TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Mipango ya ujenzi wa hiyo miradi imepita kwenye vikao harari na ina baraka zote za halmashauri. Wasitake yuwashukie kama miewe
 
Wagamba amazima
Nobona ebyo baikwegiza, okujalamka nkushaga titwikumanya kwefao. Koikulemwa kwemelela ebikukweteo maana yake ni kwamba toikwefao, ichwe analiyo kileki titwinakyo twikujuna analaija nyenkya kandi ntulaumu abaikutuongoza wakati ntweba kwamba naichwe ni viongozi ba kileki na bado tuliwo kushai kushai nka ebileju bye'mpaya.
 
March 9, 2018 kimefanyika kikao cha bodi ya barabara {ROAD BOARD} mkoa wa Kagera, ambacho kimefanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa uliopo manispaa ya Bukoba, ambapo imeibuka changamoto ambayo halmashauri inakumbana nayo juu ya Kampuni ya ujenzi MECCO.

Meya wa manispaa ya Bukoba Chief Kalumna amesema walipokea fedha za mradi wa barabara kutoka benki ya Dunia takribani Billion 6 na walitangaza zabuni ya ujenzi wa barabara hizo, kampuni ya ujenzi Mecco ilishinda katika mchakato huo lakini wameitwa kusaini mkataba wamekataa bila sababu zozote hali iliyopelekea manispaa kushindwa kutekeleza mradi kwa muda uliopangwa na kuamua kutangaza zabuni upya.

Kwa upande wake mkuu wa mkoa Kagera Meja Jeneral mstaafu Salum Kijuu amemuagiza Mkuu wa polisi Kagera kumkamata mkandarasi huyo na kumfikisha ofisini kwake akiwa na pingu ili aweze kueleza kwa nini amesababisha usumbufu huo
 
Ni nzuri sana hii hatua, huyu mwekezaji anatakiwa kulipa na gharama zote za usumbufu na apewe ONYO kali.

Kwa mbali sana, nahisi harufu ya wakijani kutaka kukwamisha (spin) kama walivyofanya huko nyuma. These people are satanic
 
Kamati ya CCM ya Mkoa Kagera wametoa maagizo ya kusitisha ujenzi wa soko jipya na stendi kwa sababu haijashirikisha wananchi, kampuni ishawahi kunyooshewa kidole kwenye ubadhilifu. Source: kasibante fm
Vipi kuhusu hii habari uliyoileta juzi wajumbe wa RCC wameliwekaje?
 
Na vipi ujenzi wa hiyo stand imefikia wapi mkuu?
 
Hivi ni kweli huwa hamna cha kuhabarisha kuhusu mji kinachoendelea hapo mkoani mji mzima? Watu wanamiliki masimu makubwa kazi kulike na kushare picha zao ...kuhusu maendeleo wala, hizo haziwahusu kamwe!
 
Mkuu wa wilaya akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wamemuelekeza mkandarasi apunguze slope katika eneo la parking, pia kaagiza TAKUKURU wachunguze ujenzi wa kituo cha polisi katika stendi hiyo kwani kinaonekana hakina thamani ya millioni 60.

Source; Kasibante radio through online
 
Mkuu umesharudi likizo?
 
Back
Top Bottom