Mjane ananipenda sana

Kuja tu kuomba ushauri ni kosa, vitu kama hivyo ni either upige kimykimya asijue mtu au ukaushe na ujikatae kama una conscious guilty, mbona wa bidada wapo wengi why wa bi mama wenye umri sawa na mzazi wako hata kama anakutaka yeye haihalalishi
Ohh
 
Asanteni kwa ushauri
 
Unajua mumeww kilichomuua we jiichanganye tu
 

Umeshaoa wewe au bado?
 
Dini gani wewe, umeoa ama lah!! Moja ya sababu kuoa wajane ni kuwafariji, kama inawezekana chukua ngoma hiyo, umri hauna nafasi kwenye malavidavi, almuhimu kuheshimiana, kusikilizana na kuthaminiana. Vikiwepo hivi baina ya me na ke, kwisha kazi.. Limbwata haioni ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…