Gideon Anyona
Senior Member
- Jun 28, 2014
- 108
- 58
Umeona kichwa cha habari ya hii taarifa lakini mkuu?Umeandika vizuri mkuu ila kuna shirika moja World Vision limejitoa sana ktk wilaya hyo kutoa michango ya maendeleo ya jamii,nimejisikia vibaya kutoona hata umelitaja kwa uchache.au mashirika binafsi ni mwiko kuyasifia?wapeni na wao hongera zao mkuu!
Ok nimekusoma!Umeona kichwa cha habari ya hii taarifa lakini mkuu?
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
jembe Africa jaribu kufafanua ujumbe wako vizuri ueleweke ikiwa majibu yapo uweze kujibiwa vizuriNasisi ipilili je
Ngisibara hili jambo la shule ya badri kupolwa na kikundi cha watu wachache limefikia wapi maana Nilisikiaga inataka rudishwa katika uongozi wa awaliNzega kuendeleza shule ya Bulunde ni kazi nzuri na Bashe nae pia asifiwe, lakini Bashe kumbuka kuwa unafanya kazi na wanyamwezi ambao unawajua ... Huwezi ukawa shujaa hapo Nzega bila kurudisha shule ya Badru (Islamic School) iliyouzwa kimizengwe kwa RC au hakikisha kuanzisha Islamic school nyingine ili kubalance social image