Asante mkuu kwa kurahisisha mambo, kama hutojari niliwahi ona majengo fulani kwa chini kidogo ya round about rwamishenye ...limeshafunguliwa?maeneo ilipo prince hotel karibu na hotel ya walkguard transit Uganda road
Mkuu karibu na prince IP motel mbele ya transit hotel ,barabara ya custum sasa wameshafikia ghorofa ya nneAisee, umefanya la mbolea sana kwa hizi picha. Hiyo ghorofa ya Bkb shopping mall linajengwa maeneo gani mkuu?
Hilo sijui ni nini ila kama lilishaisha vileAsante mkuu kwa kurahisisha mambo, kama hutojari niliwahi ona majengo fulani kwa chini kidogo ya round about rwamishenye ...limeshafunguliwa?
Khasante sana kwa ku2fahamisha mkuu.unatupa moyo sana.Kimsingi bk kimajengo inakua kwa kasi maghorofa yanachipua sana hivi sasa kuna maghorofa 12 yanajengwa bila kuhesabu ihungo kwa upande huo bk inakua kwa kasi ila majengo ya serikali bado kikwazo yale nhc yapo kizamani sana haya ni baadhi tu ya maghorofa
naona marekebisho ya ufukiaji wa mashimo katika barabara ya manispaa yanaendelea ila wanarudio kosa lile lile tu kufukia mashimo kwa udongoHilo sijui ni nini ila kama lilishaisha vile
naona marekebisho ya ufukiaji wa mashimo katika barabara ya manispaa yanaendelea ila wanarudio kosa lile lile tu kufukia mashimo kwa udongoHilo sijui ni nini ila kama lilishaisha vile
Manispaa na viongozi wake wanatumia barabara kuingiza pesa mfukoni .hivi barabara zote wakifanya walivyofanya pale stendi inashindikana? Wakipokea pesa watengeneze barabara moja baada ya nyingine ilimradi ziwe imara.manispaa wezi na wala rushwa sana ndo hicho kinarudisha manispaa nyuma hawana uchungu na mji wao na hawajifunzi kutoka manispaa nyinginenaona marekebisho ya ufukiaji wa mashimo katika barabara ya manispaa yanaendelea ila wanarudio kosa lile lile tu kufukia mashimo kwa udongo
Hivi hawa jamaa wataacha upumbavu huu lini maana tumechoka sasa na mji kuwa udongo, haina haja ya kuwa na barabara nyingi zisizo na ubora, ni bora ziwe chache ila imara na zenye uboranaona marekebisho ya ufukiaji wa mashimo katika barabara ya manispaa yanaendelea ila wanarudio kosa lile lile tu kufukia mashimo kwa udongo
Taratibu tu naona uchumi ukiimarika mkoani kwetu, hakika fadhira zake Mungu ni za ajabu sana
Mkuu hebu tuwekee na tupicha kule kyakailabwa tuone kumefikia wapi. Sahivi kila sekta ni kama iko upande wetu vile, ujenzi, elimu na sasa boti mpya ...Mungu ana malengo nasi 2018Manispaa na viongozi wake wanatumia barabara kuingiza pesa mfukoni .hivi barabara zote wakifanya walivyofanya pale stendi inashindikana? Wakipokea pesa watengeneze barabara moja baada ya nyingine ilimradi ziwe imara.manispaa wezi na wala rushwa sana ndo hicho kinarudisha manispaa nyuma hawana uchungu na mji wao na hawajifunzi kutoka manispaa nyingine
Hivi sasa Niko mwanza sio bukoba tena kwa hiyo itakuwa vigumu kuleta picha labda ambao wako bk watujulishe mie nitarudi mei huko .tuombe tu isiingiwe na migogoro kama ilivyotokea 2012 na kustopisha ujenzi Mungu awe nasi wanabkMkuu hebu tuwekee na tupicha kule kyakailabwa tuone kumefikia wapi. Sahivi kila sekta ni kama iko upande wetu vile, ujenzi, elimu na sasa boti mpya ...Mungu ana malengo nasi 2018
Very sad aisee make ukiwepo kidogo tunakuwa na updates sana tofauti na wanaosalia huko kwao haya mambo si vipaumbele sana. Kama hauwaoni hata wakichangia hapa basi usitarajie miujiza sana kutoka kwao, all the best!Hivi sasa Niko mwanza sio bukoba tena kwa hiyo itakuwa vigumu kuleta picha labda ambao wako bk watujulishe mie nitarudi mei huko .tuombe tu isiingiwe na migogoro kama ilivyotokea 2012 na kustopisha ujenzi Mungu awe nasi wanabk
Hizo habari i kweli au source ya taarifa ni reliable? maana kuna uwekezaji ulikuwa uendelee pale ila sasa kwa jambo hilo mwekezaji anaweza akaghairiKuna habari nimeisikia ikisema mwalo wa muleba umefungwa wa magarini muleba na watu kulazimishwa kutumia soko la kimataifa la chato .jambo ambalo ni pigo kubwa kwa mkoa wa kagera maana mapato yote ya samaki yataelekezwa chato