TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

Umeandika vizuri mkuu ila kuna shirika moja World Vision limejitoa sana ktk wilaya hyo kutoa michango ya maendeleo ya jamii,nimejisikia vibaya kutoona hata umelitaja kwa uchache.au mashirika binafsi ni mwiko kuyasifia?wapeni na wao hongera zao mkuu!
Umeona kichwa cha habari ya hii taarifa lakini mkuu?

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
(1).jpg

Kukamilisha mpango wa muda mfupi wa upatikanaji wa Maji safi na salama –nzega kwa kuongeza mita za ujazo 1300

MAENDELEO YA MPANGO HUU

hatua iliyofanyika wiki hii ni kupima kiwango cha maji kinachoingia katika eneo ambalo maji husafiswa kabla ya kwenda kwa watumiaji

Hatua hiyo ilikuwa ni kuangalia ujazo unaongia kutoka katika bwawa la Uchama na kilimi, pia kuangalia ujazo unaotoka kutoka katika eneo ambalo maji husafishwa ili kwenda kwa wanainchi

Lengo ni kuweza kutambua uwiano uliopo baina ya ujazo unaongia na kutoka kwa ajiri ya kuweza kutambua hitaji halisi ya ukubwa wa matanki ambayo yanajegwa, vile vile kupata picha halisi ya uwezo wa mashine zinazosukuma maji, ili kutambua uwezo wake kama upo sawa au Kuna ulazima wa kuongeza mashine nyingine, ili kuweza kuanza utekelezaji wa kukamilisha mpango wa mda mfupi wa kutatua tatizo la maji katika mji wa nzega.
 

Attachments

  • (1).jpg
    (1).jpg
    238.5 KB · Views: 59
Yani tatizo la maji likitatuliwa nzega hata kwa mda mfupi mnaosema basi jimbo la nzega hakuna atayekubali bashe asiwe Mbunge wao milele
 
Huu mpango wa tushirikishane utaanzishwa linii na mbunge wangu mwaka???? Wa jimbo la chilonwa???? Maana kuna vitu vingi sanaa vinakosekana chamwino ikulu na vinahitajika kuwepo
 
IMG_20161020_154058.jpg
IMG_20161020_154200.jpg
ujenzi wa mabweni ya kidato cha tano, na cha sita katika shule ya sekondari Bulunde, hatua iliayokuwepo ya uandelezi wa ujenzi huu, ni ujengwaji wa vyoo, pamoja na kuinua kuta za bweni mpaka usawa wa lenta, mpaka leo tarehe 20/10/2016 ujenzi huu kuinua boma la bweni na vyoo, umekamilika kwa asilimia 98 kama inavyoonekana kwenye picha.
 
Afisa habari endelea kutujuza, pia harakati za kupambana na umasikini kama wadau walivyopendekeza zitilieni mkazo. Ninasikitika sana ninaposikia serikali inagawa pesa kusaidia maskini, nawashauri muwe na mipango kazi tofauti na huu wa serikali ambao si endelevu
 
I earlier mentioned, pamoja ni mipango mizuri muwe creative kuwasaidia wananchi jitihada za kuondoa umaskini ni lazima mipango yenu iwe ya kisomi haitakuwa busara sana mmbunge kuchangia pesa kila pahala, yeye ni chachu tu ya maendeleo na atoe vision ila kama wananchi watakombolewa iwe katika vikundi vidogo vidogo vya ufugaji, ujasiliamali, viwanda vidogo vidogo, ukulima wa biashara na vingine mtaona wataweza kwa haraka kufanya maendeleo yao bila kutegemea pesa ya mmbunge au Tasaf.
 
IMG_20161020_153300.jpg
IMG_20161020_153300.jpg
IMG_20161020_153359.jpg
IMG_20161020_153347.jpg
IMG_20161020_153343.jpg
muonekano tofauti tofauti wa nje, na ndani katika banda ya kupumzikia wasafiri kipindi wakisubilia usafiri katika kituo kipya cha mabasi sagara nzega mjini

Banda hili ujenzi wake umekwisha kamilika
 
Nzega kuendeleza shule ya Bulunde ni kazi nzuri na Bashe nae pia asifiwe, lakini Bashe kumbuka kuwa unafanya kazi na wanyamwezi ambao unawajua ... Huwezi ukawa shujaa hapo Nzega bila kurudisha shule ya Badru (Islamic School) iliyouzwa kimizengwe kwa RC au hakikisha kuanzisha Islamic school nyingine ili kubalance social image
 
Nzega kuendeleza shule ya Bulunde ni kazi nzuri na Bashe nae pia asifiwe, lakini Bashe kumbuka kuwa unafanya kazi na wanyamwezi ambao unawajua ... Huwezi ukawa shujaa hapo Nzega bila kurudisha shule ya Badru (Islamic School) iliyouzwa kimizengwe kwa RC au hakikisha kuanzisha Islamic school nyingine ili kubalance social image
Ngisibara hili jambo la shule ya badri kupolwa na kikundi cha watu wachache limefikia wapi maana Nilisikiaga inataka rudishwa katika uongozi wa awali
 
IMG-20161025-WA0017.jpg
IMG-20161025-WA0011.jpg
IMG-20161025-WA0020.jpg
IMG-20161025-WA0015.jpg
IMG-20161025-WA0015.jpg
IMG-20161025-WA0014.jpg
IMG-20161025-WA0014.jpg
IMG-20161025-WA0022.jpg


MAENDELEO YA MRADI

mpango wa muda mfupi wa upatikanaji wa Maji safi na salama –nzega kwa kuongeza mita za ujazo 1300

Leo tarehe 25/10 /2016 katibu wa Mbunge bwana Anyona alitembelea plant ya maji ya Uchama ili kujionea kazi inayoendelea huko baada ya fedha zilizoombwa na Mh Mbunge kuingia na kuanza kutumika.

Bwana Anyona amekutana na injinia kiongozi kutoka Tabora mkoani wa upande wa kushoto katika picha ambae anasimamia mradi huo, injinia amelezea kimsingi kazi inaendelea vizuri ya ukarabati wa machujio mawali. Yaani moja iliyojengwa na Muisrael na nyingine na serikali.

Chujio moja litaanza kazi kesho tarehe 26 /10/2016 wakati mengine wakiendelea kukarabati.

Kazi hii itaisha December tarehe 15 mwaka huu.
 
IMG_20161026_080149.jpg
ikiwa ni hatua ya uendelezaji wa utimizwaji wa mpango wa mda mfupi wa kupunguza kero ya tatizo la maji ndani ya mji wa nzega,

Hilo ni tenki la maji lililopo maeneo ya pakingi ambalo lilikuwa halitumiki kutokana na uchakavu wale ulisababisha liwe linavujisha maji

Hivyo basi Siku ya Jana tarehe 26 /10 /2016 tenki hilo limeanza rekebiswa kama picha inavyoonekana wametoa pleti ambazo zilikuwa zinavujisha maji ili ukarabati uendelee.
 
Yani nachokiona kupitia huu mjadala siamini hivi kwanini hawa CCM walimkataga bashe mwaka 2010, yani nzega leo tungekuwa mbali sana tank la parking linatengenezwa siamini ombi Mbunge wetu usilewe hizi sifa piga kazi naimani hata kipindi tukipewa hospitali ya wilaya iwe chini ya halmashauri ya mji basi nzega itakuwa mfano
 
Back
Top Bottom