The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Nitajaribu mkuu kama ntawezaUnaweza ipost humu ili watu waione mi imeshindikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajaribu mkuu kama ntawezaUnaweza ipost humu ili watu waione mi imeshindikana
Kwenye taarifa yake Chief amesema mkandarasi aliyetengeneza uwanjani wa ndege ndo wanatarajia kumtumia, sasa sijui ndo yule yule au la!!!Wametengeneza kitu gani pale hamugembe nimetoka bukoba mwezi wa nane pia nakumbuka pale stand napo walitaka wafanye mambo bila kujali ubora ndo ikabidi waparudie kuchimba zaidi pia ndo wamekuwa wakitengeneza barabara za manispaa hiIzi tunazolalamikia ambazo haipiti mwezi bila kuwa na mashimo
Watatumia kampuni ya meco ambayo ilijenga uwanja wa ndege sio abemuloKwenye taarifa yake Chief amesema mkandarasi aliyetengeneza uwanjani wa ndege ndo wanatarajia kumtumia, sasa sijui ndo yule yule au la!!!
Kwa hilo ni sawa lakini wajitahidi kuendana na mahitaji ya leo na kesho kwa kuongeza ubora na kufata vipimo vya sheria za barababra Tz.Kampuni ya wazawa hiyo ndo imetengeneza pale hamugembe na pale stendi wanaitumia kwa sababu inamilikiwa na watu toka Bk
Hawa wako safi wako chini ya wazungu siyo weusi kama sie, watanzania wengi bado tuna ubabaishaji mkubwa sanaWatatumia kampuni ya meco ambayo ilijenga uwanja wa ndege sio abemulo
Nijibuni swali langu wakuu[emoji115] [emoji115]Hivi zile ofisi za mkuu wa mkoa kule kahororo ziliishia Wapi ?mwenye kujua hili atusaidie
Hawa wako safi wako chini ya wazungu siyo weusi kama sie, watanzania wengi bado tuna ubabaishaji mkubwa sana
Watatumia kampuni ya meco ambayo ilijenga uwanja wa ndege sio abemulo
Kuna alternative. Kemondo inachukua mizigo na meli kubwa za abilia. Abilia wanashukia kemondo na safari za wilayani zinaanzia huko. Bukoba port inaendelea kupokea meli ndogo za abiria na biashara za samaki.Ujio wa stand mpya na ujenzi wa meli vinatakiwa kuwasmsha uongozi wa msnispaa kuanza kupanua barabara za custom na ile ya kwenda kyakailabwa kutokea kibeta/rwamishenye ziwe za njia nne kwani naamini magari yataongezeka sana hapo mjini. Watu wa Tanroads ni bora wakaliona hili mapema pasipo kusubiri yatukute
Ikiwa mtu wa Bugandika au Ruhija atafika Kyakairabwa atashindwaje mtu wa Kahororo au Ihungo?Stendi ikishatolewa pale na kuipeleka kyakairabwa uhitaji wa daladala utakuwepo.hebu wafikirie watu wa kahororo, ihungo ,bunena na hata mjini kati watapandaje bodaboda tu kwenda kyakairabwa? Nauli je ?
Ndugu yangu umegusa penyewe. Viongozi wengi mkoani mwetu waliishi maisha ya kuhairisha kila kitu, angalia jengo la soko la NHC kule mutukula tokea limeanza kujengwa hadi leo ni magofu na bado hawajari. Zile ofisi pale zilijengwa kwa pesa nyingi sana na vizuri sana ila naamini kuna watu fulani ambao baadae huwa wanakuja kwa kazi maalumu ya kuhujumu mipango ya mkoa. Yaani hamuoni hata thamani ya pesa inayokuwa imetumika, labda Jaffo aje aingilie mwenyewe kwenye hizi TMSM (RLGA) kama alivyofanya juzi pale kwa mnyamani baada ya kuwaaamrisha wajenge barabara kwa ajiri ya wananchiNijibuni swali langu wakuu[emoji115] [emoji115]
Haya ni mawazo ya zamani sana mfano eti kisa kuna reli basi hakuna haja za barabara mfano mzuri Kigoma. Ama kisa kuna barabara basi meli haina umuhimu sana mfano mzuri Kagera. Kuwepo kwa barabara pana, imara na nzuri ni kipaumbele cha kwanza haijarishi. Na uenda ndo huwa mawazo yenu kwenye full council ndo maana manispaa haina mbele wala nyuma. Pia hujatembea mikoa mingine ukaona wanavyojenga barabara zao ama unahisi wao huwa hawana "alternative"? Acheni utoto watu wanahitaji vitu vyote, wape meli, wape barabara, wape ndege na hata kama reli ipo wapeni watu ..hivi ndivyo maendeleo yanavyokuja, ama hamuoni Ulaya japo kila siku mnatamani kuwa kama wao na vi tachi vyenuKuna alternative. Kemondo inachukua mizigo na meli kubwa za abilia. Abilia wanashukia kemondo na safari za wilayani zinaanzia huko. Bukoba port inaendelea kupokea meli ndogo za abiria na biashara za samaki.
Sijakuelewa!!! Unamaanisha hamna haja ya daladala au?? Hivi kukiwa na daladala wewe unapungukiwa nini??? Labda kama una lako jambo vinginevyo sijajua kwa nin umekuja na suggestions za hiviIkiwa mtu wa Bugandika au Ruhija atafika Kyakairabwa atashindwaje mtu wa Kahororo au Ihungo?
Nini hasa lengo lako mpaka umendika hivi??Kuna alternative. Kemondo inachukua mizigo na meli kubwa za abilia. Abilia wanashukia kemondo na safari za wilayani zinaanzia huko. Bukoba port inaendelea kupokea meli ndogo za abiria na biashara za samaki.
Hata sijui ziliishia wapi ila eneo lipo na limezungushiwa fensi na kubadirikadirika kwa wakuu wa mikoa inachangia kukwama kwa uamisho.mkoani pakiamishwa na kupelekwa kahororo itasaidia sana kukua kwa kahororo hivyo bk kupanuka kila upande ila kahororo pashajaa siku hizi sijui kama bado kuna viwanja ila ingesaidia kuondoa mbanano kati kati ya mji. Yaani kule stendi,kule mkoani ,kule chuo mji utapanuka mnoHivi zile ofisi za mkuu wa mkoa kule kahororo ziliishia Wapi ?mwenye kujua hili atusaidie
Kwa hiyo unapendekeza pabaki hivyo au? Hata sa hivi hakuna meli ingawa kuna boat moja ya mwanza lakini barabara kuu ya kuingia mjini mpaka bandarini INA magari mengi ikiwemo na shortcut ya kashura hebu tazama wakati wa jioni barabara ilivyo haina hata taa kutoa eneo la hamugembe .halafu kuhusu bandari bukoba ina abiria wengi mno na magari yote ya wilayani kuanzia bukoba ndo maana kyakairabwa kunajengwa stendi mbili ya mabasi na hiaceKuna alternative. Kemondo inachukua mizigo na meli kubwa za abilia. Abilia wanashukia kemondo na safari za wilayani zinaanzia huko. Bukoba port inaendelea kupokea meli ndogo za abiria na biashara za samaki.
Ili mji wowote ukue unahitaji public transport nzr mji wa bk hauna mfumo mzr wa public kama miji mingine tunatumia bodaboda ambazo kwa mvua za bukoba ni kuteseka nazo.hata zamani daladala zilikuwepo ila ziliacha kwa sababu ya meli nk bukoba ilivyopanuka sasa inahitaji route za daladala na hakika biashara itafanikiwa sasa hasa za kwenda kyakairabwa maana watu wote watakaokuwa wanakuja bk watafikia eneo hilo kwa maana ya hiace zote,na mabasi yote.pia wingi wa watu watakaokuja na meli na pia watakaokuja na ndege wote wanaenda mjini hivyo itakuwa vzr wakilipa 400 hata 500 kwenda mjini hii itaongeza mapato kwa manispaa na kuongeza mzunguko wa helaIkiwa mtu wa Bugandika au Ruhija atafika Kyakairabwa atashindwaje mtu wa Kahororo au Ihungo?
Watu wenye mawazo kama huyo aliyesema hivyo ndo wanaofanya manispaa irudi nyuma yaani sijui wanafurahi bk ilikaa hivi na kwa nini hawajifunzi kutoka manispaa nyingine shida kila MTU anajifanya mjuaji yaani wanabore sasa wanasema eti boda zisafirishe watu kutoka maeneo yoyote ya mji kuelekea kyakairabwa kusema wasipoanzisha roote za daladala nitawaona vilaza we fikiria watu watakaoshukia kyakairabwa kwenye stendi mbili ya hiace na mabasi watapanda bodaboda? Yaani manispaa inabidi ianze haraka kuleta daladalaHaya ni mawazo ya zamani sana mfano eti kisa kuna reli basi hakuna haja za barabara mfano mzuri Kigoma. Ama kisa kuna barabara basi meli haina umuhimu sana mfano mzuri Kagera. Kuwepo kwa barabara pana, imara na nzuri ni kipaumbele cha kwanza haijarishi. Na uenda ndo huwa mawazo yenu kwenye full council ndo maana manispaa haina mbele wala nyuma. Pia hujatembea mikoa mingine ukaona wanavyojenga barabara zao ama unahisi wao huwa hawana "alternative"? Acheni utoto watu wanahitaji vitu vyote, wape meli, wape barabara, wape ndege na hata kama reli ipo wapeni watu ..hivi ndivyo maendeleo yanavyokuja, ama hamuoni Ulaya japo kila siku mnatamani kuwa kama wao na vi tachi vyenu
Kwa kweli sijamuelewa kabisa huyo ndugu yetu sijui kama mawazo yake yanajenga kwa sababu usafiri wa pikipiki sio mzuri sana kwenye cost pamoja na usalama, nadhani pikipiki inabidi itumike pale itakapobidi lakini sio eti ndo iwe first choiceWatu wenye mawazo kama huyo aliyesema hivyo ndo wanaofanya manispaa irudi nyuma yaani sijui wanafurahi bk ilikaa hivi na kwa nini hawajifunzi kutoka manispaa nyingine shida kila MTU anajifanya mjuaji yaani wanabore sasa wanasema eti boda zisafirishe watu kutoka maeneo yoyote ya mji kuelekea kyakairabwa kusema wasipoanzisha roote za daladala nitawaona vilaza we fikiria watu watakaoshukia kyakairabwa kwenye stendi mbili ya hiace na mabasi watapanda bodaboda? Yaani manispaa inabidi ianze haraka kuleta daladala
Ikiwa mtu wa Bugandika au Ruhija atafika Kyakairabwa atashindwaje mtu wa Kahororo au Ihungo?
Usitake watu wakutukane bure jitahidi kuficha ujinga wako huko huko luhija. Yawezekana ukafikiri hapa tuna bonanza la kubishana, hatuko hapa pia kwasababu tunakosa kazi za kufanya kwahiyo siyo lazima kuchangia kama hufahamu hata tunachokiongelea. Inavyoonekana ni kana kwamba uelewa wako na sie ni sawa na mbingu na ardhi. Na nahisi ulivyo ndo picha harisi ya baadhi ya watu wanaopita huku na kule kuomba kuchaguliwa kwenye chaguzi tofauti eti ukaongoze, kwa jinsi uelewa wako ulivyo chini ikitokea nikakuta eti sijuhi ndo m/kiti wa mtaa wangu ntaomba uitishwe uchaguzi upya ili tukuondoe.Ikiwa mtu wa Bugandika au Ruhija atafika Kyakairabwa atashindwaje mtu wa Kahororo au Ihungo?