Huyo mjamaa anataka kutuharibia Uzi ili ufungwe usionekane tena ni moja ya watu wachache wanaochukia maendeleo ya bk achana nae hivi kweli MTU una akili timamu unasema bandari ya kemondo inaizidi ya bukoba kwa watu na shughuli wakati kemondo hupita tu,halafu unasema magari yote huishia kemondo? Hivyo barabara zisipanuliwe kweli ni ujinga au sio wa bukoba anataka isipige hatuaUsitake watu wakutukane bure jitahidi kuficha ujinga wako huko huko luhija. Yawezekana ukafikiri hapa tuna bonanza la kubishana, hatuko hapa pia kwasababu tunakosa kazi za kufanya kwahiyo siyo lazima kuchangia kama hufahamu hata tunachokiongelea. Inavyoonekana ni kana kwamba uelewa wako na sie ni sawa na mbingu na ardhi. Na nahisi ulivyo ndo picha harisi ya baadhi ya watu wanaopita huku na kule kuomba kuchaguliwa kwenye chaguzi tofauti eti ukaongoze, kwa jinsi uelewa wako ulivyo chini ikitokea nikakuta eti sijuhi ndo m/kiti wa mtaa wangu ntaomba uitishwe uchaguzi upya ili tukuondoe.
Labda unafaa kuchunga mbuzi porini kusiko na foleni za malisho
Uzuri wake tunauona kwa lipi alilofanya kwenye kipindi chake????Lazima muisome namba kwa kumpiga chini Kagasheki! Mtavuna mlichopanda! Ukiachilia mbali siasa Kagasheki was better than Rwakatare tena mara kumi ....
Umeanza siasa sasa hayo mambo yalishaisha na watu wa bukoba walishajuta .bil 18 zilipotea hivi hivi kwa sababu ya siasa .siasa hatuitaji huku tunajadili maendeleo na changamoto mbalimbali za mji wa bk after all maendeleo yameshapatikana ndo maana bk unakuwa kwa kasi siku hizi kulinganisha na nyuma na stand inajengwa ,huku soko taratibu za kuwahamisha watu zikiendelea siasa hatuzitaki tena bkLazima muisome namba kwa kumpiga chini Kagasheki! Mtavuna mlichopanda! Ukiachilia mbali siasa Kagasheki was better than Rwakatare tena mara kumi ....
Watu wengi wa bk mbona wanamkubali sana na bk maendeleo mbona yanaonekana siku hizi hebu nikitajie kidogoHaya endelea na kamanda wenu! Mwafa
Una lako jambo maana nahisi kama hautumii akili yakoHaya endelea na kamanda wenu! Mwafa
Nini hasa lengo lako mpaka umendika hivi??
I agree, but insist heavy cargo and heavy trucks be relocated to Kemondo.Ili mji wowote ukue unahitaji public transport nzr mji wa bk hauna mfumo mzr wa public kama miji mingine tunatumia bodaboda ambazo kwa mvua za bukoba ni kuteseka nazo.hata zamani daladala zilikuwepo ila ziliacha kwa sababu ya meli nk bukoba ilivyopanuka sasa inahitaji route za daladala na hakika biashara itafanikiwa sasa hasa za kwenda kyakairabwa maana watu wote watakaokuwa wanakuja bk watafikia eneo hilo kwa maana ya hiace zote,na mabasi yote.pia wingi wa watu watakaokuja na meli na pia watakaokuja na ndege wote wanaenda mjini hivyo itakuwa vzr wakilipa 400 hata 500 kwenda mjini hii itaongeza mapato kwa manispaa na kuongeza mzunguko wa hela
Lakini hata sasa hakuna meli lakini barabara zina magari mengi kwa nini tusiangalie mbele mfano mzr ni rais wetu anatengeneza barabara kubwa na ya kisasa mjini bukoba ili kuhamisha kashozi road kupisha uwanja wa ndege. Halafu isitoshe vitu vingi na wafanyabiashara wakubwa wako bukoba na maduka mengi yapo bk ndo maana custum unakuwa busy muda wote kuliko kemondo .na bukoba ndo kuna idadi kubwa ya watu hivyo bandari ya bk ni muhimu sana na itabidi ifanyiwe upanuzi kemondo ni kipitio tu cha meli meli hutia nanga bukoba sio kemondo .1)Kemondo ilijengwa specifically ku-handle wagon-ferries. Inamaanisha wagonferry inatumika kama ro-ro, which means unaweza ku-drive in and out trailer au semi-trailer. Uoni kama ukiweza ku-drive in malori kwenye wagon-ferry unafupisha safari za malori kati ya Bukoba na mikoa mingine?
2)Barabara ya Kemondo-Rwamishenye tayari ni designed ku-accommodate magari makubwa ya mizigo. Ukipenda unaweza kukarabati barabara ya Kemondo-Katoro-Kyaka ichukue magari makubwa (ni fupi kuliko Kemondo-Rwamishenye-Kyaka) hivyo ukawa umeondoa magari makubwa kupita halmashauri.
3)Jiulize ili kuiweka barabara ya Bukoba port/Rwamishenye ichukue magali makubwa ya mizigo itabidi ivunjwe mali ya kiasi gani i.e anza na Bukop, Cocacola depot, Fuel storage tanks, office za ELCT, daraja jipya, - - ni majengo mengi ya kuvunjwa kabla ya kufika daraja la Kanoni.
4)Kwa nini tuhangaike kugundua gurudumu wakati tunalo tayari?
a)Mtu kutukana ni nyumba gani alilelewa.Usitake watu wakutukane bure jitahidi kuficha ujinga wako huko huko luhija. Yawezekana ukafikiri hapa tuna bonanza la kubishana, hatuko hapa pia kwasababu tunakosa kazi za kufanya kwahiyo siyo lazima kuchangia kama hufahamu hata tunachokiongelea. Inavyoonekana ni kana kwamba uelewa wako na sie ni sawa na mbingu na ardhi. Na nahisi ulivyo ndo picha harisi ya baadhi ya watu wanaopita huku na kule kuomba kuchaguliwa kwenye chaguzi tofauti eti ukaongoze, kwa jinsi uelewa wako ulivyo chini ikitokea nikakuta eti sijuhi ndo m/kiti wa mtaa wangu ntaomba uitishwe uchaguzi upya ili tukuondoe.
Labda unafaa kuchunga mbuzi porini kusiko na foleni za malisho
Sisi tunaongelea abiria ndo maana tunaongelea daladala na upanuzi wa barabara kwa sababu ya wingi wa magari na standard ya barabara za mjini.barabara ya rwamishenye kuelekea mjini hadi bandari ni inabidi ipanuliwe maana meli na stendi huleta watu mjini na daladala zinahitajika sio bodaboda na wakazi wengi wa bk wameshaomba hiloI agree, but insist heavy cargo and heavy trucks be relocated to Kemondo.
Najua unajisikia vibaya sana kuona tunaongea lugha moja ila ndo ilivyo, hatuna la kufanya ili ufurahi. Endelea na hesabu zako nzuri za kutoa wakati sie tunajumlishaHaya endelea na kamanda wenu! Mwafa
Sisi tunaongelea abiria ndo maana tunaongelea daladala na upanuzi wa barabara kwa sababu ya wingi wa magari na standard ya barabara za mjini.barabara ya rwamishenye kuelekea mjini hadi bandari ni inabidi ipanuliwe maana meli na stendi huleta watu mjini na daladala zinahitajika sio bodaboda na wakazi wengi wa bk wameshaomba hilo
a)Mtu kutukana ni nyumba gani alilelewa.
b)Nikifichua uchinga wangu napata fursa ya kujifunza.
c)Kama uelewa wangu ni mdogo si wewe kama mwema ungenisaidia kuuinua?
d)Sijawahi kuwa mwanasiasa na sitegei maishani
e)Mbuzi wa kisasa wanachungwa kwenye vitalu.
Mwisho jaribu ku-adjust speed yako ya ku-type iendane na ya kutafakari.
Hata mi huwa nashangaa watu wanauona Uzi tena ni wa bukoba halafu wanapita tu sijui bukoba nani alituroga yaani watu tunasahau nyumbani kiasi hicho tunahitaji sala nyingi kweliHuu mjadala mzuri sana sema unakosa mawazo ya wengi