TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Things Fall Apart. ...Kagera/Bukoba kuhamka kwenye usingizi huu ni zaidi ya KARNE..Niliwai kubuni kama kijana program inayoitwa WCY...Yaani WEALTHY CREATION TO YOUTHS ila ilikwama kwasababu ya itikadi ya kisiasa...Sasa nenda Uganda ambayo Mseveni anatumia uone kipi kinaendelea
 
KUMBUKUMBU YA MICHEZO

Balimi 3 Polisi 0

0887ac6c16003bf772207a68ea12f453.jpg


Nini kiliua michezo Kagera?
Timu ya Kagera Sukari ni ya watu wa Kagera, wanahisi umiliki wake na mapenzi ya kweli kwake au ni timu ya kiwanda?
 
Things Fall Apart. ...Kagera/Bukoba kuhamka kwenye usingizi huu ni zaidi ya KARNE..Niliwai kubuni kama kijana program inayoitwa WCY...Yaani WEALTHY CREATION TO YOUTHS ila ilikwama kwasababu ya itikadi ya kisiasa...Sasa nenda Uganda ambayo Mseveni anaotumia uone kipi k inaendelea
Kwasasa siasa hakuna ndugu Alexism. Tungependa ungeendeleza hilo wazo lako. Na vijana wako tayari kwa hakika!
 
Taarifa kutoka kwa Naibu Meya ni kwamba karibuni barabara hizi zitakua historia kwasababu wamekwisha tangaza tenda hivyo ni hivi karibuni zitatengenezwa.
Ukiahasema zitatengenezwa sio kuziba mashimo baada ya siku mbili kuharibika tunataka barabara za kudumu
 
Bado kuna tatizo katika maendeleo na siasa za Bukoba Happiness huu ndiyo ukweli dada yangu...Ila tukiacha kua na misimamo kama hii
Wa chama gani huyo
Wa kabila gani
Ana nini/mali
Elimu gani anayo etc bila kuangalia mawazo ya mtu yana umuhim gani it will take long...WCY wala haitaki mtaji mkubwa wa pesa au mikopo bali uelewa na support to kutoka kwa wanasiasa maana ndivyo tulivyojijenga watanzania
 
Tutegemee kisingizio kikuu cha wanasiasa wa Kagera ni Tetemeko
 
Nina wasiwasi na u-kada wako. Tukiweka siasa pembeni huwezi kuhukumu kazi ya mtu kwa mwaka mmoja hasa kwa miradi mikubwa. Hata Rais bado anajipanga kutekeleza sera ya viwanda. Kama vipi tupe mbunge ambaye ameonyesha vitu vikubwa vinavyoshikika ndani ya mwaka mmoja.
Wewe ndo mbunge mkuu? Usilete porojo hapa ukitaka masuala ya wafate wenye vyama vyao. Siye wengine tunaumwa na maendeleo na si porojo za mda.
 
Taarifa kutoka kwa Naibu Meya ni kwamba karibuni barabara hizi zitakua historia kwasababu wamekwisha tangaza tenda hivyo ni hivi karibuni zitatengenezwa.
Dada habari.
Ulipotelea wapi ndugu make nilifika kipindi nikajiuliza ulipatwa na nini, were you lost?

Any way, hayo tuyaache. Binafsi nimeamua kutokutoa ama mawazo ama michango yangu japo itaniumiza kwasababu itasalia hivyo, Bukoba ndo nyumbani nilikozaliwa. Makosa tuliyoyafanya na yanayofanywa na wenzetu waliopewa dhamana kwa niaba ya wengine ndo yanatufikisha hatua za kuona haina maana kwetu kutoa mawazo na michango halafu mkawa ignored, mkawa neglected. Huyo mtukufu mbunge na baraza lake wanajua sana kuliko wengine wote na ndo maana wanafanya ya kwao.

Binafsi sitaacha kupita hapa kwenye jukwaa letu hili ila nitakuwa mtu wa mwisho kutoa ushauri ama kuchangia chochote. Ni bora tuwasaidie wenzetu huku tuliko na wakatuelewa kulikoni kuumizana vichwa na mabwanyenye viongozi wa manispaa na mkoa kwa ujumla. Viongozi mkoa wa kagera si wanasiasa si wa kuajiriwa, ni wavivu na wana umwinyi mwingi mno
 
Bado kuna tatizo katika maendeleo na siasa za Bukoba Happiness huu ndiyo ukweli dada yangu...Ila tukiacha kua na misimamo kama hii
Wa chama gani huyo
Wa kabila gani
Ana nini/mali
Elimu gani anayo etc bila kuangalia mawazo ya mtu yana umuhim gani it will take long...WCY wala haitaki mtaji mkubwa wa pesa au mikopo bali uelewa na support to kutoka kwa wanasiasa maana ndivyo tulivyojijenga watanzania
Ngoja kwanza shida ziwafike shingoni uenda ipo siku wataelewa, kwasahivi waache kwanza wanyooke.
 
MWONEKANO WA BARABARA ZA BUKOBA, JANUARY 2017

9b9153239171646ea9090c791dccf079.jpg
28ae585684e1d8e7a2103bd3f9f0a9a1.jpg
9c2cecc5993a10037f5818e88bd30abe.jpg
b7c25918c43f5a6c8f1adee5a84d20a7.jpg
70f02501c13d82eb1928cda39a717240.jpg
660503cfea791e54991eb71d241102e8.jpg
Unamaanisha hao waheshimwa hawakuwahi kutambua maana ya mawasilaiano?

Halafu dada, hebu tusaidie utuletee picha za mambo mengine walau. Hizi picha za mahandaki utafikiri kuna vita kagera ni aibu mno. Ni aibu kwa manispaa na sekretarieti ya mkoa kwa ujumla kuwa na viongozi wa namna hii. Viongozi wenye uwezo wa kuamkia kwenye mahandaki haya kila siku wanapita hapo hapo kwenda na kurudi makazini halafu wanakaa kwenye viti wanazunguka tu, hakika hawa watu hawastahili hata kulipwa mishahara yao. Wanakula pesa ya serikali bure na wanastahili kutumbuliwa
 
Mji umegubikwa na sintofahamu inayotokana na uoga na kutojiamini kwa viongozi.Huwezi kujua kama Manispaa inaongozwa na UKAWA zaidi ya %90 madiwani wote niwa Chama cha Demokrasia na maendeleo.(Chadema) jambo la ajabu uoga wa Meya Chief Karumuna ndo inapelekea wakosa radhi wanapitia kwenye udhaifu wao na kutukana matusi ya nguoni kama Ukimwi,Katerero,Buterangoma Mwaafaa na maneno mengine ya ovyo kama hayo nimatunda ya kupoteza nafasi kwa Meya uyo madiwani na Chama kwa ujumla wake.Mbunge kaishia kwamaneno ya mipasho ,,Mimi ni Nyani mzee nimeisha kwepa mishale mingi"Sasa nataka niwaambie Bukoba hatuhitaji nyani mzee tunahitaji Simba kijana.Mji wa Bukoba ni mchafu kila kona kunzia kwenye sura ya jimbo kukiwa na kaeneo kadogo ambapo nipachafu huwezi kufika pale pana kinyesi na vitu vingi vya hovyo.Lami mashimo hakuna tofauti kati ya utawala wa ccm na chadema.Tumechoshwa na sanaa za wanasiasa.
IMG_20170110_085954.jpg
IMG_20170110_085904.jpg
IMG_20170110_085941.jpg
IMG_20170110_085711.jpg
IMG_20170110_074056.jpg
IMG_20170110_074119.jpg
IMG_20170105_185653.jpg
 
Duh! ndo matokeo ya kuendekeza siasa na kuacha kufanya vitu vya msingi! ukilala utakula ulichokiota ndotoni.
 
Wahaya mnakuwaga na fujo kweli hapa town kumbe kwenu ndio kuko hivo!!!
Haya rudini mkafanye maendeleo huko, kuna jamaa juzi alilalamika hata daladala hamna huko.
 
Hiyo barabara uliyoonyesha hat itengenezwe vp lazima itabomoka tu maana hakuna mitalo ya maji ya mvua
,
lkn pia nikukumbushe ndugu katika manispaa ambazo chadema wameshinda wana mipango mizuri lakini inakwamishwa na hao wanaoitwa wakuu wa wilaya na mikoa. Mfano mkoa wa Arusha madiwani wana mipango mizuri sana lakini mkuu wa mkoa Mrisho Gambo anasabotage mipango hiyo kwa kuwa Chadema watapata credit - hiyo ndo akili ya mtu mweusi, ni bora mkoa mzima urudi nyuma kimaendeleo lkn chama pinzani kisipate credit. - Absolutely ridiculous
 
huyo mtoto aliyebeba kuni kakuruhusu umupload? "Cyberbullying" inakuhusu akipata washauri vizuri atakufirisi
 
Enzi hizi CDM wanakuja na wazee akina Lwakatare. Huyu Lwakatare hata ukimwangalia tu unaona jamaa alivyokuwa nyani mzee kweli, wamekosa kijana wa maana mwenye nguvu na akiri mpya kweli? Wazee wapelekeni huko huko moshi na si bukoba
 
Hiyo barabara uliyoonyc nezwe vp lazima itabomoka tu maana hakuna mitalo ya maji ya mvua
,
lkn pia nikukumbushe ndugu katika manispaa ambazo chadema wameshinda wana mipango mizuri lakini inakwamishwa na hao wanaoitwa wakuu wa wilaya na mikoa. Mfano mkoa wa Arusha madiwani wana mipango mizuri sana lakini mkuu wa mkoa Mrisho Gambo anasabotage mipango hiyo kwa kuwa Chadema watapata credit - hiyo ndo akili ya mtu mweusi, ni bora mkoa mzima urudi nyuma kimaendeleo lkn chama pinzani kisipate credit. - Absolutely ridiculous
Mbona Mbeya na Arumeru wanasonga mbele ilihari nako ni upinzani tena chama kile kile, kwanini inakuwa shida Bukoba wakati manispaa wanaiendesha wao?
 
Wahaya mnakuwaga na fujo kweli hapa town kumbe kwenu ndio kuko hivo!!!
Haya rudini mkafanye maendeleo huko, kuna jamaa juzi alilalamika hata daladala hamna huko.
Kwahiyo mtu arudi kwao ili apeleke pesa yake ndo ijengee barabara ama unamaanisha nini? Na unahisi kila palipojengwa ni kwasababu watu wanarudi kwao?
 
Back
Top Bottom