Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai.
Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpk za kopo ila bado tatizo linanisumbua.
Ninawashwa sana mwilini na vijipele vimetokea mkononi na sehemu za siri nimepima hospital kama BURHAN, Legency wanasema siumwi kitu ila hali yangu mimi naona inazidi kua mbaya.
MaJuzi nimepima hospital ya mtaani wakasema na syphilz nimeanza matibabu ya sindano zile nne za mwezi mpk sasa nishachoma sindano 2 ila bado hali iko vile vile tena ndo inazidi kabisa
Mwenye msaada naomba anisaidie nawashwa sana mwiliView attachment 1183912View attachment 1183913View attachment 1183915
90% of chances ni Scabies hiyo. Muone Daktari.
Hellow guys ! Hope mko poa nimeona leo nitoe mrejesho kwenu lakini pia nitoe madukuduku yangu ya moyoni.
Kama nilivyokuja awaki kuomba msaada hapa jamvini, nilipata marejesho mbali mbali kutoka kwa watu tofauti asanteni sana kwa kujali maana undugu si lazima kuzaliwa pamoja hakika nyie ni zaidi ya ndugu. Kwa majuma yaliyopita nlikua bado nasumbukia afya yangu juu ya matatizo nliokua nayo.
1. Nilienda hispitali ya mikocheni SANITAS kwa bahati mbaya sikupata huduma kwakua nowdays hawapokei kadi za NHIF hivyo kuokoa gharama nikaamia hospitali ya TMJ nikaomba kukutana na doctor wa ngozi nikapewa siku ya appointment nilimuona nasikitika siku ridhishwa na dactari yule mmama wa kihindi yani nimekaa tu namuelezea ata dk 2 azijafika ananambia kashajua ugonjwa kaniandika dawa nikashindwa jua ni dktr gani ata ajauliza maswali ya msingi kashasema anajua hivyo nkachukua dawa nkaondoka.
Nimetumia dawa mpk katikati ya dozi ila hali haibadiliki ikanibidi ni switch hospitali nkaenda hospital moja maeneo ya nyumbani kama kawaida nikafanyiwa vipimo vya damu na sikukutwa na tatizo hivyo nkaandikiwa dawa za fungusi ninywe kwa siku tatu tokea nianze dozi hali ilibadilika japo vipele ndo vilizidi ila vilikua vinakauka tatizo ni kua haviishi kabisa, hivyo kunilazimu niende hospital ya posta (BURHAN) kumuona doctor wa ngozi.
YALIYOJILI HOSPITAL YA BURHAN
Nikafanya vipimo vya full blood picture, mkojo, na Utrasound
Majibu niliyopata ni kua kwenye damu niko clear pote sina magonjwa ya zinaa wala HIV ila tatizo limekuja kuonekana kwenye mkojo kwakua ulikua wa njani sana hivyo nkaanbiwa ni mchafu sana na nina U.T.I waliokomaa wengi sana hivyo nkaandikiwa dozi ya kuanza mapema sana ila pia nikashauriwa kurudi muona daktari wa ngoz.
MATUMIZI YA DAWA
baada ya kuanza kutumia dawa kwa siku moja asubui yake niliona mabadiliko makubwa sana maana nilipata nafuu ya kupitiliza na siku iliyofata niliweza kwenda kwa daktari wa ngozi na nkawa na mazungumzo ya kina takribani kama lisaa lizima na nikajulishwa tu kua matatizo ya ngozi au vipele vya maji nilivyo navyo ni kwasababu ya SCABBIES, maji niliyokua natumia sio salama na mazingira pia yalikua sio rafiki hivyo kupelekea kupata na ugonjwa wa ngozi yaani UKURUTU
Nikaandikiwa dawa SCABOMA na nyingine ambazo mpka sasa natumia ni siku ya kumi na ninaweza sema nimepona kwa kiasi kikubwa japo sijamaliza dozi namalizia dozi then narudi kupima tena kama naweza endelea na dozi nyingine au niishie apo baada ya kumaliza dozi hii.
WASAHA
Jamvi hili lina watu wengi sana na wenyetabia tofauti kunawatu wanaotoa ushauri mzuri wengine wanadhihaki kuna watu wengi sana walinifata PM wengine kwa lengo la kusaidia ( naweza sema asanteni) ila wengi wao walikua ni wa pigaji kujifanya madaktari kwa kutaka niwape contact tuwasiliane wanipe dawa kwa mihadi ya kuwatumia kwanza ela, wengine walinidhihaki hapa kwa kujifanya kua wao wanajua sana magonjwa kwa kumuangalia mtu na kujua anaumwa nini , wengine wanakatisha tamaa.
Guys sisi wote ni binadamu na ugonjwa hauna ujuaji leo kwangu kesho kwako hivyo sio jambo jema kumsakama mtu au muhukumu moja kwa moja pasipo jua tatizo lake kiundani kwa kua haujampima.
SHUKRANI
kwa member kwa wote walionitia moyo especially yule jamaa alienidirect niende SANITAS na wote walioguswa na ugonjwa wangu mbalikiwe sana
OTHERS [emoji41][emoji41][emoji41]acheni ujuaji na kebehi nyingi dunia ni mapito tu
Na mwisho kabisa naweza sema ogopeni kutumia dawa za maumivu dktr alinambia ni mbaya zinaenda kupambana na figo hivyo sio jambo jema kuziendekeza
Asanteni sana na mbalikiwe
NB : kapicha kapo ka mkononi niliko pona tuView attachment 1204169
View attachment 1204172

Pole sana mkuu.. hapo TMJ ma Dr wao wanamambo ya kijinga na mimi nilishawahi kukutana na case kama yako alikua mhindi ila mwanaume.Hellow guys ! Hope mko poa nimeona leo nitoe mrejesho kwenu lakini pia nitoe madukuduku yangu ya moyoni.

Tatizo girl friend wangu hana hii kitu na tumeishapima nae sana hana kabisa apo ndo nashindwa elewa tatizo ni nini
Pole Mkuu kwa tatizo linalokusumbua kwa haraka haraka bila kupepesa utakuwa una ugonjwa unaoitwa Genital Herpes infection ambao husababishwa na Herpes simplex virus type 1 & 2 ila kwa upande wako naona ni type 1 and type 2 ndio zinakusumbua, maana nimejaribu kuangalia na hizo blister hapo katika mwili wako zimekaa kama za herpes plus ukijaribu kuvitumbua najua utakuwa unapata maumivu ya ajabu....
Hivyo basi ningependa uende maeneo ya pale sanitas mikocheni wachukue damu, majimaji kutoka kwenye hivyo viupele, mate, au sehemu kidogo ya ngozi ambayo ina hizo blisters ili waweze kufanya analysis kwa njia ya Polymerase chain reaction (PCR) au hata Serological test (ELISA) ili ku confirm ugonjwa husika..
Kuhusu tiba incase ikagundulika una herpes infection wanatibu dalili husika, ila kwa hapo baadae utapata long life immunity amabyo itakuwezesha kutokupata huo ugonjwa tena.
NB: Ugonjwa huu madaktari wengi huhisi ni ugonjwa wa fangus, bacterial au ugonjwa wowote wa njia ya mkojo ambapo huwa ni uwongo...
Hivyo wahi kwenye hiyo hospitali kama wewe ni mkaaji wa dar es salaam uweze pata tiba kila la kheri boss.
Aache Zikue Nyingi Ndiyo AnyoeNyoa kwa kutumia shaving creams
Ahsante kwa ushauri..ntajitahidi wakuu maana nilihisi labda Bacteria fulani au fungi suguNahisi hizo ni razor bump.. Ngozi yako ipo sensitive utumiapo vinyoleo.. nakushauri jaribu kutumia pre-shave oil kabla ya kushave na after shave baada ya kushave...
Sijui nimetoa ushauri mzuri, [emoji848]
Huwa sipaki kitu nikimaliza huwa naoga tu basi, ila ushauri wako nimeupata nitaufanyia kazi.Ukimaliza kunyoa huwa unapaka nini? Kama haupaki chochote kanunue after shave itakusaidia maana hizo ni reaction unazozipata baada ya usafi
Ila unajitahidi sana kila miezi mitatu??