TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Tupo sote tupo live ...tupe habari za ujenzi wa miundombinu hapo make tunajua ipo mingi tu kuanzia ihungo, barabara za W. Bank, stand n.k tupeni hata tupicha tulishe macho yetu
 
Tatizo la nyie watani wangu, mna mbwembwe na mipango miiiiingi sana, mwisho wa siku hamna kitu.

Muoneni mwenzenu Malinzi hadi anagombea uenyekiti wa mkoa wakati ana uenyekiti wa kitaifa, ambao unamtoa jasho - sifahamu anataka kujifunza mchangani.

Halafu hivyo vitu sijui ahadi za kufuatilia hapo/ vipau mbele mlivyoweka hapo naona ni vya kitoto sana, ambavyo mhaya mmoja tu angevishughulia na nyie mngebaki mnashughulikia mambo mazito.

Haya reserved.

Wewe babu zako si wazaliwa wa Bukoba au hufahamu hilo?Muone!
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Ya Malinzi ni ya kwake kwa maana kama kuna mahala aliharibu hilo ni la kwake ila ya maendeleo na mipango ya mkoa ni ya kwetu sote wanamkoa na wanaoutakia mema mkoa wetu. Hatuko hapa kuamua kesi za watu wala kuwatolea ushaidi.
 
Ndugu Jimmy Karugenzi na viongozi wenzako mkoani Kagera, mojawapo ya ufumbuzi wa upanuzi na uboreshaji wa mji wa bukoba ni kulihamisha gereza la bkb mjini. Miji yote mikubwa na ya kisasa magereza hujengwa nje ya miji km. Butimba mwanza na segerea dsm. Gereza la bkb pale lilipo ni prime area sawa na mnazi mmoja dsm. Ni vema serikali ya mkoa ikashauriana na serikali kuu ili kutekeleza hatua hii kuacha lile eneo likajengwa chuo kikuu au complex ya biashara, makazi n.k
 
Kweli mkuu, hata ofisi ya RC inatakiwa ihamishiwe kule site ilikojengwa Kahororo ili hapa ilipo leo pafanywe kuwa chuo cha VETA. Ile site pale Kahororo pesa nyingi imeachwa na imepotezwa bure, tulipewa mradi wa VETA na wachina toka 2014 hadi leo ngoma ilizimwa. Sasa kama huo mpango serikali haikuridhia ni kwanini Kahororo isiishe ili RC akahamie kule na ofisi ya leo ndo ikawe chuo? Tunapoteza muda kwakuwa hatuna watu wanaosimamia hii mipango, mbunge mwenyewe sijawahi kumsikia hata akiwazia hii mipango ...painful!
 
Hili jukwaa letu huwa linanisikitisha sana na sijui ni kwanini. Kwamba mtu unaweza kugeuka mchawi kwa mambo yako mwenyewe na usielewe kama unajichawia. Hapa ni Jf ambako kwa siku panapita watu wengi sana na miongoni mwao mbaluga aha kyaro chonka mbashobeza, okwo oshanoti tibabona anga bakauma amaisho. Tibabyetaileo wala tibaikubifao ...omukijungu "negligence".

Ndamanya lwango, ndamanya bufela, ndamanya butamanya... koikubabona aha kihanda ameshwante ti kawaida, ila kufao mbali balikuluga, wapi!!! ...ndamanya ayabatwete amagezi nowai!!! hii thread ina members walio active wasiozidi 5, ila ukienda fb/Instagram huko hadi kero, ebi ebya kunu nimubitantala kabiba byowa si? aba buhaya mweshubeho mala mwefeo, nimujanguka!
 
Usikate tamaa ndugu zaidi ni kutoa elimu kadri unavoweza
 
Ndugu Jimmy Karugenzi na viongozi wenzako mkoani Kagera, mojawapo ya ufumbuzi wa upanuzi na uboreshaji wa mji wa bukoba ni kulihamisha gereza la bkb mjini. Miji yote mikubwa na ya kisasa magereza hujengwa nje ya miji km. Butimba mwanza na segerea dsm. Gereza la bkb pale lilipo ni prime area sawa na mnazi mmoja dsm. Ni vema serikali ya mkoa ikashauriana na serikali kuu ili kutekeleza hatua hii kuacha lile eneo likajengwa chuo kikuu au complex ya biashara, makazi n.k
Ungeshauri kuhusu uwanja wa ndege ningekuona wa maana zaidi
 
Kamati ya CCM ya Mkoa Kagera wametoa maagizo ya kusitisha ujenzi wa soko jipya na stendi kwa sababu haijashirikisha wananchi, kampuni ishawahi kunyooshewa kidole kwenye ubadhilifu. Source: kasibante fm
 
Matako yao hao waliozuia. Walitaka wananchi gani kutoka nchi gani? kwani madiwani wakiamua ni kwa niaba ya nani na mbona kwenye vikao vyao hata madiwani wa CCM walikuwa pamoja na wenzao CDM? Hao kamati ya CCM ni vihiyo wa karne ya 22
 
Back
Top Bottom