya nyumbani kama kawaida nikafanyiwa vipimo vya damu na sikukutwa na tatizo hivyo nkaandikiwa dawa za fungusi ninywe kwa siku tatu tokea nianze dozi hali ilibadilika japo vipele ndo vilizidi ila vilikua vinakauka tatizo ni kua haviishi kabisa, hivyo kunilazimu niende hospital ya posta (BURHAN) kumuona doctor wa ngozi.

YALIYOJILI HOSPITAL YA BURHAN
Nikafanya vipimo vya full blood picture, mkojo, na Utrasound
Majibu niliyopata ni kua kwenye damu niko clear pote sina magonjwa ya zinaa wala HIV ila tatizo limekuja kuonekana kwenye mkojo kwakua ulikua wa njani sana hivyo nkaanbiwa ni mchafu sana na nina U.T.I waliokomaa wengi sana hivyo nkaandikiwa dozi ya kuanza mapema sana ila pia nikashauriwa kurudi muona daktari wa ngoz.

MATUMIZI YA DAWA
baada ya kuanza kutumia dawa kwa siku moja asubui yake niliona mabadiliko makubwa sana maana nilipata nafuu ya kupitiliza na siku iliyofata niliweza kwenda kwa daktari wa ngozi na nkawa na mazungumzo ya kina takribani kama lisaa lizima na nikajulishwa tu kua matatizo ya ngozi au vipele vya maji nilivyo navyo ni kwasababu ya SCABBIES, maji niliyokua natumia sio salama na mazingira pia yalikua sio rafiki hivyo kupelekea kupata na ugonjwa wa ngozi yaani UKURUTU
Nikaandikiwa dawa SCABOMA na nyingine ambazo mpka sasa natumia ni siku ya kumi na ninaweza sema nimepona kwa kiasi kikubwa japo sijamaliza dozi namalizia dozi then narudi kupima tena kama naweza endelea na dozi nyingine au niishie apo baada ya kumaliza dozi hii.

WASAHA
Jamvi hili lina watu wengi sana na wenyetabia tofauti kunawatu wanaotoa ushauri mzuri wengine wanadhihaki kuna watu wengi sana walinifata PM wengine kwa lengo la kusaidia ( naweza sema asanteni) ila wengi wao walikua ni wa pigaji kujifanya madaktari kwa kutaka niwape contact tuwasiliane wanipe dawa kwa mihadi ya kuwatumia kwanza ela, wengine walinidhihaki hapa kwa kujifanya kua wao wanajua sana magonjwa kwa kumuangalia mtu na kujua anaumwa nini , wengine wanakatisha tamaa.
Guys sisi wote ni binadamu na ugonjwa hauna ujuaji leo kwangu kesho kwako hivyo sio jambo jema kumsakama mtu au muhukumu moja kwa moja pasipo jua tatizo lake kiundani kwa kua haujampima.

SHUKRANI
kwa member kwa wote walionitia moyo especially yule jamaa alienidirect niende SANITAS na wote walioguswa na ugonjwa wangu mbalikiwe sana
OTHERS [emoji41][emoji41][emoji41]acheni ujuaji na kebehi nyingi dunia ni mapito tu

Na mwisho kabisa naweza sema ogopeni kutumia dawa za maumivu dktr alinambia ni mbaya zinaenda kupambana na figo hivyo sio jambo jema kuziendekeza
Asanteni sana na mbalikiwe
NB : kapicha kapo ka mkononi niliko pona tu
 

Attachments

  • IMG_0958.JPG
    59.1 KB · Views: 130
Huu uzi ungewekwa picha ya sehemu za kike uwenda ndio ungekuwa mwisho wa uzi...hapo ndio ujue tofauti ya mwanaume na mwanamke ingawa zote ni sehemu za Siri.
 
Broo Usihangaike sanaa, hiyo ni Scabies aisee hatari sana ule ugonjwa, ulinipata 2016 vipele hivo vinatokea afu vinatoa majimaji daaah unawashwa usiku balaaa

Nenda famasi nunua Scaboma uwe unaoga then unapaka mwili mzima nakuhakikishia siku 3 umepata nafuu kubwa
 

Nilijua ni Scabies tu, ulinitesa sana, Muhimbili walichunguza hola, Kwa mama Ngoma walitoka jasho mpaka nikagugo ndio nikapata dawa
 
Am happy for u my dear. Nimefarijika kusikia unapona. Soon wifi yangu ata enjoy [emoji6]
 
Pole sana mkuu.. hapo TMJ ma Dr wao wanamambo ya kijinga na mimi nilishawahi kukutana na case kama yako alikua mhindi ila mwanaume.
 

Mkuu ni dr nn maelezo yako mazur xn
 
Kwa wale wenye uelewa/ utaalamu na haya mambo naomba mnisaidie
Huwa nasumbuliwa na vipele kama vijipu fulani ambavyo huwa vinaniuma sana na vinajaa vimaji maji kama usaha (vikiiva) maeneo ya mavuzini.

Vimekuwa vikitokea mara kwa mara vinapotea..vinaweza kutokea ikapita hata miezi 3 au 6 ndo vinatokea tena na kukauka.Sasa sijajua tatizo ni nini. Ni kama miaka 9 vinanisumbua na naviacha tu sijawahi kumeza dawa yoyote ile
Nimeambatanisha na picha kabisa kwa wale wataalamu mvione pengine mnaweza kuvielewa [emoji116][emoji116]


 
Nahisi hizo ni Razor Bump. Ngozi yako ipo sensitive utumiapo vinyoleo. Nakushauri jaribu kutumia pre-shave oil kabla ya kushave na after shave baada ya kushave.

Sijui nimetoa ushauri mzuri.[emoji848]
 
Pole Sana Kwa Tatizo Yaani Unaonekana Unateseka
Ngoja Waje Wajuzi
 
Nahisi hizo ni razor bump.. Ngozi yako ipo sensitive utumiapo vinyoleo.. nakushauri jaribu kutumia pre-shave oil kabla ya kushave na after shave baada ya kushave...

Sijui nimetoa ushauri mzuri, [emoji848]
Ahsante kwa ushauri..ntajitahidi wakuu maana nilihisi labda Bacteria fulani au fungi sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…